< Yohana 15 >

1 Mimi ni mzabibu wa huu kweli, na baba yangu ni mkulima wa mzabibu.
Une nele usabibu ugwa lweli nu dada vango indemaji vaa usanbibu.
2 Kila tawi ndani yangu ambalo halizai tunda, na husafisha kila tawi ambalo huzaa tunda huliondoa ili kwamba liweze kuzaa zaidi.
Hela ulusiamba lulegati ndiune ulusafi siwa hela usiamba ulusalu hola isehe ihuluhecha ili lupate uhuhola sana.
3 Ninyi tayari mmekuwa safi kwa sababu ya ujumbe ambao nimekwisha waambia.
Umwe lenu mvile vanonu msababu mvile vasuhwa uhuva nevile nevavulile.
4 Mkae ndani yangu, na mimi ndani yenu. Kama tawi lisivyoweza kuzaa peke yake lisipo kuwa katika mzabibu, kadhalika nayi, msipo kaa ndani yangu.
Mtame mgati ndione nayune netame gati ndiumwe kama ulusiambalulwa saluwesia uhu hola luene isio uhuva usanbibu nayumwe mnasitu uhutama igati ndiune.
5 Mimi ni mzabibu; ninyi ni matawi. Adumuye ndani yangu na mimi ndani yake, mtu huyu huzaa matunda mengi, kwa kuwa pasipo mimi hamuwezi kufanya jambo lolote.
Une nele usanbibu umwe mlelusamba uveidumu mgati ndiumwe umnu uyu ihola isehe nyingi uhuva pasipo une samhaweze uhuvomba imbombo yuyoni.
6 Ikiwa mtu yeyote hatasalia ndani yangu, atatupwa kama tawi na kukauka; watu hukusanya matawi na kuyatupa katika moto, na kuteketea.
Inave umnu yuyoni sivemo gati ndiune itagiwa kama ulusiamba nuhuuma avanu yavi kusanya amasamba nuhutaga humoto, nuhutehetela.
7 Ikiwa mtadumu ndani yangu, na kama maneno yangu yakidumu ndani yenu, ombeni lolote mtakalo, nanyi mtafanyiwa.
Mnave mtama gati ndiune na kama amamenyu ya gitama gati ndiune dova lelioni ilimwinogwa numwe mvombeliwa.
8 Katika hili baba yangu ametukuzwa, kwamba mnazaa matunda mengi na kwamba ni wanafunzi wangu.
Huele udada vango ihwinuliwa yamwi hola isehe nyini nuhuva vasiule vango.
9 Kama baba yangu alivyonipenda mimi, mimi pia nimewapenda ninyi; dumuni katika pendo langu.
Kama udada vango umwa nganile une nayune nevaganile umwe; mdamage mlugano lwango.
10 Ikiwa mtashika amri zangu, mtadumu katika pendo langu kama nilivyo shika amri za baba yangu na kudumu katika pendo lake.
Mnave mhwibata indagele chango mtama mlugano lwango kama umni batile indagelo icha dada yangu nuhutama mvugane wamwene.
11 Nimesema mambo haya kwenu ili kwamba furaha yangu iwe ndani yenu na ili kwamba furaha yenu ifanyike kuwa timilifu.
Nenchovile aga hulemwe ili uh hovuha hwenyo huve gati ndiune ili uhuhovona hwenyo hevombehe ehele kamilifu.
12 Hii ndiyo amri yangu, kwamba mpendane ninyi kwa ninyi kama nilivyo wapenda ninyi.
Ulu lulu lagelo lwango uhuta mganane yumwe hwa yumwe kama umone vaganilune.
13 Hakuna mtu aliye na upendo mkuu kuliko huu, kwamba ayatoe maisha yake kwa ajiliya rafiki zake.
Hakuna umnu uvale nulugano ulu vaha hulihune ehumiee uvutamo uwa mwene hwa ajili ya lafiki avanine.
14 Ninyi ni rafiki zangu ikiwa mtafanya yale niwaagizayo.
Umwe mlelafiki vango mnave mvomba aganihuvasuha.
15 Siwaiti watumwa, kwa kuwa mtumwa hajui kile afanyacho bwana wake. Nimewaita ninyi marafiki, kwa sababu nimewajulisheni mambo yote ambayo nimesikia kutoka kwa Baba.
