< 1 Wakorintho 3 >

1 Na mimi, kaka na dada zangu, sikusema nanyi kama watu kiroho, lakini kama na watu wa kimwili. Kama na watoto wadogo katika Kristo.
NI nenga, ainja ni alombo bango, nibayite kwaa ninenga kati bandu bakiroho, lakini kati ni bandu ba yega. Katu ni bana bachunu mu'Kristo.
2 Niliwanywesha maziwa na si nyama, kwa kuwa hamkuwa tayari kwa kula nyama. Na hata sasa hamjawa tayari.
Nibanyweishe maziwa na nyama kwaa, ka mana mubile kwaa tayari kwa lyaa nyama. Na hata nambeambe mubile kwaa tayari.
3 Kwa kuwa ninyi bado ni wa mwilini. Kwa kuwa wivu na majivuno yanaonekana miongoni mwenu. Je, hamuishi kulingana na mwili, na je, hamtembei kama kawaida ya kibinadamu?
Kwa kuwa mwenga bado ba yega. Kwa kuwa bwiu ni majiuno yatibinekana nkati yinu. Je mutama kwaa lingana na yega, ni je, mutyanga kwaa kati kawaida ya bandu?
4 Kwa kuwa mmoja husema, “Namfuata Paulo” Mwingine husema “Namfuata Apolo,” hamuishi kama wanadamu?
Kwa mana yumo abaya, “Namkengama Paulo” Ywenge ubaya, “Nampala Apolo,” mutama kwaa kati bandu?
5 Apolo ni nani? na Paulo ni nani? Watumishi wa yule mliyemwamini, kwa kila ambaye Bwana alimpa jukumu.
Apolo ywa nyai? na Paulo ywa nyai? Amanda ba yolo ywamwaminiye, kwa kila ambaye Ngwana ampeile lijukumu.
6 Mimi nilipanda, Apolo akatia maji, lakini Mungu akakuza.
Nenga nipandike, Apolo abeka mase, lakini Nnongo kaikuza.
7 Kwa hiyo, si aliye panda wala aliyetia maji ana chochote. Lakini ni Mungu anayekuza.
Kwa eyo, ywabile kwaa panda wala ywabeka mase abile ni chochote. Lakini Nnongo ywaikuzile.
8 Sasa apandaye na atiaye maji wote ni sawa, na kila mmoja atapokea ujira wake kulingana na kazi yake.
Nambeambe ywapandae ni ywabeka mase bote ni sawa, ni kila yumo alowa pata ujira wake lingana na kazi yake.
9 Kwa kuwa sisi tu watendakazi wa Mungu, ninyi ni bustani ya Mungu, jengo la Mungu.
Kwa kuwa twenga twa atendaji ba Nnongo, mwenga mwa bustani ya Nnongo, nyumba ya Nnongo.
10 Kutokana na neema ya Mungu niliyopewa kama mjenzi mkuu, niliuweka msingi, na mwingine anajenga juu yake. Lakini mtu awe makini jinsi ajengavyo juu yake.
Bokana na neema ya Nnongo yanipeilwe kati mjenzi nkolo, naubekite msingi, ni ywenge ywachengite nnani yake. Lakini mundu abe makini jinsi ywachenga nnani yake.
11 Kwa kuwa hakuna mwingine awezaye kujenga msingi mwingine zaidi ya uliojengwa, ambao ni Yesu Kristo.
kwa kuwa ntopo ywenge ywaweza chenga msingi wenge zaidi ya uchengwite, ambao ni Yesu.
12 Sasa, kama mmoja wenu ajenga juu yake kwa dhahabu, fedha, mawe ya thamani, miti, nyasi, au majani,
Nambeambe, kati yumo winu achenga nnani yake kwa dhahabu, mbanje ya thamani, nkongo, manyei, au manyei,
13 kazi yake itafunuliwa, kwa mwanga wa mchana utaidhihirisha. Kwa kuwa itadhihirishwa na moto. Moto utajaribu ubora wa kazi wa kila mmoja alichofanya.
Kazi yake iyowanike, kwa bweya wa mutwekati walowa dhihirika. Kwa kuwa yalowa dhihirika ni mwoto. Mwoto walowa jaribu ubora wa kazi ya kila yumo apangite.
14 Kama chochote mtu alichojenga kitabaki, yeye atapokea zawadi.
Kati chochote mundu ywachengite chalowa tama, ywembe alowa pata zawadi.
15 Lakini kama kazi ya mtu ikiteketea kwa moto, atapata hasara. Lakini yeye mwenyewe ataokolewa, kama vile kuepuka katika moto.
Lakini kati kazi ya mundu yatitinia kwa mwoto, alowa pata hasara. Lakini ywembe mwene alowa lopolelwa, kati yakuepuka ni mwoto.
16 Hamjui kuwa ninyi ni hekalu la Mungu na kwamba Roho wa Mungu anakaa ndani yenu?
Mutangite kwaa kuwa mwenga ni lihekalu lya Nnongo ni kwamba Roho wa Nnongo atama nkati yinu?
17 Kama mtu akiliharibu hekalu la Mungu, Mungu atamharibu mtu yule. Kwa kuwa hekalu la Mungu ni takatifu, na hivyo na ninyi.
Kati mundu ywaliharibu lihekalu lya Nnongo, Nnongo alowa kumwaribu mundu yoo. Kwa mana lihekalu lya Nnongo ni litakatifu, nga nyoo ni mwenga.
18 Mtu asijidanganye mwenyewe, kama yeyote miongoni mwenu anadhani ana hekima katika nyakati hizi, awe kama “mjinga” ndipo atakuwa na hekima. (aiōn g165)
Mundu alongele ubocho kwaa mwene, kati yeyote nkati mwinu anadhani abile ni hekima mu'nyakati zino, ube kati “mlalo” nga apalikwa kuwa na hekima. (aiōn g165)
19 Kwa kuwa hekima ya dunia hii ni ujinga mbele za Mungu, Kwa kuwa imeandikwa, “Huwanasa wenye hekima kwa hila zao”
Kwa kuwa hekima ya dunia yee ni ulalo nnonge ya Nnongo, kwa kuwa iandikilwe, “Hubanasa babile ni hekima kwa hila zabe.”
20 Na tena “Bwana anajua mawazo ya wenye busara ni ubatili.”
Ni kae “Ngwana atangite malango ga babile ni busara ni ubatili.”
21 Hivyo mtu asijivunie wanadamu! Kwa kuwa vitu vyote ni vyenu.
Nga nyo mundu aipunie kwaa bandu! kwa mana ilebe yote ni yinu.
22 Kama ni Paulo, au Apolo, au Kefa, au dunia, au maisha, au kifo, au vitu vilivyopo, au vitakavyokuwepo. Vyote ni vyenu,
Kati ni Paulo, au Apolo, au Kefa, au dunia, au maisha, au kiwo, au ilebe yaibile, au yalowa tama. Yote ni yinu,
23 na ninyi ni wa Kristo na Kristo ni wa Mungu.
ni mwenga ni ba Kristo na Kristo ni ba Nnongo.

< 1 Wakorintho 3 >