< Matendo 12 >
1 Wakati huo mfalme Herode akanyosha mkono wake kwa baadhi ya wale wanaotoka kwenye kusanyiko ili kuwatesa.
Bwakati obhu mfalme Herode akanyosya kibhoko kya muene kwa baadhi jha bhala bhabhihomela ku kusanyiko ili kubhatesya.
2 Akamwuua Yakobo nduguye Yohana kwa upanga.
Akan'koma Yakobo ndongomunu Yohana kwa upanga.
3 Baada ya kuona kuwa inawapendeza Wayahudi, akamkamata na Petro tena. Hii ilikuwa wakati wa mikate isiyochachwa.
Baada jha kubhona ikabhapendesya Bhayahudi akan'kamula ni Petro kabhele. Ejhe jhajhela wakati bhwa mikate jha jhibeli kulola.
4 Alipomkamata, akamweka gerezani na akaweka vikosi vinne vya askari ili kumlinda, alikuwa akitarajia kumpeleka kwa watu baada ya Pasaka.
Bho an'kamuili, akambeka mu ligereza ni kubheka fikosi fincheche fya askari ili kundonda Petro, akajha itarajila kumpeleka kwa bhanu baadajha pasaka.
5 Petro akawekwa gerezani, lakini maombi yakafanywa kwa bidii na kusanyiko kwa ajili yake kwa Mungu.
Petro abhakibhu mu ligereza, lakini maombi gha bhombiki kwa bidii ni likusanyiku kwa ndabha jhe muene kwa K'yara.
6 Siku kabla Herode hajaenda kumtoa, Usiku huo Petro alikuwa amelala katikati ya maaskari wawili, akiwa amefungwa na minyororo miwili, na walinzi mbele ya mlango walikuwa wakilinda gereza.
Ligono kabla Herode alotilepi kumpisya, kiru abhu Petro agonili katikati jha maaskari bhabhele akajha akanjibhu minyororo mibhele, ni bhalinzi mbele jha ndiangu bhakajha bhilenda gereza.
7 Tazama, malaika wa Bwana ghafla akamtokea na nuru ikang'aa ndani. Akampiga Petro ubavuni na kumwamsha akisema, “Amka haraka.”ndipo minyororo aliyokuwa amefungwa ikafunguka kutoka mikononi mwake.
Langagi, malaika bha Bwana ghafla akantokela ni nuru jhikan'g'ara mugati. Akajotobha Petro Petro mu ubhafu ni kunjumuisya akajobha, “Jhumukayi manyata.” Ndipo minyororo gha aka akongibhu ghyabhopuiki mu mabhoko gha muene.
8 Malaika akamwambia, “Vaa nguo zako na vaa viatu vyako.” Petro akafanya hivyo. Malaika akamwambia, “Vaa vazi lako na unifuate.”
Malaika akan'jobhela, “Fwatayi liguanda lya jhobhi na unitesiajhi.” Hivyo Petro akankesya Malaika ni kuhoma kwibhala. Aaminilepi kya kya bhombiki ni
9 Hivyo Petro akamfuata Malaika na akatoka nje. Hakuamini kilichofanywa na malaika kama ni cha kweli. Alidhani anaona maono.
Hivyo Petro akankesya Malaika ni kuhoma kwibhala. Aaminilepi kya kya bhombiki ni Malaika kama kya bhukweli. Afikirileghe ibhona maono.
10 Baada ya kupita lindo la kwanza na la pili, wakafika kwenye geti la chuma la kuingilia kwenda mjini, likafunguka lenyewe kwa ajili yao. Wakatoka nje wakashuka kwenye mtaa, mara Malaika akamwacha.
Baada jha kupeta lindo lya chuma lya kujhingilila kulota kumjini likafunguka lyene kwa ndabha jha bhene. Bhakapita kwibhala bhakaselela ku mtaa, mara Malaika akandeka.
11 Petro alipojitambua, akasema, “Sasa nimeamini kuwa Bwana alimtuma Malaika wake ili kunitoa katika mikono ya Herode, na kwa matarajio ya watu wote wa uyahudi.”
Petro bho akimbuili, akajobha, “Henu ni amini kujha Bwana andaghisi Malaika ghwa muene ili kunibhosya mu mabhoko gha Herode, ni kwa matarajio gha bhanu bhoha bha uyahudi.”
12 Baada ya kujua haya, akaja kwenye nyumba ya Mariamu mama yake Yohana ambaye ni Marko; Wakristo wengi walikusanyika wakiomba.
baada jha kumanya agha, akahida mu nyumba jha manamu nyinamunu Yohana ambaye ndo Marko; bhakristu bhamehele bha bhonganiki bhis'oka.
