< Matendo 28 >
1 Tulipokwisha fika salama kwenye nchi kavu, tuligundua kwamba kile kisiwa kinaitwa Malta.
Patuikite salama, tutangite panga kisiwa kikemelwa Malta.
2 Wenyeji wa hapo walikuwa wema sana kwetu. Mvua ilikuwa inaanza kunyesha na kulikuwa na baridi, hivyo waliwasha moto, wakatukaribisha.
Bandu batama poo ni balo patupeya ukarimu wa kawaida wa kwaa, ila baliwasha mwoto na kutukaribisha twabote, kwa sababu ya ula na mbepo yaibile itiendelea.
3 Paulo aliokota mzigo mdogo wa kuni akawa anazitia motoni. Hapo, kwa sababu ya lile joto la moto, nyoka akatoka katika kuni akamnasa Paulo mkononi na kujishikilia hapo.
Lakini Paulo paabile atikusanya mzigo wa anju na kuubeka pamwoto, nng'ambo nchunu ywabile na sumu aboka mu'yelo anju kwa sababu ya lelo lijoto, na akajizungusha mu'maboko gake.
4 Wenyeji wa pale walipokiona kile kiumbe kinaning'inia kwenye mkono wake waliambiana, “Bila shaka mtu huyu amekwisha ua mtu, na ingawa ameokoka kuangamia baharini, Haki haitamwacha aendelee kuishi!”
Bandu wenyeji wa palo pabamweni yolo mnyama atining'ia boka mu'maboko gake, babaya bene kwa bene, “Mundu yolo hakika ni muuaji ambaye aboka mulibahari, lakini haki haimuruhusu tama.”
5 Lakini Paulo alikikung'utia kile kiumbe motoni na hakuumizwa hata kidogo.
Lakini ywembe atintupia yolo mnyama katika mwoto na apata kwaa madhara yoyote.
6 Wale watu walikuwa wakitazamia kwamba angevimba au hapohapo angeanguka chini na kufa. Baada ya kungojea kwa muda mrefu bila kuona kwamba Paulo amepatwa na jambo lolote lisilo la kawaida, walibadilisha fikira zao juu yake, wakasema kuwa ni mungu.
Bembe batimgojea avimbe kwa homa au atomboke gafla na kubulagika. Lakini baada ya kunlolekeya kwa muda mrefu na kubona panga ntopo likowe ambalo ni lakwaida kwaa kwake, balibadilisha malango yabe no baya abile nongo.
7 Karibu na mahali pale palikuwa na mashamba ya Publio, mkuu wa kile kisiwa. Publio alitukaribisha kirafiki, tukawa wageni wake kwa siku tatu.
Bai mahali palo papipi pabile na bui ambayo ubile mali ya nkolo wa kisiwa, mundu ywakemelwa Pablio. Atitukaribisha na kutukarimu kwa masoba atatu.
8 Basi, ikawa kwamba baba yake Publio alikuwa amelala kitandani, mgonjwa, ana homa na kuhara. Paulo alikwenda kumwona na baada ya kusali, akaweka mikono yake juu ya mgonjwa, akamponya.
ipalike panga tate ba Pablio abile na homa na ugonjwa wa kuhara. Na Paulo pmwendea, akiloba, kabeka maboko nnani yake, na kumponya.
9 Kutokana na tukio hilo, wagonjwa wote katika kile kisiwa walikuja wakaponywa.
Baada ya lee pangika, bandu benge palo pakisiwa baabile atamwe batiyenda na kuponelwa.
10 Watu walitupatia zawadi mbalimbali na wakati tulipoanza tena safari, walitia ndani ya meli masurufu tuliyohitaji.
Bandu batimuheshimu kwa heshima yanyansima. Tubile twatijiandaa kusafiri, batupeya yelo twahitajia.
11 Baada ya miezi mitatu tulianza tena safari yetu kwa meli moja ya Aleksandria iitwayo “Miungu Pacha”. Meli hiyo ilikuwa imetia nanga kisiwani wakati wote wa baridi.
