< Mathayo 21 >
1 Yesu na wanafunzi wake wakafika karibu na Jerusalemu na wakaenda mpaka Bethfage, katika mlima mizeituni, kisha Yesu akawatuma wanafunzi wawili,
Yesu ni anapunzi bake baikite karibu ni Yerusalemu na bayei mpaka Bethfag, kukitombe sa mizeituni, Boka po Yesu ngatumite anapunzi bake abele,
2 akiwaambia, “Nendeni katika kijiji kinachofuata, na mara moja mtamkuta punda amefungwa pale, na mwanapunda pamoja naye. wafungueni na kuwaleta kwangu.
Kabakokeya, “Muyende kukijiji cha kibii nnonge, na mwalowa kummona mwana wa mbonda bantabite palo, mukamwunde na kuniletya.
3 Ikiwa mtu yeyote akiwaambia chochote kuhusu hilo, mtasema, `Bwana anawahitaji, ` na mtu huyo mara moja atawaruhusu mje pamoja nao”
Mundu mana kanaluya mwammakiye,'Ngwana indakumpala' ni mundu ywo alowa kunneka na mwuiche nakwe.”
4 Jambo hili lilitokea ni lile lililosemwa kupitia kwa nabii lazima litimizwe. Akawaambia,
Likowe lyoo lyapiti lyalibaite nabii lazima litimye. Kabakokeya,
5 Waambie binti Sayuni, tazama, mfalme wako anakuja kwenu, mnyenyekevu na akiwa amempanda punda, na mwana punda mme, mwana punda mchanga.
Mum'bakiye mwale Sayuni. linga, mpwalume wako endaicha kachinu, mnyenyekevu na ampoki mwana wa mbonda, mwana wa mbonda mnele.
6 Kisha wanafunzi waliondoka na kufanya kama Yesu alivyowaagiza.
Mwisho anapunzi bati buka no panga kati Yesu mwalangile.
7 Wakamleta punda na mwanapunda, na kuweka nguo zao juu yao, naye Yesu akakaa pale.
Baneti mbonda na mwana wake, no tandika ngobo na Yesu ngampokya.
8 Wengi katika mkusanyiko walitandaza nguo zao njiani, na wengine walikata matawi kutoka kwenye miti na kutandaza barabarani.
Bingi nkati ya bandu balandike ngobo yabe mundela na benge batekwi matawi ga mikongo no tandika mundela.
9 Umati uliomtangulia Yesu na wale waliomfuata walipaza sauti, wakisema,”Hosana kwa mwana wa Daudi! Ni mbarikiwa ajaye kwa jina la Bwana. Hosana juu zaidi!”
Kipenga satilongolya Yesu na babamwindikiyae kabayoba, kabaya, “Hosana Mwana wa Daudi umebarikiwa ywaisa kwa lina lya Ngwana. Hosana kunani muno.
10 Yesu alipofika Yerusalemu, mji mzima ulishtuka na kusema, “Huyu ni nani?
Yesu paikite Yerusalemu, mji woti watishtuka no baya, “Hayo wa nyai?”
11 “Umati ulijibu, “Huyu ni Yesu Nabii, kutoka Nazareti ya Galilaya.”
Kipenga chayangwa, “Hayo nga Yesu nabii, boka Nazareti ya Galilaya.”
12 Kisha Yesu akaingia katika hekalu la Mungu. akawafukuza nje wote waliokuwa wakinunua na kuuza hekaluni. Pia alipindua meza za wabadilishaji wa fedha na viti vya wauza njiwa.
Na mwisho Yesu ajingii mu'nyumba ya ibada ya Nnongo. Atikwapiya panja bote bababile kabapema no mpemeya mu'hekalu. Nga nokwa meza yabang'andae kamali na itengo ya babapemeyange ngunda.
13 Akawaambia, “Imeandikwa, `'Nyumba yangu itaitwa nyumba ya maombi, `lakini ninyi mmeifanya pango la wanyang`anyi.”
Kabakokeya, “Yaandikilwe, nyumba yango yalowa kemelwa ya maombi. Lakini mwenga mwipangite lipango lya anyang'anyi.”