Sanihuve langa kama vatesiwa uhuva utesiwa sihwelewa hehuva utesiwa sihwelewa hehwo ivomba umbaha vamwene nevelangile kama malafiki uhuva nevavulile amambo goni aga uhuhuma hwa Dada.
16 Hamkunichagua mimi, bali mimi niliwachagua ninyi na kuwaweka mwende mazae matunda, na tunda lenu lipate kukaa. Hii liko hivi ili kwamba chochote muombacho kwa Baba kwa jina langu, atawapeni.
Samwa njagule une bali une navachagiile umwe nuhwasuha mlute isehe nisehe chenyo chipate uhuhola isehe nesehe chenyo chipate uhu tama hela ehe mwinogwa uhudova hwa Dada mdove hulitawa ilengo ihuvapa.
17 Mambo haya ninawaagiza, kwamba mpendane kila mtu na mwenzake.
Amambo aga nihuvasuha hela mnu agana nage na vanine.
18 Kama ulimwengu utawachukia, mjuwe kwamba ulinichukia mimi kabla haujawachukia ninyi.
Kama ehelunga hihuvakala lela welewe uhuta umwe mngalalile une kabula saheva kalalile umwe.
19 Kama mngekuwa wa ulimwengu, ulimwengu ungewapenda kama wa kwao; Lakini kwa sababau ninyi sio wa ulimwengu na kwa sababu niliwachagua kutoka katika ulimwengu, ni kwa ajili hii ulimwengu huwachukia.
Inave mwale va helonga ehelunga hehale hihuvagana umwe leno uhusa sio mlevahelunga uhuva nava chagile uhuhuma mhe lunga ndi ehelunga hihuva kalalela.
20 Kumbukeni neno ambalo niliwaambia, 'Mtumwa si mkuu kuliko bwana wake.' Ikiwa walinitesa mimi, watawateseni ninyi pia; Kama walishika neno langu, wangelishika la kwenu pia.
Kumbuha elimenyu elenavavulile uviteseha siwesia uhwa mbaha va mwene uhuva vanesiche une vihuvatesi nayumwe kama mwaibite amamenyu gango vahale vihwibata naga genyo.
21 Watawatendeeni mambo haya yote kwa ajili ya jina langu kwa sababu hawamjui yule aliyenituma.
Vavombiee amambo goni hulitawa iliango uhuva samhwelewa uveasuhile.
22 Kama nisingekuja na kuwaambia waambia, wasingalikuwa wamefanya dhambi; lakini sasa hawana udhuru kwa dhambi yao.
Kama nenga site uhwicha uhuva vula ndaleno, savavombile uvutulanongwa; lakini usehe ugu savahabeche uvutula nogwa wavene.
23 Anichukiaye mimi humchukia Baba pia.
Uviihung'alalela une ihukala lela Udada pia.
24 Ikiwa sijafanya kazi miongoni mwao ambayo hapana mmoja aliyeifanya, wangelikuwa hawana dhambi; lakini sasa wamefanya yote mawili wameona na wamenichukia mimi na Baba yangu.
Nenave sanevombile embombo mvene ambapo asipali yumo uveavombile vahale viva nu vutula nongwa ule leno va vombile goni gavele vambwene nuhung'alalelaune nu Dada vango.
25 Hili linatokea ili kwamba neno litimie ambalo limeandikwa katika sheria yao: 'Wananichukia mimi bila sababu.'
Ele lihumla ili elimenyu letimela lelwo lesimbiwe hululagelo luavo: 'Vihungalalela une bila sababu.'
26 Wakati mfariji amekuja, ambaye nitamtuma kwenu kutoka kwa Baba, huyu ndiye, Roho wa kweli, ambaye anatokea kwa Baba, atanishuhudia.
Wakati ubembelesaji ichile uvepile nihusuha hulimwe uhuhuma hwa Dada, uyu vemepo uvalweli uvihuma hwa Dada ihusuhudela.
27 Ninyi pia mnanishuhudia kwa sababu mmekuwa pamoja nami tangu mwanzo.
Umwe pia mhusuhudela uhuva mvile pamoja nune tangu huvutengulilo.

< Yohana 15 >