Baada ya miei itatu, twatisafiri nkati ya meli ya iskanda ambayo ibile imepigwa mbepo kolyo pakisiwa, ambayo viongozi wake babile alongo abele mapacha.
12 Tulifika katika mji wa Sirakusa, tukakaa hapo kwa siku tatu.
Baada ya kuwa twatua katika mji wa Sirakusa, twatama kolyo masoba atatu.
13 Toka huko tuling'oa nanga, tukazunguka na kufika Regio. Baada ya siku moja, upepo ulianza kuvuma kutoka kusini, na baada ya siku mbili tulifika bandari ya Potioli.
Iapangike palo twatisafiri katika mji wa Regio. Baada ya lisoba limo mbepo wa kusini uboite ghafla, na baada ya masoba abele tuikite katika mji wa Putoli.
14 Huko tuliwakuta ndugu kadhaa ambao walituomba tukae nao kwa juma moja. Hivi ndivyo tulivyopata kufika Roma.
Kolyo twatikwembana baadhi ya alongo na twatikaribishwa na tama nao kwa masoba saba. Kwa ndela yee tuisile Rumi.
15 Ndugu wa kule Roma walipopata habari zetu, wakaja kutulaki kwenye soko la Apio na Mikahawa Mitatu. Paulo alipowaona alimshukuru Mungu, akapata moyo.
Boka kolyo balo alongo, baada ya kuwa wayowine habari zetu, baisile kutupokya kolyo kulisoko lya Apias na Hotel tatu. Paulo paabweni balo alongo atimshukuru Nnongo kajipea ujasiri.
16 Tulipofika Roma, Paulo aliruhusiwa kukaa peke yake pamoja na askari mmoja wa kumlinda.
Patujingii Roma, Paulo atiruhusiwa tama kichake pamope na yolo askari ywabile akinlinda.
17 Baada ya siku tatu, Paulo aliwaita pamoja viongozi wa Kiyahudi wa mahali hapo. Walipokusanyika, Paulo aliwaambia, “Wananchi wenzangu, mimi, ingawa sikufanya chochote kibaya wala kupinga desturi za wazee wetu, nilitiwa nguvuni kule Yerusalemu na kutiwa mikononi mwa Waroma.
Bai ibile baada ya masoba atatu Paulo atibakema pamope balo alalome babile viongozi kati ya Ayahudi. Pabaisile pamope, abaya kwao, “Alongo, pamope na panga nipangite kosa lolote kwa bandu aba au panga kinchogo na taratibu za apindo bitu batuyongolya, natitolewa kati mfungwa boka Yerusalemu mpaka katika maboko ga Arumi.
18 Waliponihoji na kuona kwamba sikuwa na hatia yeyote, walitaka kuniacha.
Baada ya kunnaluya, batamaniya kunileka huru, kwa sababu kwabile ntopo sababu kwango nenga yastahili adhabu ya kiwo.
19 Lakini Wayahudi wengine walipinga jambo hilo, nami nikalazimika kukata rufani kwa Kaisari, ingawa sikuwa na chochote cha kuwashtaki wananchi wenzangu.
Lakini balo Ayahudi pabalongela kinyume cha shauku yabe, nililazimika kukata rufaa kwa Kaisaria, ila ibile kwaa kati panga naleta mashitaka nnani ya litaifa lyango.
20 Ni kwa sababu hiyo nimeomba kuonana na kuongea nanyi, maana nimefungwa minyororo hii kwa sababu ya tumaini lile la Israeli.”
Kwa sababu ya kukata kwango rufaa, nga nyo, niloba kubabona na longela namwenga. Kwa sababu ya chelo ambacho Israeli abile na ujasiri nacho, nitabilwe na kifungo chee.
21 Wao wakamwambia, “Sisi hatujapokea barua yoyote kutoka Yudea, wala hakuna ndugu yeyote aliyefika hapa na kutoa habari rasmi au kusema chochote kibaya juu yako.
Boka po bammakiya, “Twapokya kwaa barua boka Yudea kuhusu wenga, wala ntopo nongo ywaisa na kutoa taarifa au baya neno lolote linoite kwaa nnani ya wenga.