14 kisha vipofu na vilema wakamjia hekaluni, naye akawaponya.
Boka po ipofu ni ilema batikumwisilya muhekalu, ni ywembe atikwaponiya.
15 Lakini wakati wakuu wa makuhani na waandishi walipoona maajabu aliyoyatenda, na waliposikia watoto wakipiga kelele hekaluni na kusema, “Hosana kwa Mwana wa Daudi,” walishikwa na hasira.
Ila apindo ba makuhani na aandishi pababweni maajabu agapangite, na pabayowine bana kabapanga ndoti muhekalu na kubaya, “Hosana mwana wa Daudi,” batikasirika muno.
16 Wakamwambia, “Umesikia kile kinachosemwa na hawa watu?” Yesu akawaambia, “Ndiyo! Lakini hamjawahi kusoma, 'Kutoka kwa midomo ya watoto na watoto wachanga wanyonyao mna sifa kamili?''
Batikumakiya, “Uyowine chabakibaya haba bandu?” Yesu ngabakiya, “Elo! Lakini muna wai kwaa soma, buka munkano wa aba bana na bana alele baba yonga benda sifu kinanoga?”
17 Kisha Yesu akawaacha na kwenda nje ya mji katika Bethania na kulala huko.
Boka po Yesu atikwaleka no yenda panja ya nnema akwo Bethania na agonjike kwokwo kwo.
18 Asubuhi alipokuwa anarudi mjini, alikuwa na njaa.
Kindae kabuyangana, boka mjini, abweni njala.
19 Aliona mtini kandokando ya barabara. Akauendea, lakini hakupata kitu juu yake isipokuwa majani. Aliuambia, “Kusiwe na matunda kwako daima tena.” Na mara hiyo mtini ule ukanyauka. (aiōn )
Abweni mtini bwega ya ndela. Atikuuyendea, lakini alibweni kwa litunda nnani yake ila makapi, atikuubakiya, “Buka lino kana wapambike kae.” na mtini wene watiyoma. (aiōn )
20 Wanafunzi walipoona, wakastaajabu na kusema, “Imekuwaje mtini umenyauka mara moja?”
Anapunzi pababweni, batishangala no baya, “Ibi kitiwi mkongo utiyoma mara jimo?
21 Yesu akajibu na kuwaambia, “Kweli nawaambieni, kama mkiwa na imani na bila wasiwasi, hamtafanya kile kilichofanyika kwa huo mtini tu, lakini mtauambia hata huo mlima, ` uchukuliwe na ukatupwe baharini, `na itafanyika.
Yesu kayangwa no kwabakiya, “kweli nenda kwamakiya, mana mubile na imani bila mashaka, mwalowa panga zaidi ya nkongo, mwalowa kukibakiya kitombe chelo kiboke kikatumbuki mu'bahari, ni yalowa pangilwa.
22 Chochote mtakachoomba kwa sala, huku mkiamini, mtapokea.”
Chochote cha mwaloba kwo salya, mana muaminile mwalowa pakya.”
23 Yesu alipofika hekaluni, wakuu wa makuhani na wazee wa watu wakamjia wakati alipokuwa akifundisha na kumwuliza, “Ni kwa mamlaka gani unafanya mambo haya? Na ni nani aliyekupa mamlaka haya?”
Yesu paikite muhekalu, apindo ba makuhani ni apindo babandu batikunyendelya wakati kapundisha na kunnaluya, “Kwa ngupu gani upanga makowe aga? Na nyai ywakupei mamlaka ago?
24 Yesu akajibu na kuwaambia, “Nami tena nitawauliza swali moja. kama mkiniambia, nami vilevile nitawaambia ni kwa mamlaka gani ninafanya mambo haya.
Yesu kayangwa ni kuamakiya, Na nenga mbala kwanaluya linga liswali limo. Mana mwalowa kunibakiya, ni nenga nilowa kuwabakiya ni kwa ngupu ilenga nipangite makowe aga.
