< Mathayo 22 >
1 Yesu alisema nao tena kwa kutumia mifano:
Und Jesus antwortete, und sprach abermals in Gleichnissen zu ihnen, indem er sagte:
2 “Ufalme wa mbinguni umefanana na mfalme aliyemwandalia mwanawe karamu ya arusi.
Zu vergleichen ist die Himmelsherrschaft einem König, welcher seinem Sohne Hochzeit machte.
3 Basi, akawatuma watumishi kuwaita walioalikwa waje arusini, lakini walioalikwa hawakutaka kufika.
Und er sandte seine Knechte aus, um die Gäste zur Hochzeit einzuladen, aber sie wollten nicht kommen.
4 Akawatuma tena watumishi wengine, akisema, Waambieni wale walioalikwa: karamu yangu iko tayari sasa; fahali wangu na ng'ombe wanono wamekwisha chinjwa; kila kitu ni tayari, njoni arusini.
Abermals sandte er andere Knechte, und sprach: Saget den Gästen: Siehe, meine Mahlzeit habe ich bereitet, meine Ochsen und mein Mastvieh sind geschlachtet, und alles ist bereit; auf! zur Hochzeit!
5 Lakini wao hawakujali, wakaenda zao; mmoja shambani kwake, mwingine kwenye shughuli zake,
Sie aber kümmerten sich nichts darum, und gingen davon, einer auf seinen Acker, der andere an seinen Handel;
6 na wengine wakawakamata wale watumishi wakawatukana, wakawaua.
Die übrigen aber packten seine Knechte, mißhandelten und töteten sie.
7 Yule mfalme akakasirika, akawatuma askari wake wakawaangamize wauaji hao na kuuteketeza mji wao.
Jener König aber ward zornig, und schickte seine Heere aus, brachte jene Mörder um, und verbrannte ihre Stadt.
8 Kisha akawaambia watumishi wake: Karamu ya arusi iko tayari kweli, lakini walioalikwa hawakustahili.
Dann sagte er seinen Knechten: Die Hochzeit ist zwar bereitet, aber die Geladenen waren es nicht wert.
9 Basi, nendeni kwenye barabara na wowote wale mtakaowakuta waiteni waje arusini.
Gehet nun aus auf die Scheidewege der Straßen, und wen ihr findet, den ladet zur Hochzeit.
10 Wale watumishi wakatoka, wakaenda njiani, wakawaleta watu wote, wabaya na wema. Nyumba ya arusi ikajaa wageni.
Und jene Knechte gingen aus auf die Straßen, und brachten zusammen, wen sie fanden, Böse und Gute, und die Hochzeit ward voll Tischgenossen.
11 “Mfalme alipoingia kuwaona wageni, akamwona mtu mmoja ambaye hakuvaa mavazi ya arusi.
Da ging der König hinein, die Tischgenossen zu beschauen, und sah daselbst einen Menschen, der hatte kein Hochzeitskleid an,
12 Mfalme akamwuliza, Rafiki, umeingiaje hapa bila vazi la arusi? Lakini yeye akakaa kimya.
Und er sagt ihm: Freund, wie bist du hier hereingekommen, ohne daß du ein Hochzeitskleid hast? Er aber verstummte.
13 Hapo mfalme akawaambia watumishi, Mfungeni miguu na mikono mkamtupe nje gizani; huko atalia na kusaga meno.”
Da sprach der König zu den Dienern: Bindet ihm seine Füße und Hände, nehmet ihn, und werfet ihn hinaus in die Finsternis draußen; daselbst wird sein heulen und Zähneknirschen.
14 Yesu akamaliza kwa kusema, “Wengi wamealikwa, lakini wachache wameteuliwa.”
Denn viele sind berufen, aber wenige auserwählt.
15 Kisha, Mafarisayo wakaenda zao, wakashauriana jinsi ya kumnasa Yesu kwa maneno yake.
Alsdann gingen die Pharisäer hin, und hielten einen Rat, um ihm eine Schlinge in der Rede zu legen.
