< Filemoni 1 >

1 Paulo, mfungwa wa Kristo Yesu, na ndugu Timotheo kwa Filemoni, mpendwa rafiki yetu na mtenda kazi pamoja nasi,
Paulo mtabilwa wa kristo Yesu na Nnungu, Timotheo kwa filemoni bwiga litu wa tupanga lyengo pamo.
2 na kwa Afia dada yetu, na kwa Arkipas askari mwenzetu, na kwa kanisa lile linalokutana nyumbani kwako.
na Afia neno mbwitu, na Akripas asikari nnyitu wa kanisa lyalikwmbana na kaachako.
3 Neema iwe kwenu na amani itokayo kwa Mungu Baba yetu na kwa Bwana Yesu Kristo.
Neema ibe kwinu yaipita kwa Nnungu tate bitu na ngwana Yesu Kristo.
4 Wakati wote namshukuru Mungu. Ninakutaja katika maombi yangu.
Wakati woti nendoshukuru Nnungu nenda kutamwa panilaba.
5 Nimesikia upendo na imani uliyonayo katika Bwana Yesu na kwa ajili ya waumini wote.
Njoine obelya kwako na upendo na upendo waubilenao kwa ngwana Yesu na kwa banamachi boti.
6 Ninaomba kwamba ushirika wa imani yenu iwe na ufanisi katika ujuzi wa kila jambo jema lililoko kati yetu katika Kristo.
Nduba umope waunogite wa ubelya kwinu kwa kila kikoe kigolou twenga na kristo.
7 Kwa kuwa nimekuwa na furaha na faraja kwa sababu ya upendo wako, kwa sababu mioyo ya waumini imekuwa ikitulizwa nawe, ndugu.
Mbile napulaa telebuu kwa kitumbuu cha wenga kubatuliza mioyo banamachi.
8 Kwa hiyo, ingawa nina ujasiri wote katika Kristo kukuamuru wewe kufanya kile unachoweza kufanya,
Nibii nangupu lyoti kwa boti katikaa Kristo ya kukubakia upange chauwecha panga.
9 lakini kwa sababu ya upendo, badala yake nakusihi - mimi, Paulo niliye mzee, na sasa ni mfungwa kwa ajili ya Kristo Yesu.
Lakini kitumbu cha upendo, nenda kuloba nenga na Paulo nng'oi wanitabilwe nambiambi kitumbu cha yesu
10 Ninakusihi kuhusu mwanangu Onesmo, niliyemzaa katika vifungo vyangu.
Nenda kuloba usu mwana wangu Onesmo wanimpapite katika tabilwa kwangu.
11 Kwa kuwa mwanzoni hakukufaa, lakini sasa anakufaa wewe na mimi.
Hakupwaikeli lakini nambiambino hakupwaika wenga na nenga.
12 Nimemtuma- yeye ambaye ni wa moyo wangu hasa - kurudi kwako.
Nintumite ywembe ywapamwoyo wangu abuyangane kwako.
13 Nataraji angeendelea kubaki pamoja nami, ili anitumikie badala yako, wakati niwako kifungoni kwa ajili ya injili.
Napendi akayendelya tama nanee lenga aniya ngate pandu pako panitobilwe kwa kitubu liyagayo.
14 Lakini sikutaka kufanya jambo lolote bila ruhusa yako. Nilifanya hivi ili kwamba jambo lolote zuri lisifanyike kwa sababu nilikulazimisha, bali kwa sababu ulipenda mwenyewe kulitenda.
Napendi kupanga kikowe sosate wangali yikilya wenga.
15 Labda ni sababu alitengwa nawe kwa muda, ilikuwa hivyo ili uwe pamoja naye milele. (aiōnios g166)
Natendika kitumbu likowe linoguu lipangike kwakuwa muli, ila kati mwaupande wa mwane. Kitumbu sabukakasako sai kwalioba paumapa na wa maisa gote. (aiōnios g166)
16 Ili kwamba asiwe tena mtumwa, bali bora zaidi ya mtumwa, kama ndugu mpendwa, hasa kwangu, na zaidi sana kwako, katika mwili na katika Bwana.
Linga kareaba mmanda kai ila aba mundu yo ngama kati Nnungu ywaapendilwa muna na nenga munomuno na wenga kuyigana katu za bwana.
17 Na hivyo kama wanichukulia mimi mshirika, mpokee kama ambavyo ungenipokea mimi.
Kati nyo mwamba ndolya nenga mshirika kai mwaupala paga kunipokiya nenga.
18 Lakini kama amekukosea jambo lolote, au unamdai kitu chochote, kidai hicho kutoka kwangu.
Lakini mana kukosite likowe l'ol'ote nakulonga kikowe kuroke kachango nee.
19 Mimi Paulo, ninaandika kwa mkono wangu mwenyewe: mimi nitakulipa. Sisemi kwako kwamba nakudai maisha yako hasa.
Nee na'Paulo niandika kwa luboko namwene: nenga na'kulipa. Nikoya kwako kwo-longa mu'maisa g'ako muno.
20 Naam ndugu, acha nipate furaha ya Bwana toka kwako: uburudishe moyo wangu katika Kristo.
Eelo wanongo, Unileke nipate pula ya'Bwana boka kwako: uutelebuye moyo wango katika Kristo.
21 Nikiwa na imani kuhusu utii wako, nakuandikia nikijua kwamba utafanya hata zaidi ya vile ninavyokuomba.
Bukana na amo niywa nikuahidikya wangali kyanyo panga uliapanga pita ama nikubakia nikuliba.
22 Wakati huo huo andaa chumba cha wageni kwa ajili yangu, kwa kuwa ninatumaini kupitia maombi yako nitakutembelea hivi karibuni.
Popo na popo ubike bwiso pandu pa ugonjo wa ageni kwa kitumbu sangu, nindowasa kwopitia amo uniliulya nakutyangila papipiino.
23 Epafra, mfungwa mwenzangu katika Kristo Yesu anakusalimu,
Epafra ayuu tatabilwa twatate kitu nibusa kirisitu Yesu endokusalimia.
24 na kama afanyavyo Marko, Aristarko, Dema, Luka, watendakazi pamoja nami.
Kati mo panga Marko, Aristariko, Dema, Luka, bababi mulyangopamope na nenga.
25 Neema ya Bwana Yesu Kristo iwe pamoja na roho yako. Amina.
Ngingi ya Bwana bwitu Yesu Krisitu pamope na mwoyo wako. Amina

< Filemoni 1 >