< Zaburi 117 >

1 Msifuni Yahwe, enyi mataifa yote; enyi watu mhimidini yeye.
Praise the Lord, all you nations: laud him, all you peoples.
2 Kwa kuwa uaminifu wa agano lake ni mkuu kwetu, na uaminifu wa Yahwe wadumu milele. Msifuni Yahwe.
For his mighty love is over us: the Lord is faithful forever. Hallelujah.

< Zaburi 117 >