25 Ubatizo wa Yohana- ulitoka wapi, mbinguni au kwa wanadamu?” Wakahojiana wenyewe, wakisema, tukisema, ulitoka mbinguni, `atatuambia, kwa nini hamkumwamini? `
“Ubatixo wa Yohana waboka kumaunde au kwa bandu?”Kabakokeyana bene, kababaya, mana tubaye uboka kumaunde,'apala kutumakiya kwanini tuuaminite kwaa?'
26 Lakini tukisema, `ulitoka kwa wanadamu, `tunawaogopa makutano, kwa sababu wote wanamwona Yohana kama nabii.”
Lakini mana tubayite,'uboka kwa bandu,'twalowa yogopa kipenga sa bandu, mana bote bamweni Yohana kati nabii.”
27 Kisha wakamjibu Yesu na kusema, “Hatujui” Akawaambia pia, “Wala mimi sitawaambia ni kwa mamlaka gani nafanya mambo haya.
Boka po batikunkengama Yesu bakibaya, “Tutangite kwa” kabakokeya, “wala nenga niamakiya kwaa ngupu gani nipanga makowe aga.
28 Lakini mnafikiri nini? Mtu mwenye wana wawili. Akaenda kwa moja na kumwambia, `Mwanangu, nenda ukafanye kazi katika shamba la mizabibu
Lakini muwaza namani? Mundu mwene bana abele. Kayenda kwa yumo ni kummakiya,'Mwana wango, nenda ukapange kazi kung'unda wa mizabibu.
29 leo. `Mwana akajibu na kusema, `sitakwenda, ' Lakini baadaye akabadilisha mawazo yake na akaenda.
Lino mwana kayangwa no baya,'niyenda kwaa.' Lakini baadae atibadilisha mawazo gake ni kuyenda.
30 Na Mtu yule akaenda kwa mwana wa pili na kusema kitu kilekile. Mwana huyu akajibu na kusema, `nitakwenda, bwana', lakini hakwenda.
Na mundu yo ayei kea mwana wake ywana ibele ni kumakiya kati ywa kwanza. Mwana ayo kayangwa na kummakiya, nilowa yenda ngwana,' lakini ayendike kwaa.
31 Yupi kati ya wana wawili aliyefanya matakwa ya baba yake? Wakasema, “Mwana wa kwanza.” Yesu akawaambia, “Kweli nawaambieni, wakusanya ushuru na makahaba wataingia kwenye ufalme wa Mungu kabla yenu kuingia.
Ywaako kati ya aba abele ywapangite chakipendike tate bake? Kababaya, mwana wa kwanza.” Yesu kabakokeya, “kweli nenda kuamakiya baba kusanya ushuru ni amalaya balowa jingya mu'utawala wa Nnongo bila mwenga jingya.
32 Kwa maana Yohana alikuja kwenu kwa njia iliyo nyoofu, lakini hamkumwamini, wakati wakusanya ushuru na makahaba walimwamini. Na ninyi, mlipoona hilo likitendeka, hamkuweza kutubu ili baadaye mumwamini.
Kwa mana Yohana aichile kwinu kwa ndela inyookile, lakini mwenga mwangana mwamini, wakati babakusanya ushuru ni amalya batikumwamini. Na mwenga, pamubweni aga gapangite, muweza kwaa kutubu ili badae mwamini.
33 Sikilizeni mfano mwingine. Kulikuwa na mtu, mtu mwenye eneo kubwa la ardh. Alipanda mizabibu, akaiwekea uzio, akatengeneza na chombo cha kukamlia divai, akajenga na mnara wa walinzi, na akalikodisha kwa watunza zabibu. Kisha akaenda katika nchi nyingine.
Mupekani mpwano wenge. Pabile ni mundu mwene lieneo likolo lya bwe. Apandike mzabibu pawaegelile, atumite baadhi ya apanga kazi bake kwa balo akulima ba mizabibu yotola mizabibu yake.
