Preface
Read
+
Publisher
Nainoia, Inc.
PO Box 462, Bellefonte, PA 16823
(814) 470-8028
Nainoia Inc, Publisher
LinkedIn/NAINOIA-INC
Third Party Publisher Resources
Request Custom Formatted Verses
Please contact us below
Submit your proposed corrections
I understand that the Aionian Bible republishes public domain and Creative Commons Bible texts and that volunteers may be needed to present the original text accurately. I also understand that apocryphal text is removed and most variant verse numbering is mapped to the English standard. I have entered my corrections under the verse(s) below. Proposed corrections to the Swahili Contemporary Version, Psalms Chapter 120 https://www.AionianBible.org/Bibles/Swahili---Contemporary/Psalms/120 1) Wimbo wa kwenda juu. Katika dhiki yangu namwita Bwana, naye hunijibu. 2) Ee Bwana, uniokoe kutoka midomo ya uongo na ndimi za udanganyifu. 3) Atakufanyia nini, au akufanyie nini zaidi, ewe ulimi mdanganyifu? 4) Atakuadhibu kwa mishale mikali ya shujaa, kwa makaa yanayowaka ya mti wa mretemu. 5) Ole wangu kwa kuwa naishi Mesheki, kwamba naishi katikati ya hema za Kedari! 6) Nimeishi muda mrefu mno miongoni mwa wale wanaochukia amani. 7) Mimi ni mtu wa amani; lakini ninaposema, wao wanataka vita. Additional comments?
Refresh Captcha
The world's first Holy Bible un-translation!