22 Lakini tunafikiri inafaa tusikie kutoka kwako mwenyewe mambo yaliyo kichwani mwako. Kwa maana tujualo sisi kuhusu hicho kikundi ni kwamba kinapingwa kila mahali.”
Lakini twapala kuyowa boka kwako wawaza namani kuhusu lee likundi lya bandu aba, kwa sababu iyowanike kwetu panga lalongela kinyume kila mahali.”
23 Basi, walipanga naye siku kamili ya kukutana, na wengi wakafika huko alikokuwa anakaa. Tangu asubuhi mpaka jioni Paulo aliwaeleza na kuwafafanulia juu ya Ufalme wa Mungu akijaribu kuwafanya wakubali habari juu ya Yesu kwa kutumia Sheria ya Mose na maandiko ya manabii.
Pababile batitenga lisoba kwa ajili yake, bandu banyansima baisa mahali paabile atama. Kabaya lelo likowe kwao na kushuhudia kuhusu ufalme wa Nnongo. Atijaribu kubashawishi kuhusu Yesu, kwa namna zote ibele boka katika saliya ya Musa na boka kwa manabii, toka bwamba mpaka kitamwinyo.
24 Baadhi yao walikubali maneno yake, lakini wengine hawakuamini.
Baadhi ya bembe batishawishika kuhusu makowe yalo yabayilwe, na benge baaminiya kwaa.
25 Basi, kukawa na mtengano wa fikira kati yao. Walipokuwa wanakwenda zao, Paulo alisema jambo hili, “Kweli ni sawa yale aliyoyanena Roho Mtakatifu kwa wazee wenu kwa njia ya nabii Isaya
Pabatishindwa yeketyana bene kwa bene, batiboka baada ya Paulo kulibaya likowe lee limo, “Roho Mtakatifu abaya vyema pitya Isaya nabii kwa tate bitu,
26 akisema: Nenda kwa watu hawa ukawaambie: kusikia mtasikia, lakini hamtaelewa; kutazama mtatazama, lakini hamtaona.
Abaya,'Yenda kwa bandu aba ubaye, “Kwa makutu yinu mwalowa sikia, lakini mupekania kwaa; na kwa minyo yinu mwalowa lola lakini mutangite kwaa.
27 Maana akili za watu hawa zimepumbaa, wameziba masikio yao, wamefumba macho yao. La sivyo, wangeona kwa macho yao, wangesikia kwa masikio yao. Wangeelewa kwa akili zao, na kunigeukia, asema Bwana, nami ningewaponya.”
Kwaajili ya mioyo ya bandu aba ibile dhaifu, makutu gabe gapekanie kwa taabu, watifunga minyo yabe; ili panga kana patange kwa minyo yabe, na kupekania kwa makutu gabe, na kutanga kwa mioyo yabe, na kerebuka kae, na nalowa kubaponya.”
28 Halafu Paulo akamaliza na kusema, “Jueni basi, kwamba ujumbe wa Mungu juu ya wokovu umepelekwa kwa watu wa mataifa. Wao watasikiliza!”
Kwa eyo mpalikwa kutanga panga awoo wokovu wa Nnongo utipelekwa kwa bandu ba Mataifa, na balowa kuwapekania.”
29 Paulo alipokwisha sema hayo, Wayahudi walijiondokea huku wakiwa wanabishana vikali wao kwa wao.
30 Kwa muda wa miaka miwili mizima Paulo aliishi katika nyumba aliyoipanga yeye mwenyewe; akawa anawakaribisha wote waliofika kumsalimu.
Pulo atami mu'nyumba yake ya kupanga kwa miaka yote ibele, na atibakaribisha bote baisile kwake.
31 Alikuwa akihubiri Ufalme wa Mungu na kufundisha juu ya Bwana Yesu Kristo kwa uhodari, bila kizuizi.
Abile akihubiri ufalme wa Nnongo na abile akifundisha makowe nnani ya Ngwana Yesu Kristo kwa ujasiri wote. Ntopo ywankanikiya.