< Wakolosai 3 >

1 Basi, kwa kuwa mmefufuliwa pamoja na Kristo, yatafuteni yaliyo juu, Kristo alikoketi mkono wa kuume wa Mungu.
Ikayelai kabyele kyala abhafufuili pamonga ni Kristo, mghalondani mambo ghapanani, ambako Kristo paitama kibhoko kya kuume kwa kyala.
2 Yafikirini mambo yaliyo juu, wala si ya duniani.
Mfikililai kuhusu mambo ghapanani, sio kuhusu mambo ghakudunia.
3 Kwa maana ninyi mlikufa, nao uhai wenu sasa umefichwa pamoja na Kristo katika Mungu.
kwandabha mmfuili, ni uzima wayhomo ufighibhu pamonga ni kristu kup`etela k'yala.
4 Wakati Kristo, aliye uzima wenu, atakapotokea, ndipo nanyi mtakapotokea pamoja naye katika utukufu.
Kristo paibhonekai ambaye ndo maisha ghayot'o, ni name kabhele mwibhonekana ni mwene kup'etela utukufu.
5 Kwa hiyo, ueni kabisa chochote kilicho ndani yenu cha asili ya kidunia: yaani uasherati, uchafu, tamaa mbaya, mawazo mabaya na ulafi, ambayo ndiyo ibada ya sanamu.
Kwa hiyo mghasafishai mambo ghaghayele munchies yaani, zinaa, uchafu, shauku sibaya, nia sibaya ni tamaa, ambasgo ibada ya lisanamu.
6 Kwa sababu ya mambo haya, ghadhabu ya Mungu inakuja.
ni kwa jia malobhi aghadhabu ya Kayla yihida panani ya bhana bhabhitu lepi.
7 Ninyi pia zamani mlienenda katika mambo haya mlipoishi maisha hayo.
Ni jia mambo agha mwenga kabhele mwagendili kwa agha panawaishia mwabhoa lola.
8 Lakini sasa yawekeni mbali nanyi mambo kama haya yote: yaani hasira, ghadhabu, uovu, masingizio na lugha chafu kutoka midomoni mwenu.
Lakini henu yilondeka mubhosyeai mambo aghaghoa. yaani ghadhabu ligoga, nia sibaya, malighuni malobhi mabhibhi gha ghihoniela mufinywa syayot'o.
9 Msiambiane uongo, kwa maana mmevua kabisa utu wenu wa kale pamoja na matendo yake,
Msikofani mwayomo kwa ghormo, kwa ndabha mfulili utu wa ghunio wa mulandi ni matendo ghake
10 nanyi mmevaa utu mpya, unaofanywa upya katika ufahamu sawasawa na mfano wa Muumba wake.
mfwalili utu upya, wa wifanyiwa upya maarifa kup'etela mfuano wa ghola ya Ayele muumba.
11 Hapa hakuna Myunani wala Myahudi, aliyetahiriwa wala asiyetahiriwa, asiyestaarabika wala aliyestaarabika, mtumwa wala mtu huru, bali Kristo ni yote, na ndani ya wote.
kup'etela maarifa agha, ayelepi myunani ni myahudi, kutahiriwa na kutokutahiribhwa, msomi, asiye msomi, nitumwa, na ayele lepi nitumwa, badala yake kristu ndo mambo ghoa kup'etela ghoa.
12 Kwa hiyo, kwa kuwa ninyi mmekuwa wateule wa Mungu, watakatifu wapendwao sana, jivikeni moyo wa huruma, utu wema, unyenyekevu, upole na uvumilivu.
Kama bhateuli bha kyala, Bhatakaitifu na Bhabhaganikibhu, mjifwekai utu bhuema, ukalimu, unyenyekevu, upole na uvumilivu.
13 Vumilianeni na kusameheana mtu akiwa na lalamiko lolote dhidi ya mwenzake. Sameheaneni kama vile Bwana alivyowasamehe ninyi.
mjitolelai ghomo kwa ghomo, mhurumilai kila menu ni njinu. Kama menu ilalimika dhidi ya yhongi. Amsamehai kwa jinsi yelayela ambayo Bwana abhasamehe mwenga.
