< 2 Petro 3 >

1 Ssa, ninakuandikia wewe, mpendwa hii barua ya pili ili kukuamsha katika akili,
Ljubljeni, pišem evo već drugu poslanicu. U objema opomenom budim vaš zdrav razbor
2 ili kwamba uweze kukumbuka maneno yaliyosemwa kabla na manabii watakatifu na kuhusu amri ya Bwana wetu na mwokozi kwa kutumia mitume.
da se sjetite riječi što ih prorekoše sveti proroci i zapovijedi apostola vaših, zapovijedi Gospodinove i Spasiteljeve.
3 Ujue ili kwanza, kwamba wasaliti watakuja katika siku za mwisho kuwasaliti ninyi, wakienenda sawasawa na matakwa yao.
Znajte ponajprije ovo: u posljednje će se dane pojaviti podrugljivi izrugivači; povoditi će se za svojim požudama
4 Na wakisema “Iko wapi ahadi ya kurudi? Baba zetu walikufa, Lakini vitu vyote vilikuwa hivyo tangu mwanzo wa uumbaji.
i pitati: “Što je s obećanjem njegova Dolaska? Jer i otkad Oci pomriješe, sve ostaje kao što bijaše od početka stvorenja.”
5 Wakajifanya kusahau kwamba nchi na mbingu vilianza kutokana na maji na kupitia maji zamani za kale, kwa neno la Mungu,
Ta oni naumice zaboravljaju da nebesa bijahu odavna i da zemlja na Božju riječ posta iz vode i po vodi.
6 na kwamba kupitia neno lake na maji yakawa ulimwengu kwa kipindi hicho, ikiwa imejaa maji, iliharibiwa.
Na isti način ondašnji svijet propade vodom potopljen.
7 Lakini sasa mbingu na dunia zimetunzwa kwa neno hilo hilo kwa ajili ya moto. Vimehifadhiwa kwa ajili ya siku ya hukumu na maangamizi ya watu wasio wa Mungu
A sadašnja nebesa i zemlja istom su riječju pohranjena za oganj i čuvaju se za Dan suda i propasti bezbožnih ljudi.
8 Hii haiwezi kuchenga ujumbe wako, wapendwa, kwamba siku moja kwa bwana ni kama miaka elfu moja. Na miaka elfu moja ni kama siku moja.
Jedno, ljubljeni, ne smetnite s uma: jedan je dan kod Gospodina kao tisuću godina, a tisuću godina kao jedan dan.
9 Si kwamba Bwana anafanya pole pole kutimiza ahadi, kama inavyofikiriwa kuwa, Lakini yeye ni mvumilivu kwa ajili yenu, yeye hatamani hata mmoja aangamie, Lakini hutamani kutoa muda ili wote wapate kutubu.
Ne kasni Gospodin ispuniti obećanje, kako ga neki sporim smatraju, nego je strpljiv prema vama jer neće da tko propadne, nego hoće da svi prispiju k obraćenju.
10 Ingawa, siku ya Bwana itakuja kama mwizi, mbingu itapita kwa kupaza kelele. Vitu vitateketezwa kwa moto. Nchi na vitu vyote vilivyomo vitafunuliwa wazi.
Kao tat će doći Dan Gospodnji u koji će nebesa trijeskom uminuti, počela se, užarena, raspasti, a zemlja i djela na njoj razotkriti.
11 Kwa kuwa vitu vyote vutateketezwa kwa njia hii. Je utakuwa mtu wa aina gani? Uishi kitakatifu na maisha ya kimungu.
Kad se sve tako ima raspasti, kako li treba da se svi vi ističete u svetu življenju i pobožnosti
12 Inakupasa kujua na kutambua haraka ujio wa siku ya Mungu. Siku hiyo mbingu itateketezwa kwa moto. Na vitu vitayeyushwa katika joto kali.
iščekujući i pospješujući dolazak Dana Božjega u koji će se nebesa, zapaljena, raspasti i počela, užarena, rastaliti.
13 Lakini kutokana na ahadi yake, tunasubiri mbingu mpya na nchi mpya, ambapo wenye haki wataishi
Ta po obećanju njegovu iščekujemo nova nebesa i zemlju novu, gdje pravednost prebiva.
14 Hivyo wapendwa kwa kuwa tunatarajia vitu hivi, jitahidi kuwa makini na kutolaumika na kuwa na amani pamoja naye.
Zato, ljubljeni, dok to iščekujete, uznastojte da mu budete neokaljani i besprijekorni, u miru.
15 Na zingatia uvumilivu wa Bwana wetu katika wokovu, kama mpendwa kaka yetu Paulo, alivyowaandikia ninyi, kutokana na hekima ambayo alipewa.
A strpljivost Gospodina našega spasenjem smatrajte, kako vam i ljubljeni brat naš Pavao napisa po mudrosti koja mu je dana.
16 Paulo anaongelea hayo yote katika barua zake, kuna vitu ambavyo ni vigumu kuvielewa. Watu wasio na adabu na uimara wameviharibu vitu hivyo, Na kama wanavyofanya kwa maandiko. Kuelekea maangamizi yao.
Tako u svim poslanicama gdje o tome govori. U njima ima ponešto nerazumljivo, što neupućeni i nepostojani iskrivljuju, kao i ostala Pisma - sebi na propast.
17 Hivyo, wapendwa kwa kuwa mnayafahamu hayo. Jilindeni wenyewe ili kwamba msipotoshwe na udanganyifu wa walaghai na kupoteza uaminifu.
Vi dakle, ljubljeni pošto ste upozoreni, čuvajte se da ne biste, zavedeni bludnjom razularenika, otpali od svoje postojanosti.
18 Lakini mkue katika neema na ufahamu wa Bwana na mwokozi Yesu Kristo. Na sasa utukufu una yeye sasa na milele. Amina. (aiōn g165)
A rastite u milosti i spoznanju Gospodina našega i Spasitelja Isusa Krista! Njemu slava i sada i do u dan vječnosti! Amen! (aiōn g165)

< 2 Petro 3 >

The Great Flood
The Great Flood