< Matendo 18 >

1 Baada ya hayo, Paulo aliondoka Athene, akaenda Korintho.
Baada ya makowe ago, Paulo ayei Athene kuyenda Korintho.
2 Huko Korintho, alimkuta Myahudi mmoja aitwaye Akula, mzaliwa wa Ponto. Akula pamoja na mkewe aitwaye Priskila, walikuwa wamerudi kutoka Italia siku hizohizo kwa sababu Kaisari Klaudio alikuwa ameamuru Wayahudi wote waondoke Roma. Paulo alikwenda kuwaona,
Kolyo atimpata Myahudi ywakemelwa Akwila mundu wa likabila lya Ponto, ywembe na nyumbo wake ywakemelwa Prisila baisile boka kolyo Italia, kwa sababu Klaudia atiamuru Ayahudi bote bayende Roma; Paulo aisa kwao;
3 na kwa vile wao walikuwa mafundi wa kushona mahema kama alivyokuwa yeye, Paulo alikaa nao akafanya kazi.
Paulo atami na kupanga kazi nabembe mana ywembe apanga kazi yatilingana na bembe. Bembe babile na achenga mahema.
4 Kila Sabato alifanya majadiliano katika sunagogi akijaribu kuwavuta Wayahudi na Wagiriki.
Paulo alongela nao mu'lisinagogi kila lisoba lya Sabato. Atibashawishi Ayahudi pamope na Bagiriki.
5 Baada ya Sila na Timotheo kuwasili kutoka Makedonia, Paulo alianza kutumia wakati wake wote kwa ajili ya kuhubiri, akawathibitishia Wayahudi kwamba Yesu ndiye Kristo.
Lakini Sila na Timotheo pabaisile boka Makedonia, Paulo atisukumwa na Roho kubashuhudia Ayahudi kuwa Yesu nga Kristo.
6 Walipompinga na kuanza kumtukana, aliyakung'uta mavazi yake mbele yao akisema, “Mkipotea ni shauri lenu wenyewe; mimi sina lawama yoyote juu ya jambo hilo. Na tangu sasa nitawaendea watu na mataifa mengine.”
Muda Ayahudi batimpinga na kumdhihaki, nga nyo Paulo atikung'uta ngobo yake nnongi yabe, na kubamakiya, “Myai yinu na ibe nnani ya ntwe yinu bene; Nenga nibile kwaa na hatia. Boka nambeambe na kuendelea, nabayendea Mataifa.”
7 Basi, akatoka hapo akaenda kukaa nyumbani kwa mtu mmoja mcha Mungu aitwaye Tito Yusto. Nyumba yake Tito ilikuwa karibu na lile sunagogi.
Nga nyo atiyenda kuboka pale kayenda mu'nyumba ya Tiro Yusto, Mundu ywamudu Nnongo. Nyumba yake ibile papipi na lisinagogi.
8 Lakini Krispo, mkuu wa sunagogi, alimwamini Bwana yeye pamoja na jamaa yake yote. Wakorintho wengi waliusikiliza ujumbe huo, wakaamini na kubatizwa.
Krispo, kiongozo ba lisinagogi pamope na bandu ba nnyumba yake bamwaminiya Ngwana. Bandu banyansima ba Korintho bamyowine Paulo akilongela batiaminiya na kubatizwa.
9 Siku moja usiku, Bwana alimwambia Paulo katika maono: “Usiogope, endelea kuhubiri tu bila kufa moyo,
Ngana kalongela na Paulo kilo kwa ndela ya maono, “Kana uyogope, lakini ulongele na kana unyamae.
10 maana mimi niko pamoja nawe. Hakuna mtu atakayejaribu kukudhuru maana hapa mjini pana watu wengi walio upande wangu.”
Mana nenga nibile pamope na wenga, na ntopo ywalowa jaribu kukudhuru, mana nibile na bandu banyansima katika mji wolo.
11 Basi, Paulo alikaa huko akifundisha neno la Mungu kati yao kwa muda wa mwaka mmoja na nusu.
Paulo atama kwoo kwa muda wa mwaka na miei sita atifundisha neno lya Nnongo nkati yabe.
12 Lakini wakati Galio alipokuwa mkuu wa mkoa wa Akaya, Wayahudi walimvamia Paulo kwa pamoja na kumpeleka mahakamani.
Lakini Galio paapangilwe mtawala wa Akaya, Bayahudi bayemi pamope kunchogo na Paulo na kumpeleka nnongi ya iteo sa hukumu,
13 Wakasema, “Tunamshtaki mtu huyu kwa sababu ya kuwashawishi watu wamwabudu Mungu kwa namna inayopingana na Sheria.”
babaya, “Mundu yolo ubashawishi bandu bamwabudu Nnongo kinchogo na saliya.”
14 Kabla tu Paulo hajaanza kusema, Galio aliwaambia Wayahudi, “Sikilizeni enyi Wayahudi! Kama kweli jambo hili lingekuwa juu ya uhalifu au uovu ningekuwa tayari kuwasikilizeni.
Muda Paulo abile apala kubaya, Galio kaabakiya Ayahudi, “Mwenga mwa Ayahudi, mana ibile ni likosa au uhalifu, ibile halali kubashuhulikia.
