< Waefeso 1 >
1 Mimi Paulo, mtume wa Kristo Yesu kwa mapenzi ya Mungu, nawaandikia ninyi watu wa Mungu huko Efeso, mlio waaminifu katika kuungana na Kristo Yesu.
Paulo, mmanda wa Kristo kwa mapenzi ga Nnongo, kwa balo batengwile kwaajili ya Nnongo batami Efeso na babile baaminifu mu'Kristo Yesu.
2 Nawatakieni neema na amani kutoka kwa Mungu Baba yetu na kwa Bwana Yesu Kristo.
Neema ibe kwinu ni amani yaboka kwa Nnongo Tate bitu ni Ngwana Yesu Kristo.
3 Atukuzwe Mungu na Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo! Maana, katika kuungana na Kristo ametubariki kwa kutujalia zawadi zote za kiroho mbinguni.
Nnongo ni Tate wa Ngwana witu Yesu apeilwe sifa. Ni ywembe ywatubarikiye kwa kila baraka ya roho, mu'mahali pa kumaunde nkati ya Kristo.
4 Kabla ya kuumbwa ulimwengu, Mungu alituteua tuwe wake katika kuungana na Kristo ili tuwe watakatifu na bila hitilafu mbele yake. Kwa sababu ya upendo wake,
Kabla ya kuumbwa dunia, Nnongo atuchawile twenga twaaminiye mu'Kristo. Atuchawile twenga ili tuwezu kupangika kuwa atakatifu ni tulaumikiwa kwaa nnonge yake.
5 Mungu alikuwa ameazimia tangu zamani kutuleta kwake kama watoto wake kwa njia ya Yesu Kristo. Ndivyo alivyopenda na kunuia.
Mu'lipendo Nnongo atuchawile mwanzo kwa kutulopwa kati bana bake kwa ndela ya Yesu Kristo. Apangite nyanya kwa mana apendeziwe panga chelo cha atamaniye.
6 Basi, tumsifu Mungu kwa sababu ya neema yake tukufu katika Mwanae mpenzi!
Matokeo gake ni kuwa Nnongo atitukuzwa kwa neema ya utukufu wake. Cheno nga chaatupeile bure kwa ndela ya mpendwa wake.
7 Maana kwa damu yake Kristo sisi tunakombolewa, yaani dhambi zetu zinaondolewa. Ndivyo ulivyo ukuu wa neema yake
Kwa kuwa mu'mpendwa wake, tubile ni ukombozi petya mwai wake, msamaha wa sambi. Tubile ni leno kwa sababu ya utajiri wa neema yake.
8 aliotukirimia bila kipimo! Kwa hekima na ujuzi wake wote
Apangite neema yee kuwa tanyansima kwa ajili yitu mu'hekima ni ufahamu.
9 Mungu alitekeleza kile alichonuia, akatujulisha mpango wake uliofichika, ambao alikuwa ameazimia kuutekeleza kwa njia ya Kristo.
Nnongo apangite iyowanike kwitu yelo kweli yaiyowanika kwaa ya mpango, bokana ni hamu yaiyowanike nkati ya Kristo.
10 Mpango huo ambao angeutimiza wakati utimiapo ni kukusanya pamoja viumbe vyote, kila kitu mbinguni na duniani, chini ya Kristo.
Muda nyakati zatitimya kwa utimilifu wa mpango bake, Nnongo alowa kuvibeka mpamo ni kila kilebe cha kumaunde ni cha kunani ya nnema nkati ya Kristo.
11 Kila kitu hufanywa kufuatana na mpango na uamuzi wa Mungu; naye Mungu ametuteua sisi tuwe watu wake kwa mapenzi yake katika kuungana na Kristo, kufuatana na azimio alilofanya tangu mwanzo.
Nkati ya Kristo twabile twachaulilwe ni kukusudiwa kabla ya muuda. Ayee ibile bokana na mpango wa ywapanga ilebe yoti kwa kusudi lya mapenzi gake.
12 Basi, sisi tuliotangulia kumtumainia Kristo tunapaswa kuusifu utukufu wa Mungu!
Nnongo apangite nyoo ili tuweze kuwapo kwa sifa ya utukufu wake. Twabile wa kwanza kuwa ni ujasiri nkati ya Kristo.
