< Marko 11 >

1 Walipokuwa wanakaribia Yerusalemu walifika Bethfage na Bethania, karibu na mlima wa Mizeituni. Hapo aliwatuma wawili wa wanafunzi wake,
Wakati ogo baisi Yerusarem, kalibu ya Besthfage ni Bethania, pakitombe sa mizeituni, Yesu atumike abele kati ya balyo benepunzi bake
2 akawaambia, “Nendeni katika kijiji kilicho mbele yenu. Mtakapokuwa mnaingia humo, mtakuta mwana punda amefungwa ambaye bado hajatumiwa na mtu. Mfungueni mkamlete.
Ni kuakokeya “Muyende ukijiji sa kibii kalibu ni twee. mana muujingile omo, mwammona mwana mbonda, ambaye anakwelwa kwaa. Mtabaye na munnete kwango.
3 Kama mtu akiwauliza, Mbona mnafanya hivyo? Mwambieni, Bwana anamhitaji na atamrudisha hapa mara.”
Mana api mundu kubalokiya mwalowa kele ntenda iyeya? Mbakiyaye Bwana ando kumpala na ambukiya pano.”
4 Basi, wakaenda, wakamkuta mwana punda barabarani amefungwa mlangoni. Walipokuwa wakimfungua,
Bayei ni kummona mwana mbonda kunza ya mlango kwenye mtaa wa palai ni membe kabaamuundua.
5 baadhi ya watu waliokuwa wamesimama hapo wakawauliza “Kwa nini mnamfungua huyo mwana punda?”
Ni bandu bai bayemi palyo na kabaakokeya “Mutenda kele kumbundua mwana mbonda oyo?”
6 Wanafunzi wakajibu kama Yesu alivyokuwa amewaambia; nao wakawaacha waende zao.
Kabaakokeya katu ya abalogoli Yesu, ni bandu kabaaleka ayende.
7 Wakampelekea Yesu huyo mwana punda. Wakatandika mavazi yao juu ya huyo mwana punda, na Yesu akaketi juu yake.
Benepunzi abele banletike mwana mbonda kwa Yesu na kabatandika ngobo yabe kunani ili Yesu awese kukwela.
8 Watu wengi wakatandaza mavazi yao barabarani; wengine wakatandaza matawi ya miti waliyoyakata mashambani.
Bandi banyaansima kabatandika ngobo yabe mundela ni benge batandike matambe galyo batekwi mmigonda.
9 Watu wote waliotangulia na wale waliofuata wakapaaza sauti zao wakisema, “Hosana! Abarikiwe huyo ajaye kwa jina la Bwana!
Balyo bayei kulonge yake ni balyo bankotike kaba guta “Hosana! Abarikiwe aisa kwa lina lya Bwana.”
10 Ubarikiwe Ufalme ujao wa baba yetu Daudi. Hosana juu mbinguni!”
Ubarikiwe upwalume ogo uisa watate bitu Daudi! Hosana kwa aliye kunani.
11 Yesu aliingia mjini Yerusalemu akaenda moja kwa moja mpaka Hekaluni, akatazama kila kitu kwa makini. Lakini kwa vile ilikwisha kuwa jioni, akaenda Bethania pamoja na wale kumi na wawili.
Ndipo Yesu ayingii Yerusalem na ayei hekaluni na aloi kila kilebe. Muda wa yei, ayei Bethania pamwepe ni komi ni ibele.
12 Kesho yake, walipokuwa wanatoka Bethania, Yesu aliona njaa.
Lisiku lya nyaibele, palyo kabakuya kuoma Bethania, abi ni njara.
13 Basi, akaona kwa mbali mtini wenye majani mengi. Akauendea ili aone kama ulikuwa na tunda lolote. Alipoufikia, aliukuta bila tunda lolote ila majani matupu, kwa vile hayakuwa majira ya mtini kuzaa matunda.
Abweni ntela wa kumwitu ubi ni manyei kutalu ayei kulola kama kubi ni kilebe mwa nnani.
14 Hapo akauambia mtini, “Tangu leo hata milele mtu yeyote asile matunda kwako.” Nao wanafunzi wake walisikia maneno hayo. (aiōn g165)
Kankokeya, “Ntopo wa ulya matunda kuoma kwako lelo.” Benepunzi bake bayowine. (aiōn g165)
15 Basi, wakafika Yerusalemu. Yesu akaingia Hekaluni, akaanza kuwafukuza nje watu waliokuwa wanauza na kununua vitu humo ndani. Akazipindua meza za wale waliokuwa wakibadilishana fedha na viti vya wale waliokuwa wakiuza njiwa.
Baisi Yerusalem ni ywembe kayingia muhekalu katumbua kubapiya panza asalusaji ni anunuzi muhekalu. Kagalwa mesa za wabadilishaji pwela ni vitu vya asulusa ngunda.
16 Hakumruhusu mtu yeyote kupitia Hekaluni akichukua kitu.
Kakanikiya kwa mundu yeyote kupotwa kilebe sosote muhekalu sa kisalulwage.
