< 1 Timotheo 3 >
1 Msemo huu ni wa kweli: mtu akitaka kuwa kiongozi katika kanisa, huyo anatamani kazi nzuri.
likeweli lyenda aminika: mane abile mundu ywa tamani usimamizi alama nwalyengo linanoga.
2 Basi, kiongozi wa kanisa anapaswa awe mtu asiye na lawama; anapaswa awe na mke mmoja tu, awe mwenye kiasi, nidhamu na utaratibu; ni lazima awe mkarimu na anayeweza kufundisha;
Kwa-nyo simamizi lasima keneabe mundu ywolaumilwa. Lasima abe nalume ywa nwawa yumo. Abe na kiasi. busara, utaratibu, mkarimu. Lasima Abe na uweso wapundisa.
3 asiwe mlevi au mtu wa matata, bali awe mpole, apendaye amani; asiwe mtu wa kupenda fedha;
Kene atumii wimbi kene apende bulwe, ila mpole meene amani. Na lasima kene Abe mwene penda mbanje.
4 anapaswa awe mtu awezaye kuongoza vema nyumba yake, na kuwafanya watoto wake wawe watii kwa heshima yote.
Itakiwa abe mundu ywa yemilika chengo wake mwene, na bana bake ipalikwa ba muheshimu kwa eshima yoti.
5 Maana kama mtu hawezi kuongoza vema nyumba yake, atawezaje kulitunza kanisa la Mungu?
Mana Mana itei awezalii kwiongoza nyumba yake mwene, alowakulilela buli kanisa lya Nnongo?
6 Mtu ambaye hajakomaa bado katika imani asifanywe kuwa kiongozi katika kanisa, asije akajaa majivuno na kuhukumiwa kama vile Ibilisi alivyohukumiwa.
Kene Abe ywaamini ywayambi, akana kwipuna na tumbu kwimuhukumu kati yule mpotofu.
7 Anapaswa awe mwenye sifa njema kati ya watu walio nje ya kanisa, ili asije akalaumiwa na kuanguka katika mtego wa Ibilisi.
Lazima kai Abe na tabia inanoga kwa boti bababile panja, lenga hakana tumbukya mu'oni na mutengo wa upotofu.
8 Wasaidizi katika kanisa wanapaswa pia kuwa watu wenye tabia njema na wanyofu; wasiwe wanywaji mno wa divai au wenye tamaa ya fedha;
Na muudumu was kanisa nganyonyo bapalikwa babe na heshima, na kene babe na makowe gabele, kene banywe wembe au bana tamaa.
9 wanapaswa kuzingatia kwa dhamiri njema ukweli wa ndani wa imani.
Bawese kwilendela kwa zamiri safiyelo kweli imani ya iumukiwile.
10 Ni lazima kwanza wathibitishwe, na wakionekana kuwa wanafaa, basi, watoe huduma yao.
Babe babawiti baba akikisilwe wite, Mana baweza dumu sababu ntupu chabalaumiwa.
11 Wake zao wanapaswa pia kuwa na tabia njema, wasiowasengenya watu, wenye kiasi na waaminifu katika mambo yote.
Na alwawa na bembe babe na heshima, kene babe abuso, Bene kiasi na babaaminika kwa kilebe.
12 Msaidizi katika kanisa lazima awe na mke moja tu, na awezaye kuongoza vema watoto wake na nyumba yake.
Batumishi babe alalome banwawa jumojumo. Lazima bawese kwiyenywa kinanoga bana babe na banyumba babe.
13 Maana wasaidizi wanaofanya kazi yao vizuri hujipatia msimamo mzuri, na wanaweza kusema bila hofu juu ya imani yao katika Kristo Yesu.
Kwasababu balo babatumika kinanoga, bapatajima kinanoga na ujasiri kulo ngati ya imani katika Yesu Kirisitu.
14 Ninakuandikia barua hii nikiwa na matumaini ya kuja kwako hivi karibuni.
Nenda andika makowe ga kasako, na nitegemea icha kasako masoba ga karibu.
15 Lakini kama nikicheleweshwa, basi, barua hii itakufahamisha mwenendo tunaopaswa kuwa nao katika nyumba ya Mungu, ambayo ni kanisa la Mungu aliye hai, na ambalo ni nguzo na msingi wa ukweli.
Ila mene na chelewa, nindaandika lenga upate tanga namna yoyenda kati ya nyumba Nnongo, nalyembe kanisa lya Nnongo lya libile likoti, mwimili na msaada wa kweli.
16 Hakuna mashaka yoyote juu ya ukuu wa siri ya dini yetu: Alionekana katika umbo la kibinadamu alithibitishwa na Roho kuwa ni mwadilifu, akaonekana na malaika. Alihubiriwa kati ya mataifa, aliaminiwa popote ulimwenguni, akachukuliwa juu mbinguni katika utukufu.
Uwesalii pinga ukweli wa Nnongo wa uumukwile ni ukulu: “Abone na yenga na pata uwakika kwa mwoyo nakumonana malaika, natangaza nkati ya bandu makotwike aminiya ngati ya mataifa, aliaminilwa na Dunia na aputwilye kunani kwa ngupu ya Nnongo.