Preface
Read
+
Publisher
Nainoia, Inc.
PO Box 462, Bellefonte, PA 16823
(814) 470-8028
Nainoia Inc, Publisher
LinkedIn/NAINOIA-INC
Third Party Publisher Resources
Request Custom Formatted Verses
Please contact us below
Submit your proposed corrections
I understand that the Aionian Bible republishes public domain and Creative Commons Bible texts and that volunteers may be needed to present the original text accurately. I also understand that apocryphal text is removed and most variant verse numbering is mapped to the English standard. I have entered my corrections under the verse(s) below. Proposed corrections to the Swahili Contemporary Version, Job Chapter 25 https://www.AionianBible.org/Bibles/Swahili---Contemporary/Job/25 1) Ndipo Bildadi Mshuhi akajibu: 2) “Mamlaka na kuheshimiwa ni vyake Mungu; yeye huthibitisha amani katika mbingu juu. 3) Je, majeshi yake yaweza kuhesabika? Ni nani asiyeangaziwa na nuru yake? 4) Mtu awezaje kuwa mwadilifu mbele za Mungu? Awezaje mtu aliyezaliwa na mwanamke kuwa safi? 5) Ikiwa hata mwezi sio mwangavu nazo nyota si safi machoni pake, 6) sembuse mtu ambaye ni funza: mwanadamu ambaye ni buu tu!” Additional comments?
Refresh Captcha
The world's first Holy Bible un-translation!