< Mathayo 25 >
1 Ndipo ufalme wa mbinguni utafananishwa na wanawali kumi waliochukua taa zao na kuondoka kwenda kumpokea bwana harusi.
Uu utemi wakilunde ukipyanigwa neawali nikuminaahole intala yao ekalongola kumupokela ubwana nuawinga.
2 Watano miongoni mwao walikuwa wapumbavu na watano wengine walikuwa werevu.
Antaano ao ae apungu nawa neangiza ataano aeaelewa.
3 Wanawali wapumbavu walipochukua taa zao, hawakuchukua mafuta yoyote.
Eanawali neapungu ekahola intala yao, shanga ekahola emakuta.
4 Bali wanawali welevu walichukua vyombo vyenye mafuta pamoja na taa zao.
Hange aenawali awa neaelewa ekahola iseme yao nemakuta palungwi ni ntala yao.
5 Sasa wakati bwana harusi amechelewa kufika, wote walishikwa usingizi na wakalala.
Imatungo yayo Ubwana nuawinga naushelewe kupika, ehi akahung'wa tolo ekalala.
6 Lakini wakati wa usiku wa manane kulikuwa na yowe, 'Tazama, bwana harusi! Tokeni nje mkampokee.'
Lakini utiku wakatekate akakakuta ngwano,''Goza, ubwana nuawinga! Pumi kunzi mumusingeelye.
7 Ndipo hao wanawali waliamka wote na kuwasha taa zao.
Uu neenso enawali ehi akauka ekakakelya intala yao.
8 Wale wapumbavu waliwaambia wale welevu, 'Mtupatie sehemu ya mafuta yenu kwa sababu taa zetu zinazimika.'
Awa neapunga ekaaela awa neelewa, 'Mukongelye esehemu amakuta anyu kunsoko intala yitu yukulima.'
9 Lakini wale welevu waliwajibu na kuwaambia, 'Kwa kuwa hayatatutosha sisi na ninyi, badala yake nendeni kwa wanaouza mjinunulie kiasi kwa ajili yenu.'
Lakini awa neaelewa ekaasukilya ekaaela, 'Kunsoko shanga akutosilye unyenye nusese, kuite longoli kwa awaneegulya miguelye ekeasi kanyu nekemutosilye.
10 Wakati wameenda huko kununua, Bwana harusi alifika, na wote waliokuwa tayari walienda naye kwenye sherehe ya harusi, na mlango ulifungwa.
Imatungo naalongoe neanso kugula, Ubwana wawinga wekapika, ne matungo naakole tayali aeendile nang'wenso kushelehe awinga, numulango wikalugailwa.
11 Baadaye wale wanawali wengine pia walifika na kusema, 'Bwana, bwana, tufungulie.'
Baadae enawali neangiza naapikile ekalunga, ''Bwana, bwana, kulungwile.''
12 Lakini alijibu na kusema, 'Kweli nawaambia, Mimi siwajui.'
Lakini akaasukelya nukulunga,'Etai kumuela, shanga numumanyile.
13 Kwa hiyo angalieni, kwa kuwa hamjui siku au saa.
Kuite gozi, kunsoko shangamuihe ematungo luhiku ang'wi saa.
14 Kwa kuwa ni sawa na mtu alipotaka kusafiri kwenda nchi nyingine. Aliwaita watumwa wake na kuwakabidhi utajiri wake.
Kuite sawa numuntu nautakile kusafili kulongola ihe ngeza aeutangile eatugwa akwe nukuapa ugole wakwe.
15 Mmoja wao alimpatia talanta tano, mwingine alimpa mbili, na yule mwingine alimpa talanta moja. Kila mmoja alipokea kiasi kulingana na uwezo wake, na yule mtu alisafari kwenda zake.
Ung'wiao wekamupa talanta itaano, uyu numungiza wekamupa ibeele, nuyuite wekamupa eng'wi. Kela ung'wiao aupokee kiasi kulengana nuuwezo wakwe, numuntu nuanso weka safili kulongola yakwe.
16 Mapema yule aliyepokea talanta tano alienda kuziwekeza, na kuzalisha talanta zingine tano.
Mapema uyu naupokee entalanta niitano wikalogola wekaelya, nukutugisa talanta itaano hange.
17 Vilevile yule aliyepokea talanta mbili, alizalisha zingine mbili.
Uu uu nuyu naeupokee italanta nibeele, aeutugizilye ni nzuya ibeele.
18 Lakini mtumwa aliyepokea talanta moja, alienda zake, akachimba shimo ardhini, na kuificha fedha ya bwana wake.
Lakini umutugwa naeupokee talanta eng'wi, wikalongola yakwe wikahemba ishimu pihe, ite wikamepiha empia ang'wa bwana akwe.
