Preface
Read
+
Publisher
Nainoia, Inc.
PO Box 462, Bellefonte, PA 16823
(814) 470-8028
Nainoia Inc, Publisher
LinkedIn/NAINOIA-INC
Third Party Publisher Resources
Request Custom Formatted Verses
Please contact us below
Submit your proposed corrections
I understand that the Aionian Bible republishes public domain and Creative Commons Bible texts and that volunteers may be needed to present the original text accurately. I also understand that apocryphal text is removed and most variant verse numbering is mapped to the English standard. I have entered my corrections under the verse(s) below. Proposed corrections to the Swahili Contemporary Version, Psalms Chapter 21 https://www.AionianBible.org/Bibles/Swahili---Contemporary/Psalms/21 1) Kwa mwimbishaji. Zaburi ya Daudi. Ee Bwana, mfalme huzifurahia nguvu zako. Tazama jinsi ilivyo kuu furaha yake kwa ushindi unaompa! 2) Umempa haja ya moyo wake na hukumzuilia maombi ya midomo yake. 3) Ulimkaribisha kwa baraka tele na kumvika taji ya dhahabu safi kichwani pake. 4) Alikuomba maisha, nawe ukampa, wingi wa siku milele na milele. 5) Kutokana na ushindi uliompa, utukufu wake ni mkubwa, umeweka juu yake fahari na utukufu. 6) Hakika umempa baraka za milele, umemfanya awe na furaha kwa shangwe ya uwepo wako. 7) Kwa kuwa mfalme anamtumaini Bwana; kwa upendo usiokoma wa Aliye Juu Sana hatatikiswa. 8) Mkono wako utawashika adui zako wote, mkono wako wa kuume utawakamata adui zako. 9) Wakati utakapojitokeza utawafanya kama tanuru ya moto. Katika ghadhabu yake Bwana atawameza, moto wake utawateketeza. 10) Utawaangamiza wazao wao kutoka duniani, uzao wao kutoka wanadamu. 11) Ingawa watapanga mabaya dhidi yako na kutunga hila, hawawezi kufanikiwa, 12) kwa kuwa utawafanya wakimbie utakapowalenga usoni pao kwa mshale kutoka kwenye upinde wako. 13) Ee Bwana, utukuzwe katika nguvu zako, tutaimba na kusifu nguvu zako. Additional comments?
Refresh Captcha
The world's first Holy Bible un-translation!