Preface
Read
+
Publisher
Nainoia, Inc.
PO Box 462, Bellefonte, PA 16823
(814) 470-8028
Nainoia Inc, Publisher
LinkedIn/NAINOIA-INC
Third Party Publisher Resources
Request Custom Formatted Verses
Please contact us below
Submit your proposed corrections
I understand that the Aionian Bible republishes public domain and Creative Commons Bible texts and that volunteers may be needed to present the original text accurately. I also understand that apocryphal text is removed and most variant verse numbering is mapped to the English standard. I have entered my corrections under the verse(s) below. Proposed corrections to the New Swahili Bible, Genesis Chapter 5 https://www.AionianBible.org/Bibles/Swahili---New-Swahili-Bible/Genesis/5 1) Hii ni orodha ya vizazi vya Adamu. Katika siku ambayo Mungu alimuumba mtu, aliwaumba katika mfano wake mwenyewe. 2) Mwanaume na mwanamke aliwaumba. Akawabariki na akawaita Adam wakati walipoumbwa. 3) Wakati Adamu alipokuwa ameishi miaka 130, akamzaa mwana katika sura yake mwenyewe, kwa mfano wake, na akamuita jina lake Sethi. 4) Baada ya Adamu kumzaa Sethi, aliishi miaka mia nane. Akawazaa wana wengi waume na wake. 5) Adamu akaishi miaka 930 kisha akafariki. 6) Wakati Sethi alipokuwa ameishi miaka 105, akamzaa Enoshi. 7) Baada ya kumzaa Enoshi, akaishi miaka 807 na akawazaa wana wengi waume na wake. 8) Sethi akaishi miaka 912 kisha akafariki. 9) Wakati Enoshi alipokuwa ameishi miaka tisini, akamzaa Kenani. 10) Baada ya kumzaa Kenani, Enoshi aliishi miaka 815. Akazaa wana wengi wa ume na wake. 11) Enoshi aliishi miaka 905 na kisha akafariki. 12) Wakati Kanani alipokuwa ameishi miaka sabini, akamzaa Mahalaleli. 13) Baada ya kumzaa Mahalaleli, Kenani aliishi miaka 840. Akawazaa wana wengi wa ume na wake. 14) Kenani aliishi miaka 910, na kisha akafariki. 15) Mahalaleli alipokuwa ameishi miaka sitini na tano, alimzaa Yaredi. 16) Baada ya kumzaa Yaredi, Mahalaleli aliishi miaka 830. Akazaa wana wengi wa ume na wake. 17) Mahalaleli aliishi miaka 895 na kisha akafariki. 18) Yaredi alipokuwa ameishi miaka 162, alimzaa Henoko. 19) Baada ya kumzaa Henoko, Yaredi aliishi miaka mianane. Akazaa wana wengi waume na wake. 20) Yaredi aliishi miaka 962 na kisha akafariki. 21) Henoko alipokuwa ameishi miaka sitini na tano, akamzaa Methusela. 22) Henoko akaenenda na Mungu miaka miatatu baada ya kumzaa Methusela. Aliwazaa wana wengi wa ume na wake. 23) Henoko aliishi miaka 365. 24) Henoko alienenda na Mungu, na kisha alitoweka, kwa kuwa Mungu alimtwaa. 25) Wakati Methusela alipokuwa ameishi miaka 187, alimzaa Lameki. 26) Baada ya kumzaa Lameki, Methusela aliishi miaka 782. Akawazaa wana wengi wa ume na wake. 27) Methusela aliishi miaka 969. Kisha akafariki. 28) Wakati Lameki alipokuwa ameishi miaka 182, alimzaa mwana. 29) Akamuita jina lake Nuhu, akisema, “Huyu ndiye atatupatia pumziko kutoka katika kazi yetu na kutoka katika kazi ya taabu ya mikono yetu, ambayo lazima tuifanye kwa sababu ya ardhi ambayo Yahwe ameilaani.” 30) Lameki aliishi miaka 595 baada ya kumzaa baba wa Nuhu. Akazaa wanawengi wa ume na wake. 31) Lameki aliishi miaka 777. Kisha akafariki. 32) Baada ya Nuhu kuishi miaka miatano, akamzaa Shemu, Hamu, na Yafethi. Additional comments?
Refresh Captcha
The world's first Holy Bible un-translation!