< Isaya 23 >
1 Tamko kuhusu Tiro, Ombolezeni, enyi kondoo wa Tarishishi;
有關提洛的神諭:你們哀號罷!塔爾史士的船隻!因為你們的保壘已遭破壞。由基廷地歸來的,他們得到了這消息。
2 maana hakuna nyumba wala bandari; kutoka katika nchi ya Kyprusi wamefunuliwa hilo.
海濱的居民,靜默罷!漆冬的商賈曾充實了你。
3 Na juu ya maji mengi ni nafaka za shiho, mazao ya Nile, na uzalishaji wao; mlikuwa wafanya biashara wa kimataifa.
在大水之上運來的,是史曷爾的穀物;尼羅河的收穫,是她的財富;她成了萬民的商場。
4 Kuwa na aibu, Sidoni; maana bahari imenena, mkuu wa bahari. Amesema, ''Sijafanya kazi wala kuzaa wala kukuza vijana wadogo wala kuwalea mabinti.
漆冬!羞慚罷!因為海說過:【即海中的保壘說過:】「我沒有分娩過,也沒有生產過;沒有撫養過青年,也沒有養育過處女。」
5 ''Pale taarifa ilipofika Misri, watauzunika kuhusu Tire.
這風聲一傳到了埃及,大家都為了提洛的消息而戰慄。
6 Katiza juu ya Tarshishi; Ole wenu, enyi wakazi wa pwani.
你門過海到塔爾史士去罷!海濱的居民你們哀號罷!
7 Je hili limeshawahi kuwatokea, mji wenye furaha, ambao kwa asili yake umetoka katika kipindi cha kale. Ambapo miguu yake imempeleka mbali kuishi kwenye maeneo ya ugenini?
這就是你們所誇耀的城嗎﹖她本起源於上古,她的雙腳曾將她帶至遠方寄居。
8 Ni nani aliyepanga haya dhidi ya Tire, mtoa mataji, ambao wafanyabiashara wake ni wakuu, ambao wafanyabiashara ni watu wa kuheshimika duniani?
是誰策劃了這事,來反對加過冕的提洛﹖她得商賈本來都是王侯,商販本來都是地上的顯要。
9 Yahwe wa majeshi amepanga kuharibu kiburi chake na utukufu wake, na kuwahaibisha waheshimiwa wote wa dunia.
是萬軍的上主策劃了這事,為打擊她一切自矜的狂傲,侮辱地上所有的顯要。
10 Lima katika shamba lako, kama mtu alimavyo Nile, ewe binti Tarishishi. Maana hakuna tena eneo la soko huko Tite.
塔爾史士女兒!耕種你的地罷!海港也不在了!
11 Yahwe amenyoosha mkono wake juu ya bahari, na ametingisha falme; na amepewa amri juu ya Fonensia, kuziharibu ngome.
上主的手已伸在海上,使萬國戰慄震驚;上主對客納罕已決定,要摧毀她的要塞。
12 Amesema, ''Hamtofurahia tena, binti bikira wa Sidoni uliyenyanyasika; nyanyuka, pitia Kyprusi; lakini wala hapatakuwa na punziko.''
他說過:「漆冬女兒!遭虐待的處女,你不要再歡樂!起來,往基廷去!在那裏你也得不到安寧!」
13 Tazama nchi ya Wakaldayo. Hawa watu wamesitisha kuishi pale; Waasiria wamelifanya jangwa la wanyama pori. Wameizingira minara; wameliharibu eneo lao; wamelifanya kuwa chungu cha uharibifu.
看基廷的地域!【她已不成為民族,亞述已將她委棄予野獸;】人設立了高塔,毀壞了她的宮殿,使她成了一片廢 墟。
14 Omboleza ewe kondoo wa Tarishishi; maana kimbilio lako limeharibiwa.
塔爾史士的船隻! 你們哀號罷! 因為你們的保壘已遭破壞!
15 Katika siku hiyo, Tire itasaulika kwa miaka sabini, kama siku za mfalme. Baada ya miaka sabini kuisha huko Tire kutatokea kitu kama wimbo wa malaya.
到那天,提洛將被遺忘七十年之久,有如一位君王的歲月。過了七十年,提洛要像妓女歌曲中所唱的:「
16 Chukua kinubi, nenda zunguka mji, mmewasahau malaya; cheza kinubi vizuri, imba nyimbo nyingi, ili uweze kukumbuka.
被遺忘的妓女!拿琴遊城罷﹖巧彈多唱罷!好使人再記起你來!」
17 Itatokea baada ya miaka sabini, Yahwe ataisaidia Tire, na wataanza kututafuta pesa tena kwa kufanya kazi ya umalaya, na atafanya utumishi wake katika falme za dunia.
過了七十年,上主要眷顧提洛,她要再接受纏頭,與地面世上各國交易。
18 Faida yake na mapato yake yatatengwa kwa ajili ya Yahwe. Hayatahifadhiwa wala hayatakuwa na hazina, maana faida yao watapewa wale wanoishi mdhebauni mwa Yahwe na yatatumika kuwasambazia chakula cha kutosha na kupata mavazi yenye viwango bora.
她的贏利和她的進項將祝聖與上主,必不再貯藏積蓄起來,因為她的贏利將歸於那些在上主面前度日的人,使他們吃得飽,穿得體面。