< Nehemia 7 >

1 Wakati ukuta ulipomalizika na milango nimekwisha kuisimamisha, na walinzi wa malango na waimbaji na Walawi walikuwa wamechaguliwa,
城墙修完,我安了门扇,守门的、歌唱的,和利未人都已派定。
2 nikampa ndugu yangu Hanani kuwa na amri juu ya Yerusalemu, pamoja na Hanania ambaye alikuwa msimamizi wa kijiji, kwa kuwa alikuwa mwaminifu na alimuogopa Mungu zaidi kuliko wengi.
我就派我的弟兄哈拿尼和营楼的宰官哈拿尼雅管理耶路撒冷;因为哈拿尼雅是忠信的,又敬畏 神过于众人。
3 Nami nikawaambia, Msifungue malango ya Yerusalemu mpaka jua litakapokuwa kali. Wakati walinzi wa mlango wanalinda, unaweza kufunga milango na kuikaza. Chagua walinzi kutoka kwa wale wanaoishi Yerusalemu, wengine mahali pa kituo chao cha ulinzi, na wengine mbele ya nyumba zao wenyewe.
我吩咐他们说:“等到太阳上升才可开耶路撒冷的城门;人尚看守的时候就要关门上闩;也当派耶路撒冷的居民各按班次看守自己房屋对面之处。”
4 Sasa jiji lilikuwa pana na kubwa, lakini kulikuwa na watu wachache ndani yake, na hakuna nyumba zilizojengwa tena.
城是广大,其中的民却稀少,房屋还没有建造。
5 Mungu wangu aliweka moyoni mwangu, kuwakusanya pamoja wakuu, maafisa, na watu kuwaandikisha katika familia zao. Nilipata Kitabu cha kizazi cha wale ambao walirudi kwanza na nikaona kwamba imeandikwa humo.
我的 神感动我心,招聚贵胄、官长,和百姓,要照家谱计算。我找着第一次上来之人的家谱,其上写着:
6 Hawa ndio watu wa jimbo ambao walikwenda kutoka kwenye uhamisho wa wale waliohamishwa ambao Nebukadreza mfalme wa Babeli aliwachukua mateka. Wakarudi Yerusalemu na Yuda, kila mmoja kwenda kwenye mji wake.
巴比伦王尼布甲尼撒从前掳去犹大省的人,现在他们的子孙从被掳到之地回耶路撒冷和犹大,各归本城。
7 Walikuja na Zerubabeli, Yoshua, Nehemia, Seraya, Reelaya, Nahamani, Mordekai, Bilshani, Mispari, Bigwai, Rehumu na Baana. Idadi ya wana wa Israeli ilikuwa.
他们是同着所罗巴伯、耶书亚、尼希米、亚撒利雅、拉米、拿哈玛尼、末底改、必珊、米斯毗列、比革瓦伊、尼宏、巴拿回来的。
8 Wana wa Paroshi, 2, 172.
以色列人民的数目记在下面:巴录的子孙二千一百七十二名;
9 Wana wa Shefatia, 372.
示法提雅的子孙三百七十二名;
10 Wana wa Ara, 652.
亚拉的子孙六百五十二名;
11 Wana wa Pahath Moabu,
巴哈·摩押的后裔,就是耶书亚和约押的子孙二千八百一十八名;
12 kwa wana wa Yeshua na Yoabu, 2, 818.
以拦的子孙一千二百五十四名;
13 Wana wa Elamu, 1, 254.
萨土的子孙八百四十五名;
14 Wana wa Zatu, 845. Wana wa Zakai, 760.
萨改的子孙七百六十名;
15 Wana wa Binnui, 648.
宾内的子孙六百四十八名;
16 Wana wa Bebai, 628.
比拜的子孙六百二十八名;
17 Wana wa Azgadi, 2, 322.
押甲的子孙二千三百二十二名;
18 Wana wa Adonikamu, 667.
亚多尼干的子孙六百六十七名;
19 Wana wa Bigwai, 2, 067.
比革瓦伊的子孙二千零六十七名;
20 Wana wa Adini, 655.
亚丁的子孙六百五十五名;
21 Wana wa Ateri, wa Hezekia, 98.
亚特的后裔,就是希西家的子孙九十八名;
