< Marko 12 >

1 Kisha Yesu alianza kuwafundisha kwa mifano. Akasema, “Mtu alipanda shamba la mizabibu, akalizungushia uzio, na akachimba shimo la kusindika mvinyo. Akajenga mnara na kisha akalipangisha shamba la mizabibu kwa wakulima wa mizabibu. Kisha alisafiri safari ya mbali.
Yesu katumbua kuayegana kwa mifano. Kakoya mundu apandike nngonda wa mizabibu, kuliteteleya lubego na kuemba likinga la kusudikia mvinyo. kasema mnara na kaupangisha nngonda wa zabibu kwa alemi wa zabibu kaboka kutalu.
2 Wakati ulipofika, alimtuma mtumishi kwa wakulima wa mizabibu kupokea kutoka kwao baadhi ya matunda ya shamba la mizabibu.
Palyo muda uike, amtumike mtumishi kwa alemi ba zabibu kupokya matunda kuoma kumigonda ya zabibu.
3 Lakini walimkamata, wakampiga, na wakamfukuza bila chochote.
Kaba m'boywa, kabampumunda, na kabam'benga bila ya kumpaya kilebe.
4 Akamtuma kwao mtumishi mwingine, wakamjeruhi kichwani na kumtendea mambo ya aibu.
Kantuma kwabe ntumishi ywenge, kabampumunda kumutwe ni kuntendeya mambo ya oni.
5 Bado alimtuma mwingine, na huyu mmoja walimwua. Waliwatendea wengine wengi mambo kama hayo hayo, wakiwapiga na wengine kuwaua.
Bado kantuma ywenge yeya, ni yono yumo kabambulaga. Na benge kabantenda mahoba kati aga. Kaba ankombwa benge kaaam'bulaga.
6 Alikuwa bado na mtu mmoja zaidi wa kumtuma, mwana mpendwa. Naye alikuwa wa mwisho aliyetumwa kwao. Akisema, “Watamheshimu mwanangu”.
Aigile mundu yumo wa kuntuma mwana mpendwa. Ni ywembe awi wa mwisho kutumwa kwabe. Kakoya “Watamsheshim mwanango.”
7 Lakini wapangaji walisemezana wao kwa wao, “Huyu ndiye mrithi. Njoni, hebu na tumwue, na urithi utakuwa wetu.”
Lakini wapangaji kabakoyana bene kwa bene “Yono ndie mrithi. Isaye, tum'bulage ni mrithi wa ba witu.”
8 Walimvamia, wakamuua na kumtupa nje ya shamba la mizabibu.
Kaba n'yola, kaba m'bulaga ni kuntaga kunza ya nngonda wa mizabibu.
9 Kwa hiyo, Je! Atafanya nini mmiliki wa shamba la mizabibu? Atakuja na kuwaangamiza wakulima wa mizabibu na atalikabidhi shamba la mizabibu kwa wengine.
Kwa eyo, atenda kele mwene n'ngonda wa mizabibu? Aisa ni kubaangamiza alemi ba mizabibu na kuapaya benge n'gonda wa zabibu.
10 Hamjapata kusoma andiko hili? “Jiwe ambalo wajenzi walilikataa, limekuwa jiwe la pembeni.
Msomike kwaa andiko elo? Libwe ambalo ajenzi balikani, libi libwe la kumbwega.
11 Hili lilitoka kwa Bwana, na ni la ajabu machoni petu.”
Leno lapii kwa Bwana, na lakukanganya kumminyo gitu.
12 Walitafuta kumkamata Yesu, Lakini waliwaogopa makutano, kwani walijua kuwa alikuwa amenena mfano huo dhidi yao. Hivyo walimwacha na wakaenda zao.
Bapai kunkamwa Yesu, lakini baypgwipe kipenga sa bandu, batangike kuba aabakiye mfano wa kilebe soo. Eyo kabanneka kaba boka.
13 Kisha wakawatuma baadhi ya mafarisayo na maherodia kwake ili kumtega kwa maneno.
Kabatuma mafarisayo ni Maherodia ili kuntega kwa mayegeyo.
14 Walipofika, wakamwambia, “Mwalimu, tunajua kwamba hujali maoni ya yeyote na huonyeshi upendeleo kati ya watu. Unafundisha njia ya Mungu katika ukweli. Je! Ni haki kulipa kodi kwa Kaisari au la? Je! Twaweza kulipa au la?
Palyo baike, kabankokeya, “Mwalimu, tutangike ukani mayegeyo gegote ni upendelya kwaa bandu. Uyengana ndela ya Nnongo bwiso. Je, inoike kulepa kodi kwa kaisari au la? Je tulepe au tukotoke?”
15 Lakini Yesu alijua unafiki wao na kuwaambia, “Kwa nini mnanijaribu? Nipeni dinari niweze kuitazama.”
Yesu kabayangwa uboso wabe nikuakokeya, “Mwalowa kele mwando n'geya? Mbayaye Dinari ni ilole.”