16 Basi, wakawatuma wafuasi wao pamoja na wafuasi wa kikundi cha Herode. Wakamwuliza, “Mwalimu, tunajua kwamba wewe ni mtu mwaminifu, na kwamba wafundisha njia ya Mungu kwa uaminifu; humwogopi mtu yeyote, maana cheo cha mtu si kitu kwako.
Und sie sandten ihre Jünger mit den Herodianern, die sagten: Lehrer, wir wissen, daß du wahrhaftig bist, und daß du lehrest den Weg Gottes in Wahrheit, und kümmerst dich um niemand, denn du achtest nicht das Ansehen der Menschen.
17 Haya, twambie maoni yako. Je, ni halali au la, kulipa Kaisari?”
Sage uns nun: Was dünkt dich? Ist es erlaubt, dem (römischen) Kaiser Steuer zu zahlen, oder nicht?
18 Lakini Yesu alitambua uovu wao, akawaambia, “Enyi
Jesus aber merkte ihre Bosheit, und sprach: Was versuchet ihr mich, ihr Heuchler!
19 Nionyesheni fedha ya kulipia kodi.” Nao wakamtolea sarafu ya fedha. sarafu ya fedha.
Zeiget mir eine Steuermünze! Sie aber brachten ihm einen Denar.
20 Basi, Yesu akawauliza, “Sura na chapa hii ni ya nani?”
Und er spricht zu ihnen: Wessen ist dieses Bild und die Überschrift?
21 Wakamjibu, “Ni vya Kaisari.” Hapo Yesu akawaambia, “Basi, mpeni Kaisari yaliyo yake Kaisari, na Mungu yaliyo yake Mungu.”
Sie sagen ihm: Des (römischen) Kaisers. Da sagt er ihnen: So gebet dem Kaiser, das des Kaisers ist, und Gott, was Gottes ist.
22 Waliposikia hivyo wakashangaa; wakamwacha, wakaenda zao.
Und als sie dieses hörten, verwunderten sie sich, verließen ihn, und gingen davon.
23 Siku hiyo, baadhi ya Masadukayo walimwendea Yesu. Hao ndio wale wasemao kwamba wafu hawafufuki.
An jenem Tage kamen die Sadduzäer zu ihm, die da sagten, es gebe keine Auferstehung, und frugen ihn,
24 Basi, wakamwambia, “Mwalimu, Mose alisema mtu aliyeoa akifa bila kuacha watoto, lazima ndugu yake amwoe huyo mama mjane, amzalie ndugu yake watoto.
Und sprachen: Lehrer, Moses hat gesagt: "Wenn jemand stirbt, und hat keine Kinder, so soll sein Bruder sein Weib ehelichen, und seinem Bruder Samen erwecken."
25 Sasa, hapa petu palikuwa na ndugu saba. Wa kwanza alioa kisha akafa bila kujaliwa watoto, akamwachia ndugu yake huyo mke wake mjane.
Es waren bei uns sieben Brüder, und der erste heiratete, und starb, und da er keinen Samen hatte, hinterließ er sein Weib seinem Bruder.
26 Ikawa vivyo hivyo kwa ndugu wa pili, na wa tatu, mpaka wa saba.
Gleicherweise auch der zweite, und der dritte, bis auf die Sieben.
27 Baada ya ndugu hao wote kufa, akafa pia yule mama.
Zuletzt nach allen starb auch das Weib.
28 Je, siku wafu watakapofufuka mama huyo atakuwa mke wa nani miongoni mwa wale ndugu saba? Maana Wote saba walimwoa.”
In der Auferstehung nun, wessen Weib von den Sieben wird sie sein? denn alle haben sie gehabt.
29 Yesu akawajibu, “Kweli mmekosea kwa sababu hamjui Maandiko Matakatifu wala nguvu ya Mungu!
Jesus aber antwortete und sprach zu ihnen: Ihr irret, weil ihr nicht die Schrift kennt, noch die Kraft Gottes.