22 Wana wa Hashumu, 328.
哈顺的子孙三百二十八名;
23 Wana wa Besai, 324.
比赛的子孙三百二十四名;
24 Wana wa Harifu, 112.
哈拉的子孙一百一十二名;
25 Wana wa Gibeoni, 95.
基遍人九十五名;
26 Watu kutoka Bethlehemu na Netofa, 188.
伯利恒人和尼陀法人共一百八十八名;
27 Watu wa Anathothi, 128.
亚拿突人一百二十八名;
28 Watu wa Beth Azmaweth, 42.
伯·亚斯玛弗人四十二名;
29 Watu wa Kiriath Yearimu, Kefira, na Beerothi, 743.
基列·耶琳人、基非拉人、比录人共七百四十三名;
30 Watu wa Rama na Geba, 621.
拉玛人和迦巴人共六百二十一名;
31 Watu wa Mikmasi, 122.
默玛人一百二十二名;
32 Watu wa Betheli na Ai, 123.
伯特利人和艾人共一百二十三名;
33 Watu wa Nebo, 52.
别的尼波人五十二名;
34 Watu wa Elamu wa pili, 1, 254.
别的以拦子孙一千二百五十四名;
35 Watu wa Harimu, 320.
哈琳的子孙三百二十名;
36 Watu wa Yeriko, 345.
耶利哥人三百四十五名;
37 Watu wa Lodi, Hadidi, na Ono, 721.
罗德人、哈第人、阿挪人共七百二十一名;
38 Watu wa Senaa, 3, 930.
西拿人三千九百三十名。
39 makuhani Wana wa Yedaya (wa nyumba ya Yeshua), 973.
祭司:耶书亚家,耶大雅的子孙九百七十三名;
40 Wana wa Imeri, 1, 052.
音麦的子孙一千零五十二名;
41 Wana wa Pashuri, 1, 247.
巴施户珥的子孙一千二百四十七名;
42 Wana wa Harimu, 1, 017.
哈琳的子孙一千零一十七名。
43 Walawi, wana wa Yeshua, wa Kadmieli, wa Binui, wa Hodavia, 74.
利未人:何达威的后裔,就是耶书亚和甲篾的子孙七十四名。
44 Waimbaji wana wa Asafu; 148.
歌唱的:亚萨的子孙一百四十八名。
45 Waliofungua mlango wana wa Shalumu, wana wa Ateri, wana wa Talmoni; wana wa Akubu, wana wa Hatita, wana wa Shobai, 138.
守门的:沙龙的子孙、亚特的子孙、达们的子孙、亚谷的子孙、哈底大的子孙、朔拜的子孙,共一百三十八名。
46 Watumishi wa Hekalu wana wa Siha, wana wa Hasufa, wana wa Tabaothi,
尼提宁:西哈的子孙、哈苏巴的子孙、答巴俄的子孙、
47 wana wa Kerosi, wana wa Siaha, wana wa Padoni,
基绿的子孙、西亚的子孙、巴顿的子孙、
48 wana wa Lebana, wana wa Hagaba, wana wa Salmai,
利巴拿的子孙、哈迦巴的子孙、萨买的子孙、
49 wana wa wa Hanani, wana wa Gideli, wana wa Gahari.
哈难的子孙、吉德的子孙、迦哈的子孙、
50 Wana wa Reaya, wana wa Resini, wana wa Nekoda,
利亚雅的子孙、利汛的子孙、尼哥大的子孙、
51 wana wa Gazamu, wana wa Uza, wana wa Pasea,
迦散的子孙、乌撒的子孙、巴西亚的子孙、
52 wana wa Besai, wana wa Meunimu, wana wa Nefusimu.
比赛的子孙、米乌宁的子孙、尼普心的子孙、
53 Wana wa Bakbuki, wana wa Hakufa, wana wa Harhuri,
巴卜的子孙、哈古巴的子孙、哈忽的子孙、
54 wana wa Baslith, wana wa Mehida, wana wa Harsha,
巴洗律的子孙、米希大的子孙、哈沙的子孙、
55 wana wa Barkosi, wana wa Sisera, wana wa Tema,
巴柯的子孙、西西拉的子孙、答玛的子孙、
56 wana wa Nesia, wana wa Hatifa.
