Preface
Read
+
Publisher
Nainoia, Inc.
PO Box 462, Bellefonte, PA 16823
(814) 470-8028
Nainoia Inc, Publisher
LinkedIn/NAINOIA-INC
Third Party Publisher Resources
Request Custom Formatted Verses
Please contact us below
Submit your proposed corrections
I understand that the Aionian Bible republishes public domain and Creative Commons Bible texts and that volunteers may be needed to present the original text accurately. I also understand that apocryphal text is removed and most variant verse numbering is mapped to the English standard. I have entered my corrections under the verse(s) below. Proposed corrections to the Swahili Contemporary Version, Job Chapter 35 https://www.AionianBible.org/Bibles/Swahili---Contemporary/Job/35 1) Ndipo Elihu akasema: 2) “Je, unadhani hili ni haki? Wewe unasema, ‘Nina haki mbele za Mungu.’ 3) Bado unamuuliza, ‘Ni faida gani nimepata, na imenifaidi nini kwa kutokutenda dhambi?’ 4) “Ningependa nikujibu wewe pamoja na marafiki zako walio pamoja nawe. 5) Tazama juu mbinguni ukaone; yaangalie mawingu yaliyo juu sana juu yako. 6) Je, ukitenda dhambi, inamdhuruje Mungu? Kama dhambi zako zikiwa nyingi, hilo linamfanyia nini Mungu? 7) Kama wewe ni mwadilifu, unampa nini, au yeye anapokea nini mkononi kwako? 8) Uovu wako unamdhuru tu mtu mwingine kama wewe, nayo haki yako inawafaa wanadamu tu. 9) “Wanadamu hulia kwa kulemewa na mateso; huomba msaada kutoka mkono wenye nguvu. 10) Lakini hakuna asemaye, ‘Yuko wapi Mungu Muumba wangu, yeye anifanyaye niimbe usiku, 11) yeye atufundishaye sisi zaidi kuliko wanyama wa dunia, na kutufanya wenye hekima kuliko ndege wa angani?’ 12) Yeye hajibu wakati watu waliapo kwa sababu ya kiburi cha watu waovu. 13) Naam, Mungu hasikilizi maombi yao ya ubatili; Mwenyezi hayazingatii. 14) Si zaidi sana kwamba hatakusikiliza wewe usemapo humwoni, tena ya kwamba shauri lako liko mbele zake na wewe lazima umngojee, 15) pia zaidi, kwamba hasira yake kamwe haiadhibu wala haangalii uovu hata kidogo? 16) Hivyo Ayubu hufumbua kinywa chake kwa maneno yasiyo na maana; anaongea maneno mengi bila maarifa.” Additional comments?
Refresh Captcha
The world's first Holy Bible un-translation!