< Ufunuo 19 >

1 Baada ya mambo haya nilisikia sauti kama ya mlio mkubwa wa kundi kubwa la watu mbinguni ikisema, “Haleluya. Wokovu, utukufu, na nguvu ni vya Mungu wetu.
Baada ya makowe gaa nayowine lilobe kati mlelo nkolo wa kipenga kikolo cha bandu kunani yatibaya, “Haleluya. Wokovu, utukufu ni ngupu ni vya Nnongo witu.
2 Hukumu zake ni kweli na za haki, kwa kuwa amemhukumu kahaba mkuu aliyeiharibu nchi kwa uzinzi wake. Amefanya kisasi kwa damu ya watumishi wake, ambayo aliimwaga yeye mwenyewe.”
Hukumu yake ni kweli ni ya haki, kwa kuwa ati hukumu malaya nkolo ywa alibiye kilambo kwa umalaya wake. Apangite kisasi kwa damu ya bapangakazi bake, ambayo atikuipengana ywembe mwene.”
3 Kwa mara ya pili walisema, “Haleluya! Moshi hutoka kwake milele na milele.” (aiōn g165)
Kwa mara yana ibele atibaya, “Haleluya! lioi boka kwake milele ni milele.” (aiōn g165)
4 Wale wazee ishirini na wanne na viumbe hai wanne wakasujudu na kumwabudu Mungu akaaye kwenye kiti cha enzi. Walikuwa wakisema, “Amina. Haleluya!”
Balo apendo ishirini ni ncheche ni iumbe hai ncheche batikumwinamia ni kumwabudu Nnongo ywatama pakitewo cha enzi, babile bakibaya, Amina. Haleluya!”
5 Ndipo sauti ilitoka kwenye kiti cha enzi, ikisema, “Msifuni Mungu wetu, enyi watumishi wake wote, ninyi mnaomcha yeye, wote wasio na umuhimu na wenye nguvu.”
Ndipo lilobe labokite pa'iteo ya enzi, yatibaya, mumlumbe Nnongo witu, enyi bapanga kazi yake yoti, mwenga mnaomcha ywembe, boti mwamubile ntopo umuhimu ni bene ngupu.”
6 Ndipo nilisikia sauti kama sauti ya kundi kubwa la watu, kama sauti ya ngurumo ya maji mengi, na kama ngurumo ya radi, ikisema, “Haleluya! Bwana ni Mungu wetu, mtawala juu ya wote, hutawala.
Boka po nayowine lilobe kati lilobe likundi likolo lya bandu, kati lilobe lya kungulumo lya mache yanambone, ni kati ngulumo lya radi, yaitibaya, “Haleluya! Ngwana ni Nnongo witu, mtawala kunani ya boti utawala.
7 Na tushangilie na kufurahi na kumpa utukufu kwa sababu harusi na sherehe ya Mwana Kondoo imekuja, na bibi harusi yuko tayari.”
Ni tushangilie ni pulai ni kumpa utukufu kwa sababu harusi ni sherehe ya mwana ngondolo atiicha, ni bibi harusi abile.
8 Aliruhusiwa kuvalishwa kitani safi na yenye kung'aa (kitani safi ni matendo ya haki ya waumini).
Atikumrusu kum'walisha kitani safi ni yaing'ara ng'ara(kitani safi ni makowe ya haki ya baamini).
9 Malaika akasema nami, “Yaandike haya: Wamebarikiwa walioalikwa kwenye sherehe ya harusi ya Mwana kondoo.” Vilevile akaniambia, “Haya ni maneno ya kweli ya Mungu.”
Malaika atibaya na nee, “kuwaandika haga; Batibarikiwa babakokwile kwenye sherehe ya harusi ya mwana ngondolo.”Nyonyonyo atikunibakia, “haga nga makowe ga kweli ga Nnongo.”
10 Nilisujudu mbele ya miguu yake nikamwabudu, lakini akaniambia, “Usifanye hivi! Mimi ni mtumishi mwenzako na wa ndugu zako mwenye kuushika ushuhuda wa Yesu. Mwabudu Mungu, kwa kuwa ushuhuda wa Yesu ni roho ya unabii.”
Natikumwinamia nnonge ya magolo gake nakumwabudu, lakini atikunibakia, “Kana ubaye nyaa! nenga ni mtumishi nnyino ni nnunango mwene kamwa ushuhuda wa Yesu ni Roho wqa unabii.”
11 Kisha niliona mbingu zimefunguka, na tazama kulikuwa na farasi mweupe! Na yule aliyekuwa amempanda anaitwa Mwaminifu na wa Kweli. Huhukumu kwa haki na kufanya vita.