15 Lakini kama ni shauri la ubishi kuhusu maneno na majina ya Sheria yenu, amueni ninyi wenyewe. Mimi sitaki kuwa hakimu wa mambo haya!”
Lakini kwa sababu ni maswali, yabile nnani ya maneno na maina, na saliya yinu, bai muhukumu mwenga mwabene. Nenga natamaniya kwaa pangika hakimu kwa habari ya makowe ayo.”
16 Basi, akawafukuza kutoka mahakamani.
Galio atibaamuru baboke nnongi ya iteo sa hukumu.
17 Nao wote wakamkamata Sosthene ambaye alikuwa kiongozi wa sunagogi, wakampiga palepale mbele ya mahakama. Lakini Galio hakujali kitendo hicho hata kidogo.
Nga nyo bantabile Sosthene, kiongozi ba lisinagogi, bankombwile nnongi ya iteo sa hukumu. Lakini Galio ajali kwaa bakipangite.
18 Paulo alikaa bado na wale ndugu huko Korintho kwa siku nyingi. Kisha aliwaaga, akapanda meli kwenda Siria pamoja na Priskila na Akula. Huko Kenkrea, alinyoa nywele zake kwa sababu ya nadhiri aliyokuwa ameweka.
Paulo baada ya tama palo kwa muda mrefu, abalekite alongo na kuyenda kwa meli Siria pamope na Prisila na Akwila. Kabla ya boka bandarini, atinyoa nywili yake mana abile atilapa kuwa Mnadhiri.
19 Walifika Efeso na hapo Paulo aliwaacha Priskila na Akula, akaenda katika sunagogi, akajadiliana na Wayahudi.
Pabaikite Efeso, Paulo amlekite Prisila na Akwila palo, lakini ywembe mwene ajingii mu'lisinagogi na kulongela na Ayahudi.
20 Walimwomba akae nao muda mrefu zaidi, lakini hakupenda.
Bammakiye Paulo atame nabembe kwa muda mrefu, ni ywembe akani.
21 Bali alipokuwa anaondoka, alisema, “Mungu akipenda nitakuja kwenu tena.” Akaondoka Efeso kwa meli.
Lakini atiboka kwao, kaabakiya, “Nalowaakerebukiya kae kwinu, mana itei ni mapenzi ya Nnongo.”Baada ya hapo, ayei kwa meli boka Efeso.
22 Meli ilitia nanga Kaisarea, naye Paulo akaenda Yerusalemu kulisalimia lile kanisa, kisha akaenda Antiokia.
Paulo paaikite Kaisaria, atipanda no yenda likanisa lya Yerusalemu, boka po atiuluka pae kwa likanisa lya Antiokia.
23 Alikaa huko muda mfupi, halafu akaendelea na safari kwa kupitia sehemu za Galatia na Frugia akiwatia moyo wafuasi wote.
Baada ya tama kwa muda kolyo, Paulo ayei pitya maeneo ga Galatia na Frigia na kubapeya mwoyo banapunzi bote.
24 Myahudi mmoja aitwaye Apolo, mzaliwa wa Aleksandria, alifika Efeso. Alikuwa mtu mwenye ufasaha wa kuongea na mwenye ujuzi mkubwa wa Maandiko Matakatifu.
Myahudi yumo ywakemelwa Apolo, aisileb Efeso. Abile na ufasaha katika kulongela na hodari katika maandiko.
25 Alikuwa amefundishwa juu ya hiyo njia ya Bwana, na akiwa motomoto, aliongea juu ya habari za Yesu. Akafundisha kwa usahihi ingawa alikuwa amepata ubatizo wa Yohane tu.
Apolo abile ameelekezwa katika mafundisho ga Ngwana. Kwa namna abile na bidii katika roho, alongela na kubafundisha kwa usahihi makowe yanayomuhusu Yesu, ila atangite tu ubatizo wa Yohana.
26 Priskila na Akula walipomsikia akiongea kwa uhodari ndani ya sunagogi, walimchukua kwao wakamfundisha hiyo Njia ya Mungu kwa usahihi zaidi.
Apolo atumbwi longela kwa ujasiri katika hekalu. Lakini Prisila na Akwila pabamyowine, bapangite urafiki niywembe na kumweleza nnani ya ndela ya Nnongo kwa usahihi.
27 Apolo alipoamua kwenda Akaya, wale ndugu walimtia moyo kwa kuwaandikia wafuasi kule Akaya wampokee. Alipofika huko, aliweza kwa msaada wa neema ya Mungu, kuwasaidia sana wale ndugu waliopata kuwa waumini;
Paatamaniya kuboka kuyenda Akaya, alongo bampeya mwoyo na kubaandikiya barua banafunzi babile Akaya ili bapate kumpokya. Paaisile, kwa neema atibasaidia muno balo baaminiya.
28 kwa maana aliendelea kwa uhodari kuwashinda Wayahudi hadharani akithibitisha kwa Maandiko Matakatifu kuwa Yesu ni Kristo.
Kwa nguvu yake na maarifa. Apolo alibazidi Ayahudi hadharani atibonekeya pitya maandiko yakuwa Yesu nga Kristo.

< Matendo 18 >