< 1 Timotheo 6 >

1 Watumwa wote wanapaswa kuwaheshimu wakuu wao ili kusiwe na sababu ya watu kulitukana jina la Mungu na mafundisho yetu.
Balo bote bababile na likongwa kati abanda babatolwa angwana babe Kati bene heshima boti, bapalikwa panga nyo linga lina lya Nnongo kenelii tukanilwe.
2 Watumwa ambao wakuu wao ni Wakristo wasiwadharau kwani ni ndugu zao. Badala yake, wanapaswa kuwatumikia hata vizuri zaidi, maana hao wanaopata faida kutokana na kazi yao ni waumini ambao wanawapenda. Unapaswa kufundisha na kuhubiri mambo haya.
Abanda bene angwana baba aminile kene bachalawe kwa sababu bembe alongo. Badala bantumikie muno kwasababu angwana babayatia kasi yabe babaaminile na apendwa. kuapundisa makowe gaa.
3 Mtu yeyote anayefundisha kinyume cha mambo haya, na ambaye hakubaliani na maneno ya kweli ya Bwana wetu Yesu Kristo na mafundisho ya dini,
Mene haba mundu jwapundisa upotovu agapokyelii maelekezo ngitu gaga aminike, na ago makowe ga Bwana witu Yesu Kirisitu, mene bagayeketyalii mapundiso lyalyapeleka kuutakatifu.
4 huyo amejaa majivuno na wala hajui chochote. Ni mtu wa kupenda ubishi na magombano juu ya maneno matupu, na hiyo husababisha wivu, ugomvi, matusi, shuku mbaya,
Mundu jwo andakwipuna na atangitelii chochote. Badala yake inda yangabana na shindani juu ya makowe makene gaa gabeleka bwingu, bulwe, matusi, mawazo gananyata.
5 na ubishi usio na kikomo kutoka kwa watu ambao akili zao zimeharibika, na ambao hawana tena ukweli. Wanadhani dini ni njia ya kujipatia utajiri.
Na bulwe want kila chuba kati bandu bene malango yayialabike. Kuileka kweli. Bapikilia utawa ndila ya utajili.
6 Kweli dini humfanya mtu awe tajiri sana, ikiwa anatosheka na vitu alivyo navyo.
Sasa utauwa nalizika ni pwala nguloo.
7 Maana hatukuleta kitu chochote hapa duniani, wala hatutachukua chochote.
Mana twaichilii na kilebe chochote duniani. Wala tuputwalii kilibe chochote buka duniani.
8 Kwa hiyo basi, kama tunacho chakula na mavazi, tunapaswa kuridhika navyo.
Badala yake twatosheka chakulya na ngubo.
9 Lakini wale wanaotaka kutajirika huanguka katika majaribu, na kunaswa katika mtego wa tamaa nyingi mbaya za kipumbavu, ambazo huwavuta mpaka kwenye uharibifu na maangamizi.
Na boo babapanga na mali baluatumbukya majalibuni, mutego, Tumbukya mulalo wananchima tamaa mbaya na kikowe chochote chakibapanga bandu batumbuki mumaangamizi na ualibifu.
10 Kwa maana kupenda sana fedha ni chanzo cha uovu wote. Watu wengine wametamani sana kupata fedha hata wakatangatanga mbali na imani, na wameivunja mioyo yao kwa huzuni nyingi.
Kupenda mbanje mwanzo wa ualibifu. Bandu babaminyikia haya batikuobeya kutalu na imani na baiomite bene oni yananchima.
11 Lakini wewe, mtu wa Mungu, jiepushe na mambo hayo. Zingatia uadilifu, uchaji wa Mungu, imani, mapendo, subira na unyenyekevu.
Lakini wenga mundu wa Nnongo, ughatile makowe goo. Ukingame haki utauwa, uaminifu, upendo, vumilia na upole.
12 Piga mbio kadiri uwezavyo katika shindano la mbio za imani, ukajipatie tuzo la uzima wa milele, uliloitiwa wakati ulipokiri imani yako mbele ya mashahidi wengi. (aiōnios g166)
Ukumbwe ngondo inanoga. Umuliye bwumi wangali yomoka. Yabile sababu you wapiite usaidi nnongi masaidi bananchima kwa chilo chakibii kigolou. (aiōnios g166)
13 Mbele ya Mungu anayevipa vitu vyote uhai, na mbele ya Yesu Kristo aliyetoa ushahidi na kukiri ukweli mbele ya Pontio Pilato,
Nakupei amri nnongi ya Nnongo, ywapanga ilibe yoti ilame, na nnongi ya Yesu Kirisitu, ywabaite nnongi ya kweli kwa Pontio Pilato.
14 nakuamuru ushike maagizo yako na kuyatii kwa uaminifu mpaka Siku ile atakapotokea Bwana wetu Yesu Kristo.
Utunze amri kwakamilifu, bila yogopa, mpaka isa kwa Nngwana witu Yesu Kirisitu.
15 Kutokea kwake kutafanyika wakati ufaao uliopangwa na Mungu mwenye heri na aliye Mtawala pekee, Mfalme wa wafalme, na Bwana wa mabwana.
Nnongo aluathibitisha Isa kwake kwa wakati wake wabile sawasawa-Nnongo, ywabalikilwe, ngupu ya kichakee, mfalme ywatawala, Nngwana ywatawala.
16 Yeye peke yake anaishi milele, katika mwanga usioweza kukaribiwa na mtu. Hakuna mtu aliyepata kumwona au awezaye kumwona. Kwake iwe heshima na uwezo wa milele! Amina. (aiōnios g166)
Kichake ywa lama bila yomoka ywatama katika bweya wangali alibika. Ntupu mundu ywaweza kumona wala kunola. Kachake ibe hesima na uwecho wangeyomoka. Amina. (aiōnios g166)
17 Waamuru watu walio matajiri katika mambo ya maisha ya sasa, wasijivune, wasiweke tumaini lao katika mali isiyoweza kutegemewa; bali wamtegemee Mungu, ambaye kwa ukarimu hutupatia vitu vyote tuvifurahie. (aiōn g165)
mwabakie matajiri ba dunia tuno kene baipune, na baubilii utajiri, Mana wokakikalii. Badala yake, palikwa bamuubili Nnongo. Ywembe nga tupea utajiri wote linga tupuloki. (aiōn g165)
18 Waamuru watende mema, wawe matajiri katika matendo mema, na wawe wakarimu na walio tayari kuwashirikisha wengine mali zao.
Mwabakie babange gananoga, batajirike katika lyengo linanoga, babe babakaribisha na mwoyo wa piya.
19 Kwa namna hiyo watajiwekea hazina ambayo itakuwa kwao msingi imara kwa wakati ujao. Hapo wataweza kujipatia uzima ambao ni uzima wa kweli.
Katika ndila yoo baibekya msingi unanoga kwa jambo lyalya isa linga bawesa tama maisa kamili.
20 Timotheo, tunza salama yote yale uliyokabidhiwa. Jiepushe na majadiliano ya kidunia na ubishi wa kipumbavu juu ya kile wanachokiita watu wengine: “Elimu”.
Timotheo, ulindile chaupeilwe. Ughakwepe ga kilalo na taukana kwa kilogologe na ubuchu makema maarifa.
21 Maana wengine wamejidai kuwa na hiyo elimu, na matokeo yake wamepoteza imani. Nawatakieni nyote neema!
Baadhi ya bandu batangaza makoe gaa, na nyo bakisiim bakisiim imani. Neema ibe pamope nawe.

< 1 Timotheo 6 >