30 Maana wafu watakapofufuliwa hawataoa wala kuolewa, watakuwa kama malaika mbinguni.
Denn in der Auferstehung werden sie weder freien, noch sich freien lassen, sondern sie sind wie Engel im Himmel.
31 Lakini kuhusu suala la wafu kufufuka, hamjasoma yale aliyowaambieni Mungu?
Wegen der Auferstehung der Toten aber, habt ihr nicht gelesen, was euch von Gott gesagt ist, da er spricht:
32 Aliwaambia, Mimi ni Mungu wa Abrahamu, Isaka na Yakobo! Basi, yeye si Mungu wa wafu, bali ni Mungu wa walio hai.”
"Ich bin der Gott Abrahams, und der Gott Isaaks, und der Gott Jakobs." Gott aber ist nicht ein Gott der Toten, sondern der Lebenden.
33 Ule umati wa watu uliposikia hivyo ukayastaajabia mafundisho yake.
Und als die Volkshaufen dieses hörten, erstaunten sie ob seiner Lehre.
34 Mafarisayo waliposikia kwamba Yesu alikuwa amewanyamazisha Masadukayo, wakakutana pamoja.
Die Pharisäer aber, als sie hörten, daß er die Sadduzäer zum Schweigen gebracht hatte, versammelten sich daselbst.
35 Mmoja wao, mwanasheria, akamwuliza Yesu kwa kumjaribu,
Und es frug einer von ihnen, ein Gesetzeslehrer, versuchte ihn, und sprach:
36 “Mwalimu, ni amri ipi iliyo kuu katika Sheria ya Mose?”
Lehrer, welches Gebot ist das größte im Gesetz?
37 Yesu akamjibu, “Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, kwa roho yako yote na kwa akili yako yote.
Jesus aber sprach zu ihm: "Du sollst lieben den Herrn, deinen Gott, mit deinem ganzen Herzen, und mit deiner ganzen Seele, und mit deiner ganzen Gesinnung."
38 Hii ndiyo amri kuu ya kwanza.
Dies ist das erste und größte Gebot;
39 Ya pili inafanana na hiyo: Mpende jirani yako kama unavyojipenda wewe mwenyewe.
Das zweite aber ist ihm gleich: "Du sollst deinen Nächsten lieben, wie dich selbst."
40 Sheria yote ya Mose na mafundisho ya manabii vinategemea amri hizi mbili.”
In diesen beiden Geboten hängt das ganze Gesetz und die Propheten.
41 Mafarisayo walipokusanyika pamoja, Yesu aliwauliza,
Als aber die Pharisäer zusammengekommen waren, frug sie Jesus,
42 “Ninyi mwaonaje juu ya Kristo? Je, ni mwana wa nani?” Wakamjibu, “Wa Daudi.”
Und sprach: Was dünket euch von dem Messias? Wessen Sohn ist er? Sie sagen ihm: Davids.
43 Yesu akawaambia, “Basi, inawezekanaje kwamba kwa nguvu ya Roho Mtakatifu Daudi anamwita yeye Bwana? Maana alisema:
Er sagt ihnen: Wie nennt ihn denn David im Geiste: "Herrn", da er spricht:
44 Bwana alimwambia Bwana wangu: keti upande wangu wa kulia, mpaka niwaweke adui zako chini ya miguu yako.
"Der Herr hat meinem Herrn gesagt: Setze dich zu meiner Rechten, bis daß ich deine Feinde zum Schemel deiner Füße mache."
45 Basi, ikiwa Daudi anamwita Kristo Bwana, anawezaje kuwa mwanawe?”
Wenn ihn nun David seinen Herrn nennt, wie ist er denn sein Sohn?
46 Hakuna mtu yeyote aliyeweza kumjibu neno. Na tangu siku hiyo hakuna aliyethubutu tena kumwuliza swali.
Und keiner konnte ihm ein Wort antworten. Auch wagte keiner von jenem Tage an, ihn noch zu fragen.