13 Alipobisha kwenye mlango wa kizuizi, mtumishi mmoja msichana anayeitwa Roda akaja kufungua.
Bhoabishili pa ndiangu ghwa kizuizi, n'tumishi mmonga n'dala jhaakutibhweghe Roda akahida kufungula.
14 Alipotambua ni sauti ya Petro, kwa furaha akashindwa kuufungua mlango; badala yake, akakimbia ndani ya chumba; na kuwajulisha kuwa Petro amesimama mbele ya Mlango.
Bhoatamuili sauti jha Petro, kwa furaha akasindwa kudendula ndiangu. Badala jhiake akajumba mugati mu kichumba: ni kubhajulisya ku jha Petro ajhemili pa ndiangu.
15 Hivyo, Wakasema kwake, “Wewe ni mwendawazimu” lakini alikazia kuwa ni kweli ni yeye. Wakasema “Huyo ni malaika wake.”
Hivyo bhakajobha kwa muene, “Bhebhe ndo mwendawazimu.” Lakini akazili kujha ndo kweli ndo muene. Bhakajobha “Ojho ndo Malaika ghwa muene.”
16 Lakini Petro aliendelea kubisha, na walipofungua mlango, wakamwona na wakashangaa sana. Petro akawanyamazisha kwa mkono kimya kimya na akawaambia jinsi Bwana alivyomtoa kutoka Gerezani. akasema,
Lakini Petro ajhendelili kubisha, na bho bhahinguili ndiangu, bhakambona na bhashangele sana. Petro akabhagudamisya kibhokho kimyakimya ni kubhajobhela jinsi Bwana kyaambosili mu ligereza. Akajobha,
17 “Wajulishe haya mambo Yakobo na ndugu zake.” Kisha akaondoka akaenda sehemu nyingine.
“Bhajulishayi mambo agha Yakobo ni bhalongo munu.” Kisha akabhoka akalota sehemu jhenge.
18 Kulipokuwa mchana, kukawa na huzuni kubwa kati ya askari, kuhusiana na kilichotokea kwa Petro.
Pamusi, kwahjele ni huzuni mbaha kati jha askari, kuhusiana ni kyakitokili kwa Petro.
19 Baada ya Herode kumtafuta na hakumwona akawauliza walinzi na akaamuru wauawe. Akaenda kutoka uyahudi mpaka Kaisaria na kukaa huko.
Baada jha Herode kundonda na ambwene lepi akabhakota bhalinzi ni kuamuru bhakonibhwayi. Akalota kuhoma Uyahudi mpaka Kaisaria ni kutama okhu.
20 Herode alikuwa na hasira juu ya watu wa Tiro na Sidoni. Wakaenda kwa pamoja kwake. Wakawa na urafiki na Blasto msaidizi wa mfalme, ili awasaidie. Kisha wakaomba amani, kwa sababu nchi yao ilipokea chakula kutoka katika nchi ya mfalme.
Herode ajhele ni ligoga juu jha bhanu bha Tiro ni Sidoni. Bhakalota kwa pamonga kwa muene. Bhakejha ni urafiki ni Blasto msaidizi ghwa mfalme, ili abhasaidilayi. Kisha bhakasoka amani, kwa ndabha nchi jha mfalme.
21 Siku iliyokusudiwa Herode alivaa mavazi ya kifalme na kukaa kwenye kiti chake cha kifalme, na akawahutubia.
Ligono lya kusudibhu Herode afwalili maguanda gha kifalme ni kutama pa kiti kya muene kya kifalme, ni kubhahutubila.
22 Watu wakapiga kelele, “Hii ni sauti ya mungu wala si sauti ya mwanadamu!”
Bhanu bhakapiga maghuegho, “Ejhe ndo sauti jha K'yara wala sio sauti jha mwanadamu.”
23 Mara ghafla malaika akampiga, kwa sababu alikuwa hakumpa Mungu utukufu; akaliwa na chango na akafa
Mara ghafla Malaika akan'tobha kwa ndabha ampelililepi K'yara utukufu; alelibhu ni chango na afuili.
24 Lakini neno la Mungu likakua na kusambaa.
Lakini lilobhi lya k'yara likakhola ni kusambala.
25 Baada ya Barnaba na Sauli kukamilisha huduma yao wakatoka pale wakarejea Yerusalemu, wakamchukua na Yohana ambaye jina la kuzaliwa ni Marko.
Baada jha Barnaba ni Sauli kukamilisya huduma jha bhene bhakabhoka pala bhakakerebhuka Yerusalemu, bhakan'tola ni Yohana ambajhe lilina lya kuhogoleka ndo Marko