< Yuda 1 >

1 Yuda, mtumwa wa Yesu Kristo, na ndugu yake Yakobo, kwa wale ambao wameitwa, wapendwao katika Mungu Baba, na waliotunzwa kwa ajili ya Yesu Kristo:
Yuda, mmanda wa Yesu kiristo, na nnongowe Yakobo, kwa balo babakemilwe, babapendilwe katika nnongo Tate, na babatunjilwe mwanja Yesu Kirisitu.
2 rehema na amani na upendo viongezwe kwenu.
Rehema na amani na upendo iyongekeye kwinu.
3 Wapenzi, wakati nilipokuwa nikifanya kila juhudi kuwaandikia ninyi kuhusu wokovu wetu sote, ilinilazimu kuwaandikia kwa ajili ya kuwashauri ili mshindanie kwa uaminifu imani ambayo ilikuwa imekabidhiwa mara moja tu kwa waamini.
mwapenzi, panipangaye kila ndela kumwandikyanga mwenga usu ukochopoli witu, na bweni lazima nimwandikyange lenga kunkombokea panga mwilendele kwa uaminipu imani yatwapeile mara jimo bai twenga twatuobelya.
4 Kwa sababu watu fulani wamejiingiza kwa siri kati yenu - watu ambao walitiwa alama kwa ajili ya hukumu - watu wasio wataua ambao hubadili neema ya Mungu wetu kuwa ufisadi, na kumkana Bwana wetu pekee na Bwana Yesu Kristo.
kwa kitumbu kunabanda babajingi kinyemela abobalembilwe lulembo lenga baukumiwe bandualau babagalambwa Neema ya Nnungu panga kilebe chobocho bankana Bwana witu kichake na Bwana Yesu kirisitu.
5 Sasa napenda kuwakumbusha ninyi ingawa kuna wakati mlijua kwa ukamilifu kwamba Bwana aliwaokoa watu kutoka nchi ya Misri, lakini baadaye kuwaangamiza wale ambao hawakuamini.
tumbwele mbenda kunkombokeya mwenga panga inga mutangite kwa kakape panga kwina wakati Bwana akochopoli, bandu boka Misri, bokapo babakotwike kumwobelya atekwanganyia.
6 Na malaika ambao hawakuilinda enzi yao wenyewe lakini wakaacha makao yao maalum Mungu amewaweka katika minyororo ya milele, ndani ya giza, kwa ajili ya hukumu ya siku ile kuu. (aïdios g126)
malaika babakotwikw kwilenndela lenji yabe nakukileka kitamochabe Nnungu abeimutabilwe wangayomoka mulubendo balende ukumu ya lichoba lya mwisho. (aïdios g126)
7 Kama vile Sodoma na Gomora na miji iliyoizunguka, ambayo pia ilijiingiza yenyewe katika uasherati na wakafuata tamaa isiyo ya asili. Walioneshwa kama mifano ya wale ambao huteseka katika hukumu ya moto wa milele. (aiōnios g166)
kati sodoma na Gomora na ilambo yaiteleta, ambabo na bembe baijingiye bene muusharati na bakengime mwaba minyikiyage gangaliba boka patumbu, balayilwe kati mfango wa balo babalumya mumwoto wangayomoka. (aiōnios g166)
8 Hali kadhalika, kwa njia ile ile waota ndoto hawa pia huchafua miili yao, na hukataa mamlaka, na wananena uongo dhidi ya mtukufu.
Nyinyonyo kwa ndela yeyeloyelo babalota ndoto bachapuya yegayabe kwokana isimu apendo nolongela bocho usu utukupu.
9 Lakini hata Mikaeli malaika mkuu, wakati alipokuwa akishindana na ibilisi na kuhojiana naye kwa ajili ya mwili wa Musa, hakuthubutu kuleta hukumu ya uongo dhidi yake, lakini badala yake alisema, “Bwana akukemee!”
Lakini atamalaika nkolo Mikaeli, payomine na ibilisi asindinenakwe mwanja yega ya Musa alowiteli lets likowe lyobocho palipake abaite Nnungu akubendi.
10 Lakini watu hawa huleta uongo dhidi ya chochote wasicho kifahamu. Na kile wasicho kifahamu- kile ambacho wanyama wasio na akili hujua kwa silika- haya ndiyo yaliyo waharibu.
Lakini bandu babalekite ubocho kwa chochote chabakotwike kitanga nachabakitangite bapangite kati inyama bangali malango ago ngaalabiye.
11 Ole wao! Kwa kuwa wametembea katika njia ya Kaini, na kulifuata kosa la Balaamu. Wameangamia katika uasi wa Kora.
ole wabe mwanja bapite mundela ya Kaini, nokengama ulaa wa Balaamu. Balanganyike muuasi wa Kora.
