< Marko 3 >

1 Na tena aliingia ndani ya sinagogi na mle palikuwa na mtu mwenye mkono uliopooza.
Ni iyeya ayingi nnyumba ya Lisinagogi ni omo abimundu abi Ni luboko lutombolwike.
2 Baadhi ya watu walikuwa wakimfuatilia kwa ukaribu kuona kama atamponya siku ya Sabato ili kwamba wamshitaki.
Bandu benge baikabankota kwa karibu kulola atamponya lisiku ya sabato ili basitaki.
3 Yesu alimwambia mtu mwenye mkono uliopooza, “Inuka na usimame katikati ya umati huu.”
yesu kankokeya mundu mwene luboko lutombolwike”kagatuka ni uyeme, kati yabandu bano.”
4 Kisha akawaambia watu, “Je ni halali kutenda tendo jema siku ya Sabato au kutenda yasiyo haki; kuokoa maisha, au kuua?” Lakini walibaki kimya.
kisha kabakokeya bandu, “je ni halali kutwnda liyaulyo linoike lisiku ya sabato au kutenda yasio ya haki, kulopwa maisha gabandu au kubulaga? lakini batami poloi.
5 Akawaangalia kwa hasira, akihuzunika kwa sababu ya ugumu wa mioyo yao, na akamwambia yule mtu, “Nyoosha mkono wako”. Akaunyoosha na Yesu akamponya mkono wake.
kaabalola kwa hasira, kahuzunika mwalo wakunonopa iuba yabe, Ni kankokeya yeah mundu “Tondobeya luboko lwako.”katondobeya ni Yesu kaamponya luboko lwake.
6 Mafarisayo wakaenda nje na mara wakafanya njama pamoja na Maherode dhidi yake ili kumuua.
Mafarisayo bayei panza kabatenda nzama Ni maherode dhidi yake ili bambulage.
7 Kisha Yesu, pamoja na wanafunzi wake, walienda baharini, na umati mkubwa wa watu uliwafuata ukitokea Galilaya na Uyahudi
Kisha Yesu, pamwepe ni benepunzi bake bayei baharini, ni bndu banyansima kabankota kabapeta Galilaya ni Uyahudi.
8 na kutoka Yerusalemu na kutoka Idumaya na mbele ya Yorodani na jirani ya Tiro na Sidoni, umati mkubwa, uliposikia kila kitu alichokuwa anakifanya, walikuja kwake.
Ni kuoma Yeruselemu ni kuoma Idumaya ni kulonge ya Yorodani ni jirani ya Tiro na Sidoni, bandubanyansima, ya kuyowa eso akitei kila mundu aisi kwake.
9 Na aliwaambia wanafunzi wake kuandaa mtubwi mdongo kwa ajili yake kwa sababu ya umati, ili kwamba wasije wakamsonga.
Nakabankokeya benepunzi bake kuandaa ngalaba nzunu mwalo wake, mwalo was kipenga za bandu, kana baise kumpuma.
10 Kwa kuwa aliponya wengi, ili kila mtu aliyekuwa na mateso alikuwa na shauku ya kumfikia ili amguse.
Kuba atekubalagwa bandubanyansima, lenga kilamundu jwabi Ni mateso abinishauku ya kuika palyo aabile ankamwe.
11 Popote roho wachafu walipomwona, walianguka chini mbele yake na kulia, na walisema, “Wewe ni Mwana wa Mungu”.
Palyo roho achafu bambweni, baatombwike pae kulonge yake kaba lela ni kukoya “Wenga was mwana wa Nnongo.”
12 Aliwaamuru kwa msisitizo wasifanye ajulikane.
Kabaaking'india kanabatende atanganike.
13 Alienda juu ya mlima, na akawaita aliowataka, na wakaenda kwake.
Aayei kunani ya kitombe, kabayenda kwake.
14 Akawachagua kumi na wawili (aliowaita mitume), ili kwamba wawe pamoja naye na aweze kuwatuma kuhubiri,
Kabatalanganya komi ni ibile (kabaakema mitume), ili babe pamwepe ni awese kubatuma kuhubiri.
15 na kuwa na mamlaka ya kutoa mapepo.
Ni kuba ni mamlaka ya kupiya mahoka.
