Preface
Read
+
Publisher
Nainoia, Inc.
PO Box 462, Bellefonte, PA 16823
(814) 470-8028
Nainoia Inc, Publisher
LinkedIn/NAINOIA-INC
Third Party Publisher Resources
Request Custom Formatted Verses
Please contact us below
Submit your proposed corrections
I understand that the Aionian Bible republishes public domain and Creative Commons Bible texts and that volunteers may be needed to present the original text accurately. I also understand that apocryphal text is removed and most variant verse numbering is mapped to the English standard. I have entered my corrections under the verse(s) below. Proposed corrections to the Swahili Contemporary Version, Psalms Chapter 128 https://www.AionianBible.org/Bibles/Swahili---Contemporary/Psalms/128 1) Wimbo wa kwenda juu. Heri ni wale wote wamchao Bwana, waendao katika njia zake. 2) Utakula matunda ya kazi yako; baraka na mafanikio vitakuwa vyako. 3) Mke wako atakuwa kama mzabibu uzaao ndani ya nyumba yako; wana wako watakuwa kama machipukizi ya mizeituni kuizunguka meza yako. 4) Hivyo ndivyo atakavyobarikiwa mtu amchaye Bwana. 5) Bwana na akubariki kutoka Sayuni siku zote za maisha yako, na uone mafanikio ya Yerusalemu, 6) nawe ujaliwe kuishi uone watoto wa watoto wako. Amani iwe juu ya Israeli. Additional comments?
Refresh Captcha
The world's first Holy Bible un-translation!