13 Nanyi pia watu wa mataifa mengine, mliusikia ujumbe wa kweli yaani Habari Njema iliyowaletea wokovu, mkamwamini Kristo; naye Mungu, ili kuonyesha kuwa ninyi ni wake, akawapiga mhuri kwa kuwapeni yule Roho Mtakatifu aliyetuahidia.
Yabile kwa ndela ya Kristo kwamba mwaliyowa neno lya kweli, injili ya ukochopoli wenu kwa ndela ya Kristo. Yabile mu'ywembe pia kwamba mwaaminiya ni kutiwa mhuri ni Roho Mtakatifu ywabile ahidiwa.
14 Huyu Roho ni dhamana ya kurithi yote yale Mungu aliyowaahidia watu wake, na jambo hili latuhakikishia kwamba Mungu atawakomboa kabisa wote walio wake. Tuusifu utukufu wake!
Roho nga dhamana ya urithi witu mpaka umiliki wapatikaane. Ayee yabile ni kwa sifa ya utukufu wake.
15 Kwa sababu hiyo, tangu niliposikia juu ya imani yenu kwa Bwana Yesu na mapendo yenu kwa watu wa Mungu,
Kwa sababu yee, tangu wakati mwayowanike kuhusu imani yinu nkati ya Ngwana Yesu na kuhusu pendo lenu kwa balo boti wabile watitengwa kwa ajili yake.
16 sijaacha kamwe kumshukuru Mungu kwa ajili yenu. Ninawakumbuka katika sala zangu
Nilekite kwaa kumshukuru Nnongo kwaajili yinu na kuwataja mu'maombi yango.
17 ili Mungu wa Bwana wetu Yesu Kristo Baba mtukufu, awajalieni Roho wake atakayewapa hekima na kuwafunulieni Mungu mpate kumjua.
Naloba kwamba Nnongo wa Ngwana witu Yesu Kristo, tate ba utukufu, alowa kuwapeya roho ya hekima, mafunuo ga ufahamu wake.
18 Namwomba Mungu aifunue mioyo yenu iweze kuuona mwanga wake, mpate kutambua lile tumaini alilowaitieni na utukufu mkuu wa zawadi alizowawekea watu wake,
Naloba kuwa minyo yinu ya mioyo yaibekwile bweya kwa mwenga kutanga ni waako ujasiri wa kukemelwa kwinu. Naloba kwamba muuyowe utajiri wa utukufu wa urithi wake nkati ya balo batengwile kwaajili yake.
19 mpate kutambua jinsi uwezo wake ulivyo mkuu mno kwa ajili yetu sisi tunaoamini. Uwezo huo unaofanya kazi ndani yetu, ni sawa na nguvu ile kuu mno
Naloba kwamba uyowe ukolo uzidio wa likakala kyake nkati yinu ambao twaaminiya. Wolo ukolo wabokana na kupanga kazi mu likakala lyake.
20 aliyomfufua nayo Kristo kutoka wafu, akamketisha kulia kwake mbinguni.
Ayee na likakala lyapanga kazi nkati ya Kristo wakati Nnongo ywamfufuile kuoma kwa bandu ba mu'kiwo ni kunketisha mu'luboko lwake wa kummalyo mu'pandu pa kumaunde.
21 Huko, Kristo anatawala juu ya kila tawala, mamlaka, enzi na ukuu; anatawala juu ya kila cheo kiwezacho kutajwa katika ulimwengu huu na katika ulimwengu ujao. (aiōn )
Atami Kristo kunani kutalu ni utawala, mamlaka, nguvu, enzi, na kila lina lyalikemelwa. Ywamtamiliye Yesu mwanja kae kwa wakati kwaa wolo lakini kwa wakati woisa. (aiōn )
22 Mungu ameweka vitu vyote chini ya miguu yake, akamkabidhi kwa kanisa akiwa mkuu wa vitu vyote.
Nnongo abaite kuitisha ilebe yoti pae a magolo ga Kristo. Ampangite ywembe ntwe kunani ya ilebe yoti mu'likanisa.
23 Kanisa ni mwili wa Kristo, na ukamilifu wake yeye anayekamilisha vitu vyote kila mahali.
Ni likanisa kwamba nga yega wake, ukamilifu wake ambae hujaza ilebe yote mu'ndela yoti.