尼细亚的子孙、哈提法的子孙。
57 Wana wa Sulemani, wana wa Sotai, wana wa Sofeereth, wana wa Peruda,
所罗门仆人的后裔,就是琐太的子孙、琐斐列的子孙、比路大的子孙、
58 wana wa Yaala, wana wa Darkoni, wana wa Gideli,
雅拉的子孙、达昆的子孙、吉德的子孙、
59 wana wa Shefatia, wana wa Hatili, wana wa Pokerethi Sebaimu, wana wa Amoni.
示法提雅的子孙、哈替的子孙、玻黑列·哈斯巴音的子孙、亚们的子孙。
60 Watumishi wote wa hekalu, na wana wa watumishi wa Sulemani, walikuwa 392.
尼提宁和所罗门仆人的后裔共三百九十二名。
61 Hawa ndio watu waliokwenda kutoka Tel Mela, Tel harsha, Kerub, Addon, na Imeri. Lakini hawakuweza kuthibitisha kwamba wao au jamaa za baba zao walikuwa wana wa Israeli,
从特米拉、特哈萨、基绿、亚顿、音麦上来的,不能指明他们的宗族谱系是以色列人不是;
62 wana wa Delaya, wana wa Tobia, na wana wa Nekoda, 642.
他们是第莱雅的子孙、多比雅的子孙、尼哥大的子孙,共六百四十二名。
63 Na kutoka kwa makuhani Wana wa Habaya, Hakosi, na Barzilai ( akamchukua mkewe kutoka kwa binti za Barzilai wa Gileadi na akaitwa kwa jina lao).
祭司中,哈巴雅的子孙、哈哥斯的子孙、巴西莱的子孙;因为他们的先祖娶了基列人巴西莱的女儿为妻,所以起名叫巴西莱。
64 Hawa walitafuta rekodi zao kati ya waliojiunga na kizazi chao, lakini hawakuweza kupatikana, kwa hivyo waliondolewa katika ukuhani kama walio najisi.
这三家的人在族谱之中寻查自己的谱系,却寻不着,因此算为不洁,不准供祭司的职任。
65 Naye mkuu wa gavana akawaambia wasiruhusiwe kula chakula cha makuhani kutoka kwenye dhabihu mpaka atakapoinuka kuhani mwenye Urimu na Thumimu.
省长对他们说:“不可吃至圣的物,直到有用乌陵和土明决疑的祭司兴起来。”
66 Kusanyiko lote lilikuwa 42, 360,
会众共有四万二千三百六十名。
67 isipokuwa watumishi wao wa kiume na watumishi wao wa kike, ambao walikuwa 7, 337. Walikuwa na wanaume na wanawake wa kuimba 245.
此外,还有他们的仆婢七千三百三十七名,又有歌唱的男女二百四十五名。
68 Farasi zao zilikuwa 736 kwa idadi, nyumbu zao, 245,
他们有马七百三十六匹,骡子二百四十五匹,
69 ngamia zao, 435, na punda zao, 6, 720.
骆驼四百三十五只,驴六千七百二十匹。
70 Baadhi ya wakuu wa familia za baba zao walitoa zawadi kwa ajili ya kazi. Gavana alitoa sadaka ya darkoni elfu ya dhahabu, mabakuli 50, na mavazi 530 ya makuhani.
有些族长为工程捐助。省长捐入库中的金子一千达利克,碗五十个,祭司的礼服五百三十件。
71 Baadhi ya wakuu wa familia za baba zao waliwapa katika hazina kwa kazi darkroni elfu ishirini za dhahabu na mane 2, 200 za fedha.
又有族长捐入工程库的金子二万达利克,银子二千二百弥拿。
72 Watu wengine waliwapa darkoni za dhahabu ishirini elfu, na dhahabu elfu mbili za fedha, na mavazi sitini na saba kwa makuhani.
其余百姓所捐的金子二万达利克,银子二千弥拿,祭司的礼服六十七件。
73 Basi makuhani, Walawi, walinzi wa malango, waimbaji, watu wengine, watumishi wa hekalu, na Israeli wote waliishi katika miji yao. Hata mwezi wa saba watu wa Israeli walikuwa wakiishi katika miji yao.”
于是祭司、利未人、守门的、歌唱的、民中的一些人、尼提宁,并以色列众人,各住在自己的城里。

< Nehemia 7 >