34 Wakati wa mavuno ya mizabibu ulipokaribia, aliwatuma baadhi ya watumishi kwa wakulima wa mizabibu kuchukua mizabibu yake.
Wakati wa mizabibu ikaribu na kwiuna, atumite atumishi kwa akulima wa mizabibu yotola mizabibu yake.
35 Lakini wakulima wa zabibu wakawachukua watumishi wake, wakampiga mmoja, wakamwua mwingine, na wakampiga mmoja kwa mawe.
Lakini akulima ba zabibu ngabatola balo atumishi bake batikumkombwa yumo, batikum'bulaga ywenge, ni yumo bamkombwi ni maliwe.
36 Kwa mara nyingine, Mmiliki aliwatuma watumishi wengine, wengi zaidi ya wale wa kwanza, lakini wakulima wa mizabibu waliwatendea vilevile.
Kwa mara yenge, mmiliki atumite atumishi benge, banansima zaidi ya balo bakwanza lakini akulima wa mizabibu bapangite kati balo ba kwanza.
37 Baada ya hapo bwana yule akamtuma kwao mwana wake, akisema, `'Watamheshimu mwanangu.'`
Baada ya ago ngwana yolo atumite mwana wake, kabaya, “kwasababu ywa mwana wango balowa kumweshimu.”
38 Lakini wakulima wa mizabibu walipomwona kijana yule, wakaambizana, `'Huyu ni mrithi, Njooni, tumuue na tumiliki urithi.'
Ila akulima ba mizabibu pabamweni kijana yolo, kababakiyana, “Hayo nga mrith, muiche, tumulage ni kumiliki urithi.'
39 `Hivyo wakamchukua, wakamtupa nje ya shamba la mizabibu na kumwua.
Kabampotwa, kabantaikulya panja ya ng'unda wa mizabibu ni kummulaga.
40 Je mmliki wa shamba la mizabibu atakapokuja, atawafanya nini wakulima wa mizabibu?”
Je! mwene ng'unda wa mizabibu paalowa icha, alowa kwapanga buli akulima ba miabibu?”
41 Wakamwambia, “Atawaharibu hao watu waovu katika njia ya ukali zaidi, na kisha atalikodisha shamba la mizabibu kwa wakulima wengine wa mizabibu, watu ambao watalipa kwa ajili ya mizabibu itakapoiva.”
Atikwabakiya, “alowa kwabomwana hobo bandu abya kwandela inanyata muno na mwisho alowa kukodisha ng'unda wa mizabibu kwa akulima bingi payalowa kelya.”
42 Yesu akawaambia, “Hamkusoma katika maandiko, 'Jiwe walilolikataa waashi limekuwa jiwe kuu la msingi. Hili lilitoka kwa Bwana, na inashangaza machoni petu?'
Yesu kabakokeya, “Munasoma kwa maandiko, liwe lyabalikani aandishi libile liwe likolo lya papembe Alii lyapitike kwa Ngwana sangala paminyo gitu?'
43 Hivyo nawaambieni, Ufalme wa Mungu utatwaliwa kutoka kwenu na kupewa taifa linalojali matunda yake.
Nga nyoo nganimakiya, utawala wa Nnongo ulowa boloywa buka kachinu na peyelwa mataifa genge gaga jali malunda gake.
44 Yeyote atakayeanguka juu ya jiwe hilo atavunjwa vipandevipande. Lakini kwa yeyote litakayemwangukia, litamsaga.”
Ywoywoti ywalowa tomboka kunani ya liwe lyo alowa tekwanika ipande ipande na kwaywoywoti lyalya mtombokya, lyalwa kumtimba.”
45 Wakuu wa makuhani na mafarisayo waliposikia mifano yake, wakaona kuwa anawazungumzia wao.
Akolo ba makuhani na mafarisayo pabayowine mifano yake batangite alongelya bembe.
46 Lakini kila walipotaka kunyosha mikono juu yake, waliogopa makutano, kwa sababu watu walimtazama kama nabii.
Lakini kila pabapalage kummoywa bakiyogopage kipenga, kwa mwanja bamonage kati nabii.