19 Na baada ya muda mrefu, bwana wa watumwa hao alirudi na kutengeneza mahesabu nao.
Na baada matungo malepu, Ubwana watungwa neanso wekasuka nukuzepelya emaesabu neenso.
20 Yule mtumwa aliyepokea talanta tano alikuja na kuleta talanta zingine tano, akasema, 'Bwana, ulinipa talanta tano. Tazama, nimepata faida ya talanta zingine tano.'
Umutugwa nuanso nausengeeye italanta niitano auzile wikaleta ningeeza itaano. wikalunga, Bwana, azumpee talanta iitano. Goza napata efaeda atalanta ngiza itaano.
21 Bwana wake alimwambia, 'Hongera, mtumwa mzuri na mwaminifu! Umekuwa mwaminifu kwa vitu vidogo. Nitakupa madaraka juu ya vitu vingi. Ingia katika furaha ya bwana wako.'
Ubwana akwe wikamuila,'' Hongera, mutugwa numuza nuuhueli! Umuhueli kuintu niino. Kuupa emadalaka migulya kuintu niidu. Ingele muiloelyi wang'wa Bwana ako.
22 Mtumwa aliyepokea talanta mbili alikuja na kusema, 'Bwana, ulinipa talanta mbili. Tazama, nimepata faida ya talanta zingine mbili,'
Umutugwa nausengeye italanta niibeele wekeza nukulunga, Bwana, aumpee talanta ibeele. Goza napata faeda atalanta geza ibeele.
23 Bwana wake alimwambia, 'Hongera, mtumwa mzuri na mwaminifu! Umekuwa mwaminifu kwa vitu vichache. Nitakupa madaraka juu ya vitu vingi. Ingia katika furaha ya bwana wako.'
Ubwana akwe wekamuela,''Hongeeli mutugwa numuza nuuhueli kumaintu nemakehu. Kuupa emadalaka migulya kumaintu needu. Ingile wiloelye mung'wa Bwana ako.''
24 Baadaye mtumwa aliyepokea talanta moja alikuja na kusema, 'Bwana, najua kuwa wewe ni mtu mkali. Unachuma mahali ambapo hukupanda, na unavuna mahali ambapo hukusia.
Baadae umutugwa naupokee etalanta neng'we aewezie wekalunga,''Bwana, nengile kina uewe umuntu mutaki wevuna pang'wanso neshanga uhusekile.
25 Mimi niliogopa, nikaenda zangu na kuificha talanta yako katika udongo. Tazama, unayo hapa ile iliyo yako.'
Unene nekogopa, nekenda yane nekapiha etalanta akopihe. Goza, ukete hapa nekako.''
26 Lakini bwana wake alijibu na kusema, 'Wewe mtumwa mwovu na mzembe, ulijua kwamba ninachuma mahali ambapo sijapanda na kuvuna mahali ambapo sikusia.
Lakini ubwana wikamusukilya wekalunga. 'Uewe umutugwa mubee, aulengile kina nekala pang'wanso neshanga ntemee nukuvuna pang'wanso neshanganihusekile.
27 Kwahiyo ulipaswa kuwapa fedha yangu watu wa benki, na wakati wa kurudi kwangu ningeipokea ile yangu pamoja na faida.
Kuite aeizepie kuapa empia ane entu abenki, nematungo naensukile kung'wane aezemesengelya nane palung'wi nefaeda.
28 Kwa hiyo mnyang'anyeni hiyo talanta na mpeni yule mtumwa aliye na talanta kumi.
Apa muhegelyi etalanta nanso mumupe utugwa nukete talanta nikumi.
29 Kila mtu aliye nacho, ataongezewa zaidi-hata kwa kuzidishiwa sana. Lakini kwa yeyote asiye na kitu, hata alicho nacho atanyang'anywa.
Kila umuntu nukete nekakwe, okongeligwa ikulu ata ukuzidisheligwa. Lakini kwa uyu nemugila ekentu, ga nekenukete ukuhegeligwa.
30 Mtupeni nje gizani huyo mtumwa asiyefaa, ambako kutakuwa na kilio na kusaga meno.'
Mugumi kunzi kukiti umutugwa nuanso neshanga ufaile hange ikutula kelelo nukukelya emino!
31 Wakati Mwana wa Adamu atakapokuja katika utukufu wake, na malaika wote pamoja naye, ndipo atakapokaa juu ya kiti chake cha utukufu.
Ematungo ung'wa Adamu nuekeza nuutukufu wakwe, naealaeka ehi palung'wi nung'wenso, Uu ukikie migulya ituntu lakwe nuutukufu.
32 Mataifa yote yatakusanyika mbele zake, naye atawatenganisha watu, kama vile mchungaji anavyowatenganisha kondoo na mbuzi.