16 Na akawachagua kumi na wawili: Simoni, aliyempa jina la Petro,
Na kaababagwa komi ni ibele: Simoni, kaampaya Lina lyango Petro,
17 Yakobo mwana wa Zebedayo, na Yohana ndugu yake Yakobo, aliyepewa jina la Bonagesi, hao ni, wana wa ngurumo,
Yakobo mwana wa Zebedayo, ni Yohana nnunawake Yakobo, aampai lina lya Bonagesi, abo ni bana ba Ngurumo,
18 na Andrea, Filipo, Bartholomayo, Mathayo, Tomaso, Yakobo mwana wa Alfayo, Thadayo, Simoni Mkananayo,
ni Andrea, Filipo, Bartholomayo, Mathayo, Tomaso, Yakobo mwana wa Alfayo, Thadayo, Simoni Mkananayo,
19 na Yuda Iskariote, ambaye atamsaliti.
na Yuda Iskariote, ambaye aankana
20 Kisha alienda nyumbani, na umati wa watu wakaja pamoja tena, hata wasiweze kula hata mkate.
Kisha ayei ukaya, ni bandu banyansima bayei pamwepe, hata balyo bawesa kwaa kulyaa mkate.
21 Familia yake waliposikia habari hiyo, walienda kumkamata, kwani walisema, “Amerukwa na akili”.
Alongo bake bayowine habari eyo, kabayenda kumboywa, kabakoya”agolwike malango.”
22 Waandishi waliokuja kutoka Yerusalemu walisema, “Amepagawa na Beelzebuli,” na, “Kwa mtawala wa mapepo anatoa mapepo”.
Aandishi baisi kuoma Yerusalemu kabakoya, “Amepagawa na Beelzebuli,” na, “kwa ntawala was nsela ampiye nsela.”
23 Yesu aliwaita kwake na kusema nao kwa mifano, “Jinsi gani Shetani aweza kumtoa Shetani?
Yesu aakemike ukasake ni kulongela nabo kwa mifano, “ya nsela awesa kumpiya nsela?
24 Kama ufalme ukigawanyika wenyewe, ufalme huo hauwezi kusimama.
Kama upwalume ubaganike wene, upwalme ogo uwesa kwaa kuyema.
25 Kama nyumba ikigawanyika yenyewe, nyumba hiyo haiwezi kusimama.
Mananyumba ibaganike yene, nyumba eyo iwesa kwaa kuyema.
26 Kama Shetani atainuka kinyume chake mwenyewe na kugawanyika, hawezi kusimama, na atakuwa amefika mwisho wake.
Kati nsela akagatuka kiogo sake mwene ni kubaganika, awesa kwaa kuyema ni aba aike mwisho wake.
27 Lakini hakuna hata mmoja awezaye kuingia ndani ya nyumba ya mtu mwenye nguvu na kuiba vitu vyake bila kumfunga mwenye nguvu kwanza, na kisha kukusanya kilichomo nyumbani.
Lakini ntopo hata yumo awesa kuyingya nnyumba ya mundu mwene ngupu kuyiba ilebe yake bila ya kuntaba mwene ngupu wete, kisha kutola ilebe yote ya nnyumba.
28 Kweli nawambieni, dhambi zote za wana wa watu zitasamehewa, pamoja na kufuru ambazo wanatamka,
kweli nando kuwakokeya, sambi sote za bana Baadam zitasamehewa, pamwepe nikufulueyo balongela.
29 lakini yeyote atakaye mkufuru Roho Mtakatifu hatasamehewa kamwe, bali ana hatia ya dhambi ya milele”. (aiōn g165, aiōnios g166)
Mundu yeyote ywa ankufuru Roho ntakatifu asamehewa kwa, bali abiniatia ya sambi za milele. (aiōn g165, aiōnios g166)
30 Yesu alilisema hili kwa sababu walikuwa wakisema, “Ana roho chafu”.
Yesu akoiye yenu mwalo bayi kabalongela “abini Roho nchafu”
31 Kisha mama yake na ndugu zake walikuja na kusimama nje. Wakamtuma mtu, kumwita.
Kisha mao bake anuna bake baisi nikuyema panza, kabankokeya mundu ankeme.
32 Na umati wa watu uliokuwa umekaa karibu naye wakamwambia, “mama yako na ndugu zako wako nje, na wanakutafuta wewe”.
Bandu banyansima bayii karibu yake batame kabankokeya “mao bako ni anuna bako babii panza, bakupala wenga”.
33 Aliwajibu, “Ni nani mama yangu na ndugu zangu?”
Kaayangwa “nyai mao bango ni anuna bango?
34 Aliwaangalia waliokuwa wamekaa wamemzunguka, na akasema, “Tazama, hawa ni mama zangu na ndugu zangu!
Kabaalola balio batami bantetelike, kakoya “lola bano ni mao bango ni anuna bango!
35 Yeyote afanyaye mapenzi ya Mungu, mtu huyo ni ndugu yangu, na dada yangu, na mama yangu”.
Yeyote atenda mapenzi ya Nnongo, mundu woyo ni nlongo wango, nnombwango, ni mao bango.

< Marko 3 >