16 Wakaleta moja kwa Yesu, Akawaambia, “Je! ni sura ya nani na maandishi yaliyopo hapa ni ya nani? Wakasema, “Ya Kaisari.”
Kabaleta yimo kwa Yesu, kabaakokeya ni sura ya nyai ni gano maandishi ga nyai? kabakoya “Ya kaisari.”Kabakokeya
17 Yesu akawaambia, “Mpeni Kaisari vitu vya Kaisari na Mungu vitu vya Mungu.” Wakamstaajabia.
Yesu kabakokeya, mpayaye kaisari ilebe ya kaisari ni Nnongo ilebe ya Nnongo.”Kabankanganya.
18 Kisha Masadukayo, wasemao hakuna ufufuo, walimwendea. Wakamuwuliza, wakisema,
Kisha Masadukayo, bakoyae ntopo mfufuo, kaban'yendelelya. kabannokiya, kabakoya,
19 “Mwalimu, Musa alituandikia kuwa, 'Ikiwa ndugu ya mtu akifa na kumwacha mke nyuma yake, lakini hakuacha mtoto, mtu atamchukua mke wa ndugu yake, na kujipatia watoto kwa ajili ya ndugu yake.'
“Mwalimu Musa atuandikie kuba, mana mundu awile ni kunleka nnwawa kiogo yake, lakini alei kwa nwawa, mundu kantola wa nnwawa wa nlongoe, ni kuipatia bana mwalo wa nlongoe.
20 Kulikuwa na ndugu saba, wa kwanza alitwaa mke na kisha akafa, hakuacha watoto.
Kwai ni alongo saba, wakwanza atweti nnwawa kawaa, alei kwa bana,
21 Kisha wa pili alimchukua naye akafa, hakuacha watoto. Na wa tatu hali kadhalika.
Wa nya ibele kantola ni ywembe kawaa, alei kwaa bana. Na wanyaitatu iyeya.
22 Na wa saba alikufa bila kuacha watoto. Mwishowe na mwanamke pia akafa.
Ni wasaba awile bila yakuleka bana. mwisho ywa nnwawa ni ywembe kawaa.
23 Wakati wa ufufuo, watakapofufuka tena, Je! Atakuwa mke wa nani? Kwani wale ndugu wote saba walikuwa waume wake.”
Wakati wa ufufuo, kabayoka tena. Je, aba nyumbo wa nyai? Balyo alongo saba bote bai nyumbo wabe.
24 Yesu aliwaambia, “Je! Hii si sababu kuwa mmepotoshwa, kwa sababu hamjui maandiko wala nguvu za Mungu?”
Yesu kabakokeya, “Je hii mwalo ntebosolwa, mwalo ntangike kwaa maandiko wa ngupu ya Nnongo?”
25 Wakati wa kufufuka toka kwa wafu, hawataoa wala kuingia katika ndoa, bali watakuwa kama malaika wa mbinguni.
Wakati wa kuyoka kubaa kuoma kuwaa, batola kwaa wala kuyingiya malisengele, baba kati malaika wa mbinguni.
26 Lakini, kuhusu wafu ambao wanafufuliwa, Je! Hamkusoma kutoka katika kitabu cha Musa, katika habari za kichaka, jinsi Mungu alivyosema na kumwambia, 'Mimi ni Mungu wa Abrahimu, na Mungu wa Isaka, na Mungu wa Yakobo?'
Kuhusu kuyoka kuoma bandu bawile, msomike kwaa kitabu sa Musa, muhabari za kichaka, Ya Nnongo akoya ni kunkokeya, Nenga Nnongo wa Abrahimu, ni Nnongo wa Isaka, ni Nnongo wa Yakobo?'
27 Yeye si Mungu wa wafu, bali wa walio hai. Ni dhahiri mmepotoka.”
Ywembe Nnongo kwa wa bandu bawile, bali Nnongo wa akoto. Ni kunza kunza mpotile.”
28 Mmoja wa waandishi alikuja na kuyasikia mazungumzo yao; aliona kwamba Yesu aliwajibu vema. Alimwuliza, “Je! ni amri ipi iliyo ya muhimu zaidi katika zote?”
Mwandisi yumo aisi ni kugayowa malongelo ago abweni; Yesu ayangwi bwiso. Kanlokiya “Je ni amri gani iliyo ya muhimu muno kuliko yenge?”
29 Yesu alimjibu, “Iliyo ya muhimu ni hii, “Sikia, Israeli, Bwana Mungu wetu, Bwana ni mmoja.
Yesu kayangwa, “ya muhimu yeno, “Yekanya, Israel Nnongo witu, Bwana yumo bai.
30 Lazima umpende Bwana Mungu wako, kwa moyo wako yote, kwa roho yako yote, kwa akili yako yote, na kwa nguvu zako zote.'
Umpende Nnongo wako kwa moyo wako gote, kwa roho yako yote, kwa malango gako gote, ni kwa ngupu yako yote.'
31 Amri ya pili ni hii, 'Lazima umpende jirani yako kama unavyojipenda mwenyewe.' Hakuna amri nyingine kuu zaidi ya hizi.”