Indugu yehi ikilingeela ntongeela akwe, nung'wenso ukuabagala eantu. Anga umudemi nuebagula inkolo nimbuli.
33 Atawaweka kondoo mkono wake wa kuume, bali mbuzi atawaweka mkono wa kushoto.
Ukuieka inkolo mukono wakwe nuwakigoha, ite ukiekaimbuli mokono wankege.
34 Kisha mfalme atawaambia wale walio mkono wake wa kulia, 'Njoni, mliobarikiwa na Baba yangu, urithini ufalme ulioandaliwa kwa ajili yenu tangu kuwekwa msingi wa ulimwengu.
Ite umufalme ukuaela awa nea mukono wakegoha, Nzii, nemukembetilwe nu Tata anyi, usali ufalme nauandalewe kunsoko anyu kupuma ukuekwa emesingi au nkumbigulu.
35 Kwa kuwa nilikuwa na njaa na mlinipa chakula; Nilikuwa mgeni na mlinikaribisha;
Hange aenkete nzala mekampa indya; Ae nemugeni mukankalibisha.
36 Nilikuwa uchi, na mlinivika nguo; Nilikuwa mgonjwa na mkanitunza; Nilikuwa kifungoni na mkaniijia.'
Ae nkole kepwe, mekantugala eang'wenda; Ae numulwae mekantunza; Ae nkole muketungo mukangoza!
37 Ndipo wenye haki watamjibu na kumwambia, 'Bwana, lini tulikuona ukiwa na njaa, na kukulisha? Au una kiu na tukakupa maji?
Uu awa neatai akumusukelya nukumuela, Bwana, Nale aekukuine ukete nzala kekakulesa? Ang'wi ukete nyota kekakupe maze? Hange nale nae kukuine umugeni kekaku kalibisha? Ag'wi ukete nyota kekakupa emaze?
38 Na lini tulikuona ukiwa mgeni, na tukakukaribisha? Au ukiwa uchi na tukakuvisha nguo?
Ang'wi nale naekukuine umugeni nakekakukalibesha? Hange umugila anga lang, wenda kekakutugala eang'wenda?
39 Na lini tulikuona ukiwa mgonjwa, au katika kifungo, na tukakujia?
Ang'wi nale naeumulwae, ang'wi ukole muketungo kekeza kuugoza?
40 Na mfalme atawajibu na kuwaambia, 'Kweli nawaambia, mlichotenda hapa kwa mmoja wa ndugu zangu wadogo, mlinitendea mimi.'
Na umufalme ukuasukelya, etai kumuela, naemutendile apaite kung'wi anyandugu ane neanino, aemuntendee nene!
41 Ndipo atawaambia hao walio mkono wake wa kushoto, 'Ondokeni kwangu, mliolaaniwa, nendeni katika moto wa milele ulioandaliwa kwa ajili ya shetani na malaika zake, (aiōnios )
Kuite ukuaela awa neakole umukono wakwe nuankege; Hegi kitalane unye nemukete emasatiko, Longoli kumoto nua kulenakale naeuandalewe kunsoko ang'wa shetani neamalaeka akwe; (aiōnios )
42 kwa sababu nilikuwa na njaa lakini hamkunipa chakula; Nilikuwa na kiu lakini hamkunipa maji;
Kunsoko aenkete nzala shanga mekakumpa indya; Ae nkete nyota shanga kekakupa emaze;
43 Nilikuwa mgeni lakini hamkunikaribisha; nikiwa uchi lakini hamkunipa mavazi; nikiwa mgonjwa na nikiwa kifungoni, lakini hamkunitunza.'
Ae nemugeni shanga mekankalibisha; Ae nkolekepwe shanga mekampa eang'wenda; Ae nemulwae ae ntungilwe kuite shanga mekangoza.
44 Ndipo wao pia watamjibu na kusema, 'Bwana, lini tulikuona ukiwa na njaa, au una kiu, au u mgeni, au ukiwa uchi, au ukiwa mgonjwa, au ukiwa mfungwa, na hatukukuhudumia?
Au nawa neanso aku musukelwa nukulunga, Bwana nale naekukuine ukete nzala ang'wi nyota, ang'wi umugeni, ang'wi ukepwe ang'wi umulwae, ang'wiutungilwe, shanga kekakuhudumela?
45 Kisha atawajibu na kusema, 'Kweli nawaambia, kile ambacho hamkutenda kwa mmoja wa hawa wadogo, hamkunitendea mimi.'
Ite ukuasukelya nukulunga,''Etai kumuela, eke neshanga aemuatendee awa neanino, shangaae muntendee anga nene.
46 Hawa watakwenda katika adhabu ya milele bali wenye haki katika uzima wa milele.” (aiōnios )
Awaite inzu kuazabu akale nakale kuite awa neatai upanga wakale na kale.'' (aiōnios )