Boka po namweni maunde yatiumukwa, ni natirola kwabile ni farasi muu! ni yolo ywabile ywamwobokie atikemelwa mwaminifu ni kweli. Hukumu kwa haki ni panga vita.
12 Macho yake ni kama mwali wa moto, na juu ya kichwa chake ana taji nyingi. Ana jina lililoandikwa juu yake asilolifahamu mtu yeyote isipokuwa yeye mwenyewe.
Minyo gake ni kati mwali wa mwoto, ni kunani ya mutwee wake ana litaji ganambone. Ana lina liliandikilwe kunani yake latitanganikwe kwaa ni mundu yoyoti isipokuwa ywembe mwene.
13 Amevaa vazi lililochovywa katika damu, na jina lake aliitwa Neno la Mungu.
Atiwala mavazi labandukiye katika damu, ni lina lyake atikemelwa neno lya Nnongo.
14 Majeshi ya mbinguni yalikuwa yakimfuata juu ya farasi weupe, walivalishwa kitani nzuri, nyeupe na safi.
Majeshi ya kumaunde yabile gati kumkengama kunano ya farasi beupe, batiwalikwa kitani kinanoga.
15 Kinywani mwake hutoka upanga mkali ambao huyaangamiza mataifa, naye atawatawala kwa fimbo ya chuma. Naye hukanyaga vyombo vya mvinyo kwa hasira kali ya Mungu, hutawala juu ya wote.
Munkano lwake mwapitike lipanga likale ambao kuyaangamiza mataifa, ni ywembe atikubatawala kwa fimbo ya kioma, ni ywembe ulebata yombo ya wembe kwa nyongo kati ya Nnongo, hubatawala kunani ya boti.
16 Naye ameandikwa juu ya vazi lake na katika paja lake jina, MFALME WA WAFALME NA BWANA WA MABWANA.
Ni ywembe atiandikwa kunani ya vazi lyake ni katika kibunge chake lina lyake, MFALME WA AFALME NI NGWANA WA ANGWANA.
17 Niliona malaika amesimama katika jua. Aliwaita kwa sauti kuu ndege wote warukao juu, “Njoni, kusanyikeni pamoja kwenye chakula kikuu cha Mungu.
Namweni malaika atiyema katika liumu. Atikabakema kwa lilobe likolo iyuni boti babagoroka kunani, “Muiche, chamkachanyike pamope kwenye chakulya kikolo cha Nnongo.
18 Njoni mle nyama ya wafalme, nyama ya majemedari, nyama ya watu wakubwa, nyama ya farasi na wapanda farasi, na nyama ya watu wote, walio huru na watumwa, wasio na umuhimu na wenye nguvu.”
Muiche mlye nyama ya afalme, nyama ya majemedali, nyama ya bandu bakolo, nyama ya farasi ni bapanda farasi, ni nyama ya bandu boti, bababiole huru ni batumwa, bababile ntopo umuhimu ni bene ngupu.”
19 Nilimwona mnyama na wafalme wa nchi pamoja na majeshi yao. Walikuwa wamejipanga kwa ajili ya kufanya vita na mmoja aliyepanda farasi na jeshi lake.
Natikum'bona mnyama ni Afalme wa kilambo pamope ni majeshi gabe. Babile batikuipanga kwa ajili ya panga vita ni yumo yaomwike farasi ni jeshi lyake.
20 Mnyama alikamatwa na nabii wake wa uongo aliyezifanya ishara katika uwepo wake. Kwa ishara hizi aliwadanganya wale walioipokea chapa ya mnyama na walioisujudia sanamu yake. Wote wawili walitupwa wangali hai katika ziwa la moto liwakalo kwa kiberiti. (Limnē Pyr g3041 g4442)
Mnyama abiboyokelwa ni nabii wake waubocho bocho yazipangite ishara katika uwepo wake. Kwa ishara yeno atikubakongo balo batikuipokiya atama ya mnyama ni babaisujudile kinyao yake. Boti babele batitailikwa bangali akoto katika libwawa lya mwoto liyakalo kwa kiberiti. (Limnē Pyr g3041 g4442)
21 Wale waliobaki waliuawa kwa upanga uliotoka kinywani mwa mmoja aliyepanda juu ya farasi. Ndege wote walikula mizoga ya miili yao.
Balo baigalile batibulyagilwa kwa lipanga waubokile munkano mwa yumo ywabokite kunani ya farasi. Iyuni boti balile mizoga ya yega yabe.

< Ufunuo 19 >