< 1 Wakorintho 5 >

1 Tumesikia taarifa kuwa kuna zinaa miongoni mwenu, aina ya zinaa ambayo haipo hata katikati ya watu wa Mataifa. Tuna taarifa kwamba mmoja wenu analala na mke wa baba yake.
Tupheliki taarifa kuwa kuyele zinaa miongoni mwa yhomo, aina sa zinaa ambayu iyelepi hata katikati ya bhanu bha mataifa. Tuyele ni taarifa kwamba mmonga wa yhomo igona ni ndala wa dadi munu.
2 Nanyi mwajisifu! Badala ya kuhuzunika? Yule aliyefanya hivyo anapaswa kuondolewa miongoni mwenu.
Ni muenga mwikisifu! Badala ya kuhuzunika? yhola yafuanyili naha ipaswa kubhosibhwa miongoni mwayhomo.
3 Ingawa sipo pamoja nanyi kimwili lakini nipo nanyi kiroho, nimekwisha mhukumu yeye aliyefanya hivi, kama vile nilikuwepo.
Ingawa niyelepi pamonga ni muenga kimbhele lakini niyele ni muenga kiroho, nimalili kunhukumu muene yafwanyili naha, kama khela nayele.
4 Mnapokutanika pamoja katika jina la Bwana wetu Yesu, na roho yangu ipo pale kama kwa nguvu za Bwana wetu Yesu, nimekwisha mhukumu mtu huyu.
Pamwikutanika pamonga katika lihina la Bwana watete Yesu, ni roho yiangu ujele pala kama kwa nghofho sa Bwana watete Yesu, nimalili kumhukumu munu oyo.
5 Nimekwisha kumkabidhi mtu huyu kwa Shetani ili kwamba mwili wake uharibiwe, ili roho yake iweze kuokolewa katika siku ya Bwana.
Nimalili kumkabidhi munu oyo kwa Shetani ili kwamba mbhele wa muene uharibibhwai, ili roho ya muene ibhuesyai kuokolibhwa mu ligono la Bwana.
6 Majivuno yenu si kitu kizuri. Hamjui chachu kidogo huharibu donge zima?
Majifuno ghayhomo sio khenukinofu. mumanyili lepi chachu kidogo yiharibu donge zima?
7 Jisafisheni ninyi wenyewe chachu ya kale, ili kwamba muwe donge jipya, ili kwamba mwe mkate usiochachuliwa. Kwa kuwa, Kristo, Mwana Kondoo wetu wa pasaka amekwisha kuchinjwa.
Mwikisafishai muenga mwayhomo chachu ya muandi, ili kwamba muyelai donge lampya, ili kwamba muyelai nkate waupelili kuchachulibhwa. Kwa ndabha, Kristu, Mwana kondoo watete wa pasaka amalili kuchinjiwa.
8 Kwa hiyo tusherekee karamu si kwa chachu ya kale, chachu ya tabia mbaya na uovu. Badala yake, tusherekee na mkate usiotiwa chachu wa unyenyekevu na kweli.
Henu tusherekelai karamu si kwa chachu ya muandi chachu ya tabia ibaya ni uovu. Badala yiaki, tusherekelai ni nkati wausopibhu lepi wa unyenyekevu wa kueli.
9 Niliandika katika barua yangu kuwa msichangamane na wazinzi.
Nayandiki mu barua ya nene kuwa mkolokuchangamana ni bhazinzi.
10 Sina maana wazinzi wa dunia hii, au na wenye tamaa au wanyang'anyi au waabudu sanamu kwa kukaa mbali nao, basi ingewapasa mtoke duniani.
Niyelepi ni maana bhazinzi bha dunia eye, au na bhabhayele ni tamaa au bhanyang'anyi au bhabhiabudu sanamu kwa kutama patali ni bhene, basi ngaikabhapasa bhabhoka padunia.
11 Lakini sasa nawaandikia kutojichanganya na yeyote anayeitwa kaka au dada katika Kristo, lakini anaishi katika uzinzi au ambaye ni mwenye kutamani, au mnyang'anyi, au mwabudu sanamu, au mtukanaji au mlevi. Wala msile naye mtu wa namna ile.
Lakini henu nikabhayandikila kutokujichanganya ni yuywoha yhola yaikutibhwa mhaja au ndombho m Kristu, lakini iishi mu uzinzi au ambayi ni mwenye kutamani, au munyang'anyi, au mwabudu sanamu, au mtukanaji au mlevi. Wala mkolo kulya naku munu wa namna yhela.
12 Kwa hiyo nitajihusishaje kuwahukumu walio nje ya Kanisa? Badala yake, ninyi hamkuwahukumu walio ndani ya kanisa?
Henu nilota kwiselesya bhuli kubhahukumu bhabhayele kwibhala ni kanisa? Badala yiaki, muenga mwabhahukumwihee bhabhayele mugati mu kanisa?
13 Lakini Mungu anawahukumu walio nje. “Mwondoeni mtu mwovu miongoni mwenu”
Lakini K'yara akabhahukumu bhabhayele kwibhala. “Mu mbhosyai munu mwovu miongoni mwayhomo.

< 1 Wakorintho 5 >