14 Zaidi ya maadili haya yote jivikeni upendo, ambao ndio unaofunga kila kitu pamoja katika umoja mkamilifu.
Zaidi ya mambo ghoa agha, muyelai ni upendo, ambabho no kigezo kya ukamillifu.
15 Amani ya Kristo na itawale mioyoni mwenu, kwa kuwa ninyi kama viungo vya mwili mmoja mmeitiwa amani. Tena kuweni watu wa shukrani.
Amani ya Kristo ni ibhalongosyai mumiteema mwayomo, yayele kwajia ya amani eye ndabha mwasopibhu mumbhele umonga'iyelai ni shukrani.
16 Neno la Kristo na likae kwa wingi ndani yenu, mkifundishana na kuonyana katika hekima yote, mkimwimbia Mungu zaburi, nyimbo na tenzi za rohoni, huku mkiwa na shukrani mioyoni mwenu.
Na lineno la Kristu litamai mugati mwayomo kwa bhutajiri. kwa hekima iyoa, mjifundisiayi na mjishauliayi yhomo kwa yhomo kwa zaburi, nyhembu, na nymbu sarohoni. Yembai kwa shukrani mmiteema ya yhomo kwa kyara.
17 Lolote mfanyalo, ikiwa ni kwa neno au kwa tendo, fanyeni yote katika jina la Bwana Yesu, mkimshukuru Mungu Baba katika yeye.
Na kyoakela kamwiketa kup'etela malobhi aunt kup'ela matendo, mfwanyai ghoa kup'ela lihima la Bwana Yesu mmpelai shukrani kyara dadi kup'ela muene.
18 Ninyi wake, watiini waume zenu, kama inavyostahili katika Bwana.
Bhake, mbhanyenyekelai bhagosi bhinu, Kama kayipendesya kup'etela Bwana.
19 Ninyi waume, wapendeni wake zenu, wala msiwe na uchungu dhidi yao.
Namu bhagosi mubhagai bhadala bhinu, na mkotokuya bhakali dhidi ya bheni.
20 Enyi watoto, watiini wazazi wenu katika mambo yote, kwa maana hivi ndivyo inavyompendeza Bwana.
Bhana, mbhatiiniayi bhazazi bhayomo kup'etela mambo ghoa, maana no ka kikampendesya Bwana.
21 Ninyi akina baba, msiwachokoze watoto wenu, wasije wakakata tamaa.
Bhababa, msibhokolofishe bhana bhinu, ili kwandabha bhasikati tamaa.
22 Ninyi watumwa, watiini mabwana zenu wa hapa duniani katika mambo yote. Fanyeni hivyo si wakiwepo tu, wala si kwa kutafuta upendeleo wao, bali kwa moyo mnyofu na kumcha Bwana.
Bhatumwa, mhatiiniani mabwana bhinu kup'etela mbhele kwa mambo ghoa, sio kwa huduma ya pamiu to Kama bhanu bhakufurahisha tu, bali n'teema bhuoa. mun'tilai kyara.
23 Lolote mfanyalo, fanyeni kwa moyo kama watu wanaomtumikia Bwana, na si wanadamu,
kyoakela kamwifuanya, mfwanyai kuhomela munafsi ya yhomoyhomo Kama Bwana na sit kutia bhanadamu.
24 kwa kuwa mnajua kwamba mtapokea urithi wenu kutoka kwa Bwana ukiwa thawabu yenu. Ni Bwana Yesu Kristo mnayemtumikia.
Nammanyai ya Kuwa mwiyopa tuzo sa umilikaji kuhomela kwa Bwana. Ni Kristu Bwana mwamkamtumikila.
25 Yeyote atendaye mabaya atalipwa kwa ajili ya mabaya yake, wala hakuna upendeleo.
Kwa ndabha iyoayela yaitendai, ghaghayela lepi gha haki ipokela hukumu kwa matendo ghaghabelili kuya gha haki gha aketili, na kuyeehe kupendelela.

< Wakolosai 3 >