Preface
Read
+
Publisher
Nainoia, Inc.
PO Box 462, Bellefonte, PA 16823
(814) 470-8028
Nainoia Inc, Publisher
LinkedIn/NAINOIA-INC
Third Party Publisher Resources
Request Custom Formatted Verses
Please contact us below
Submit your proposed corrections
I understand that the Aionian Bible republishes public domain and Creative Commons Bible texts and that volunteers may be needed to present the original text accurately. I also understand that apocryphal text is removed and most variant verse numbering is mapped to the English standard. I have entered my corrections under the verse(s) below. Proposed corrections to the Swahili Contemporary Version, Psalms Chapter 49 https://www.AionianBible.org/Bibles/Swahili---Contemporary/Psalms/49 1) Kwa mwimbishaji. Zaburi ya wana wa Kora. Sikieni haya, enyi mataifa yote, sikilizeni, ninyi wote mkaao dunia hii. 2) Wakubwa kwa wadogo, matajiri na maskini pamoja: 3) Kinywa changu kitasema maneno ya hekima, usemi wa moyo wangu utatoa ufahamu. 4) Nitatega sikio langu nisikilize mithali, nitafafanua kitendawili kwa zeze: 5) Kwa nini niogope siku mbaya zinapokuja, wakati wadanganyifu waovu wanaponizunguka, 6) wale wanaotegemea mali zao na kujivunia utajiri wao mwingi? 7) Hakuna mwanadamu awaye yote awezaye kuukomboa uhai wa mwingine, au kumpa Mungu fidia kwa ajili yake. 8) Fidia ya uhai ni gharama kubwa, hakuna malipo yoyote yanayotosha, 9) ili kwamba aishi milele na asione uharibifu. 10) Wote wanaona kwamba watu wenye hekima hufa; wajinga na wapumbavu vivyo hivyo huangamia na kuwaachia wengine mali zao. 11) Makaburi yao yatabaki kuwa nyumba zao za milele, makao yao vizazi vyote; ingawa walikuwa na mashamba na kuyaita kwa majina yao. 12) Lakini mwanadamu, licha ya utajiri wake, hadumu; anafanana na mnyama aangamiaye. 13) Hii ndiyo hatima ya wale wanaojitumainia wenyewe, pia ya wafuasi wao, waliothibitisha misemo yao. 14) Kama kondoo, wamewekewa kwenda kaburini, nacho kifo kitawala. Wanyofu watawatawala asubuhi, maumbile yao yataozea kaburini, mbali na majumba yao makubwa ya fahari. (Sheol h7585) 15) Lakini Mungu atakomboa uhai wangu na kaburi, hakika atanichukua kwake. (Sheol h7585) 16) Usitishwe mtu anapotajirika, fahari ya nyumba yake inapoongezeka, 17) kwa maana hatachukua chochote atakapokufa, fahari yake haitashuka pamoja naye. 18) Ingawa alipokuwa akiishi alijihesabu kuwa heri, na wanadamu wanakusifu unapofanikiwa, 19) atajiunga na kizazi cha baba zake, ambao hawataona kamwe nuru ya uzima. 20) Mwanadamu mwenye utajiri bila ufahamu ni kama wanyama waangamiao. Additional comments?
Refresh Captcha
The world's first Holy Bible un-translation!