17 Kisha akawafundisha, “Imeandikwa: Nyumba yangu itaitwa nyumba ya sala kwa ajili ya mataifa yote! Lakini ninyi mmeifanya kuwa pango la wanyang'anyi!”
Kabayegana ni kukoya, “je iandikwe kwaa, nyumba yango yakemwa nyumba ya sala kwa mataifa gote? lakini mutei lipango lya anyang'anyi.”
18 Makuhani wakuu na walimu wa Sheria waliposikia hayo, walianza kutafuta njia ya kumwangamiza. Lakini walimwogopa kwa sababu umati wa watu ulishangazwa na mafundisho yake.
Makuhani akolo ni aandishi bayowine ga akoyage, ni bembe kabapala ndela ya kum'bulaga. Hata hivyo bayogwipe mwalo bandu banyansima batekanganywa ni mapundisho gake.
19 Ilipokuwa jioni, Yesu na wanafunzi wake waliondoka mjini.
Kila pa yaike kitamunyo baboi mjini.
20 Asubuhi na mapema, walipokuwa wanapita, waliuona ule mtini umenyauka wote, hata mizizi.
Kabatyanga bwamba, baabweni ntela wa mmwitu uyomike mpaka mikega gake yake.
21 Petro aliukumbuka, akamwambia Yesu, “Mwalimu, tazama! Ule mtini ulioulaani, umenyauka!”
Petro kakombokya ni kukoya “Rabi lola, ntela wa mmwitu wa ulaanike uyomi.”
22 Yesu akawaambia, “Mwaminini Mungu.
Yesu kabayangwa, mube ni imani kwa Nnongo.
23 Nawaambieni kweli, mtu akiuambia mlima huu: Ng'oka ukajitose baharini bila kuona shaka moyoni mwake, ila akaamini kwamba mambo yote anayosema yanafanyika, atafanyiwa jambo hilo.
Amini nando kuwakoya kila ywa akikokeyue kitombe seno,'Boka na ukaitage wa mwene baharini mana kana ntopo masaka kumoyo wake lakini abi ni imani sa akoiye sapitya, Eyo ndivyo Nnongo atenda.
24 Kwa hiyo nawaambieni, mnaposali na kuomba kitu, aminini kwamba mmekipokea, nanyi mtapewa.
Eyo nendo kuwabakiya kila kilebe sa muyopa ni kulokiya kwa ajiri yake, amini ni mpokile navyo vya ba vinu.
25 Mnaposimama kusali, sameheni kila mtu aliyewakosea chochote, ili Baba yenu aliye mbinguni awasamehe ninyi makosa yenu.
Wakati wa kuyema ni kuyopa, mnapaswa kusamehe sambi naso dhidi ya mundu ywenge, ili Tate binu bambinguni abasameeni mwenga mukosa yinu.
26 Lakini msipowasamehe wengine, hata Baba yenu aliye mbinguni hatawasamehe ninyi makosa yenu.”
(Zingatia: mstari uno, Lakini msipo samehe tate binu wa mbinguni ni ywembe hata wasamehe masambi ginu. ntopo mu mistari ga kale)
27 Basi, wakafika tena Yerusalemu. Yesu alipokuwa akitembea Hekaluni, makuhani wakuu, walimu wa Sheria na wazee walimwendea,
Baisi Yerusalem kwa mara yenge. Yesu katyanga hekaluni, Makuhani akolo, aandishi ni agoi baisi kwake.
28 wakamwuliza, “Unafanya mambo haya kwa mamlaka gani? Nani aliyekupa mamlaka ya kufanya mambo haya?”
Kabankokeya, kwa mamlaga gani utenda iyeya?” Nyai akupei mamlaka ya kutenda gano?”
29 Lakini Yesu akawaambia, “Nitawaulizeni swali moja; mkinijibu, na pia nitawaambieni ni kwa mamlaka gani ninafanya mambo haya.
Yesu kabakokeya, naalokiya swali limo. Nikokeyage nani naakokeya nitenda gano kwa mamlaka ga nyai.
30 Je, mamlaka ya Yohane ya kubatiza yalitoka mbinguni ama kwa watu? Nijibuni.”
Je, ubatizo wa Yohana wa omi mbinguni au wapii kwa bandu? Niyangwaye.”
31 Wakaanza kujadiliana, “Tukisema, Yalitoka mbinguni, atatuuliza, Basi, mbona hamkumsadiki?
Kabajadiliana bene kwa bene kabashindana ni kukoya “mana tukoiye kuoma mbinguni, akoya mwalowa kele hamkumuamini?
32 Na tukisema, Yalitoka kwa watu...” (Waliogopa umati wa watu maana wote waliamini kwamba Yohane alikuwa kweli nabii.)
Mana twakoya kuomba kwa bandu, ... “Bayogwipe bandu, mwalo bote bakoyage Yohana abi nabii.
33 Basi, wakamjibu Yesu, “Sisi hatujui.” Naye Yesu akawaambia, “Nami pia sitawaambieni ninafanya mambo haya kwa mamlaka gani.”
Kabam'yangwa Yesu ni kukoya, “Tutangike kwaa” Yesu kabakokeya, “wala nenga nabakiya kwaa kwa mamlaka gani nitenda gano.

< Marko 11 >