Amri ya nyaibele yeno, “Mpende jirani kati ya uipenda ya uipenda wa mwene.” Ntopo yenge ngolo kupita yeno. `
32 Mwandishi akasema, “Vema Mwalimu! Umesema kweli kwamba Mungu ni mmoja, na kwamba hakuna mwingine zaidi yake.
mwandishi kakoya, “bwiso mwalimu ukoya kweli kuba Nnongo yumo bai na ntopo ywenge zaidi yake.
33 Kumpenda yeye kwa moyo wote, na kwa ufahamu wote na kwa nguvu zote, na kumpenda jirani kama mwenyewe, ni muhimu mno kuliko matoleo na dhabihu za kuteketeza.”
Kumpenda ywembe kwa moyo gote, kwa malango gote, ni kwa ngupu zako zote ni kumpenda jirani yako kati mwene, ni muhimu kuliko mapitio ni dhabuhu za kuteketeza.
34 Wakati Yesu alipoona ametoa jibu la busara, alimwambia, “Wewe hauko mbali na ufalme wa Mungu.” Baada ya hapo hakuna hata mmoja aliye thubutu kumwuliza Yesu maswali yoyote.
Palyo Yesu abweni apiiye jibu la busara, kaankokeya “Wenga hauko kutalu ni upwalume wa Nnongo” kuoma hapo ntopo hata yumo annokiye Yesu swali lolote.
35 Na Yesu alijibu, wakati alipokuwa akifundisha katika hekalu, akasema, “Je! waandishi husemaje kuwa Kristo ni mwana wa Daudi?
Ni Yesu kayangwa, wakati apundisha mu hekalu, kakoya, “je, baandishi hukoya kuwa Kristo ni mwana wa Daudi?
36 Daudi mwenyewe katika Roho Mtakatifu, alisema, 'Bwana alisema kwa Bwana wangu, keti katika mkono wangu wa kuume, mpaka niwafanye maadui wako kuwa chini ya miguu yako.'
Daudi mwene muroho mtakatifu, akoiye, “Bwana akoiye kwaa bwana wango, tama kuluboko lwango lwa mmayo, mpaka niatei maadui wako kuba pae ya magolo gako.'
37 Daudi mwenyewe humwita Kristo, 'Bwana' Je! ni mwana wa Daudi kwa jinsi gani?” Na kusanyiko kuu lilimsikiliza kwa furaha.
Mwene Daudi ankema Kristo,'Bwana' Je, ni mwana wa Daudi buli? Na bandu banyansima bampekanyi kwa Pulaa.
38 Katika mafundisho yake Yesu alisema, “Jihadharini na waandishi, wanaotamani kutembea na kanzu ndefu na kusalimiwa kwenye masoko
Mmayegano gake Yesu kakoya, Ntame kutalu ni aandishi bapenda alyanga ni nganzi ndaso ni kusali miano kwenye masoko.
39 na kuketi kwenye viti vya wakuu katika masinagogi na katika sikukuu kwa maeneo ya wakuu.
Ni kutama mukiti sa akolo mmasinagogi na musiku kuu mwa pandu pa akolo.
40 Pia wanakula nyumba za wajane na wanaomba maombi marefu ili watu wawaone. Hawa watu watapokea hukumu iliyo kuu.”
Pia balya mmisengo ya ajane ni kuyopa mayopo malaso ili bandu bababone. Bano bandu bapokya hukumu ngolo.
41 Kisha Yesu aliketi chini karibu na sanduku la sadaka ndani ya eneo la hekalu; alikuwa akitazama watu waliokuwa wakitia pesa zao ndani ya sanduku. Watu wengi matajiri waliweka kiasi kikubwa cha pesa.
Kisha Yesu atami pae pambwega ya lisanduku la sadaka nkati ya eneo la hekalu, ai kalola bandu kabayeya pwela yabe musanduku. Matajiri bingi babei pwela ya nsima.
42 Kisha mwanamke mjane maskini alikuja na kutia vipande viwili, thamani ya senti.
Kisha nnwawa mjane nkeba kayeya ipande ibele thamani ya senti.
43 Kisha akawaita wanafunzi wake na kuwaambia, “Amini nawaambia, mwanamke huyu mjane ametia kiasi kikubwa zaidi ya wote ambao wameshatoa katika sanduku la sadaka.
Kabakema benepunzi bake ni kuakokeya, “Amini nandokubakiya yono mjane ayeyi kiasi kikolo muno ya balyo bote bapiye mulisanduku la sadaka.
44 Kwani wote wametoa kutokana na wingi wa mapato yao. Lakini mwanamke mjane huyu, kutoka katika umaskini wake, katia pesa yote ambayo alipaswa kuitumia kwa maisha yake.”
Bingi bapiiye kuoma ni ukolo wa kipato sabe. Lakini yonooo nnwawa mjane, kuoma ni ukeba wake ayeyi pwela yote ya utumi mmaisha gake.'

< Marko 12 >