Preface
Read
+
Publisher
Nainoia, Inc.
PO Box 462, Bellefonte, PA 16823
(814) 470-8028
Nainoia Inc, Publisher
LinkedIn/NAINOIA-INC
Third Party Publisher Resources
Request Custom Formatted Verses
Please contact us below
Submit your proposed corrections
I understand that the Aionian Bible republishes public domain and Creative Commons Bible texts and that volunteers may be needed to present the original text accurately. I also understand that apocryphal text is removed and most variant verse numbering is mapped to the English standard. I have entered my corrections under the verse(s) below. Proposed corrections to the Swahili Contemporary Version, Psalms Chapter 124 https://www.AionianBible.org/Bibles/Swahili---Contemporary/Psalms/124 1) Wimbo wa kwenda juu. Wa Daudi. Kama Bwana asingalikuwa upande wetu; Israeli na aseme sasa: 2) kama Bwana asingalikuwa upande wetu, wakati watu walipotushambulia, 3) wakati hasira yao ilipowaka dhidi yetu, wangalitumeza tungali hai, 4) mafuriko yangalitugharikisha, maji mengi yangalitufunika, 5) maji yaendayo kasi yangalituchukua. 6) Bwana asifiwe, yeye ambaye hakuruhusu turaruliwe kwa meno yao. 7) Tumeponyoka kama ndege kutoka mtego wa mwindaji; mtego umevunjika, nasi tukaokoka. 8) Msaada wetu ni katika jina la Bwana, Muumba wa mbingu na dunia. Additional comments?
Refresh Captcha
The world's first Holy Bible un-translation!