12 Hawa ni miamba katika sherehe zenu za upendo, wakisherehekea bila aibu, wakijilisha tu wenyewe. Ni mawingu yasiyo na maji, yanayobebwa na upepo, ni miti iliyopukutika isiyo na matunda iliyo kufa mara mbili, iliyong'olewa mizizi
Aba ngababalongolya mucheleko cheleko yinu yo upendo nopulaika bila oni na kwipeya chakulya bene, baikati maunde gange mache gagapotolwa na nchunga kati mikongo yangapambika yaiyoma pabele noyobokolwa ndandae.
13 Ni mawimbi ya bahari yenye kelele yakitoa aibu yao wenyewe, Ni nyota zinazorandaranda ambazo weusi wa giza umetunzwa kwa ajili yao milele. (aiōn g165)
Ni mawimbi ya bahari yabii Ni ndoti yene, Ni tondwa zindoranda kunani ambazo upili wa lubendo wabekilwe kwaajili yabe wangayomoka. (aiōn g165)
14 Enoko, wa saba katika orodha ya Adamu, alitabiri kuhusu wao, akisema, “Tazama! Bwana anakuja na maelfu kwa maelfu ya watakatifu wake,
Enoko, jwa saba katika isabu ya Adamu, atitabili husu bembe, atibaya lola Ngwana andaisa na maelfu na maelfu ya atakatifu bake,
15 ili afanye hukumu juu ya kila mtu, na kutia hatia wote wasiomcha Mungu juu ya matendo yao yote waliyokwishafanya katika njia zisizo za kitauwa, na kwa maneno yote ya ukali ambayo wasio watauwa wameyanena dhidi yake.”
Lenga apange ukumu kunani ya kila mundu, na kwayeya atiya boti baba kotoka kun'yowa Nnongo kwa ayendo gabe goti gaba yomwi panga mundela yaibile kwaa ya utauwa, na kwa makowe goti ga ukale ambapo babile kwa bali longela kunani yake.”
16 Hawa ni wale wanung'unikao, walalamikao ambao hufuata tamaa zao za uovu, wajivunao mno, ambao kwa faida yao hudanganya wengine.
Haba gabalo baba nung'unika, baba lalamika gaba kingama tama yabe yo ubou, baba ipuna, na bembe kwa faida yabe kwa konga benge.
17 Lakini ninyi, wapenzi, kumbukeni maneno ambayo yalinenwa zamani na mitume wa Bwana Yesu Kristo.
Ila mwenga, mwapenzi, mukomboki yange makowe gaga bakiyilwe zamani na mitume ba Nngwana Yesu Kristo.
18 Walisema kwenu, “Katika wakati wa mwisho kutakuwa na watu wanaodhihaki ambao hufuata tamaa zao zisizo za kitauwa.”
Baba baite kachinu, m muda wa bwiso kwaba na bandu babadhiaki nabo bakengama tamaa yabe yange utauwa.”
19 Watu hawa ni watenganishaji, wanatawaliwa na tamaa za asili, na hawana Roho.
Bandu ba batengeneza, benda tawaliwa na tamaa ya asili na wantopo Roho.
20 Lakini ninyi, wapenzi, kama mjijengavyo katika imani yenu takatifu sana, na kama muombavyo katika Roho Mtakatifu,
Lakini mwenga, mwanipendile, kati mwa mwichewa mu imani yinu takatifu sana, na panga mwamuloba kwa Roho mtakatifu.
21 jitunzeni katika upendo wa Mungu, na msubiri rehema ya Bwana wetu Yesu Kristo ambayo huwapatia uzima wa milele. (aiōnios g166)
Mwilendele kwene upendo wa Nnongo, na mulende uruma ya Nngwana witu Yesu Kristo ambayo kumpeya mwomi wange yomoka. (aiōnios g166)
22 Onesheni rehema kwa wale walio na shaka.
Mulangi huruma kwa balo baba bii na masaka.
23 Waokoeni wengine kwa kuwanyakua kutoka katika moto. Kwa wengine onesheni huruma kwa hofu, mkichukia hata vazi lililotiwa doa na mwili.
Mwalopwe benge kwa kwantondobeya buka kwene mwoto. Kwabenge mulaye lwongo kwa yogopa. Kamulichukwa hata ngobo ya iyejilwe lilowa lya yega.
24 Sasa kwake awezaye kuwalinda msijikwae, na kuwasababisha msimame mbele ya utukufu wake, bila mawaa na kuwa na furaha kuu,
Sayena kayake anaweza kunendela mwakana kobala, na kwasabisha muyeme nnonge ya utukufu wake, bila kiziwi wizi na bapula ngolo,
25 kwake Mungu pekee mwokozi kupitia Yesu Kristo Bwana wetu, utukufu uwe kwake, ukuu, uwezo na nguvu kabla ya nyakati zote, na sasa na hata milele. Amina. (aiōn g165)
Kayake Nnongo kiyake mwokozi belya Yesu Kristo Nngwana witu, Utukupu ube kayake, uwezo na ngupu kabla ya wekati woti, na sayeno na hata -wanga yomoka. Amina. (aiōn g165)

< Yuda 1 >