< 1 Wakorintho 12 >
1 Kuhusu karama za rohoni, kaka na dada zangu sitaki mkose kufahamu.
Kuhusu kalama sa rohoni, kaka ni dada bhayangu nilondahee mdulai kumanya.
2 Mwajua ya kuwa mlipokuwa wapagani mliongozwa kufuata sanamu zisizoongea, kwa njia zozote mliongozwa nazo.
Mmanyili ya kuwa pamwayele bhapagani mwalongosibhu kufuata sanamu sasibelili kulongela, ki njela syoasela mwalongosibhu nasu.
3 Kwa hiyo, nataka mfahamu kwamba hakuna yeyote anenaye kwa Roho wa Mungu akisema, “Yesu amelaaniwa.” Hakuna yeyote atakayesema, “Yesu ni Bwana,” isipokuwa katika Roho Mtakatifu.
Kwa elu, nilona mmanyai kuwa ayehee yuyuoa yhola yainena kwa Roho wa K'yara nikijobha, “Yesu alaanibhu.” Ayehee yuyuoayhola yailota kujobha, “Yesu ndo Bwana,” kaibelili kuya kwa Roho ntakatifu.
4 Basi kuna karama tofauti tofauti, bali Roho ni yeye yule.
Basi kuyee ni kalama tofauti tofauti, bali Roho ndo ndo muene yhola.
5 Na kuna huduma tofauti tofauti, bali Bwana ni yeye yule.
Na kuyee huduma tofauti, bali Bwana ndo muene yhola.
6 Na kuna aina mbalimbali za kazi, lakini Mungu ni yeye yule azitendaye kazi zote katika wote.
Na kuyee ni aina sibhele sa mbhombho, kakiyele K'yara ndo muene yhola yaibhombha mbhombho syoa kup'etela bhoa.
7 Basi kila mmoja hupewa ufunuo wa Roho kwa faida ya wote.
Basi kila mmonga ipelibhwa ufunuo wa Roho kwa faida ya bhoa.
8 Maana mtu mmoja amepewa na Roho neno la hekima, na mwingine neno la maarifa kwa Roho yule yule.
Mana munu mmonga apelibhu ni Roho lilobhi la hekima, ni yhongi lilobhi la maalifa kwa Roho yhola yhola.
9 Kwa mwingine humpa imani kwa Roho yeye yule, na kwa mwingine karama ya uponyaji kwa Roho mmoja.
Kwa yhongi akampela imani kwa Roho muene yhola, ni kwa bhamana kalama ya kuponya kwa Roho mmonga.
10 Kwa mwingine matendo ya nguvu, na mwingine unabii. Na kwa mwingine uwezo wa kupambanua roho, mwingine aina mbalimbali za lugha, na kwa mwingnine tafsiri za lugha.
Kwa bhamana matendo gha nghofo, ni bhamana unabii. Ni kwa bhamana ubhuezo wa kunpambanula Roho, yhongi aina mbalimbali ya lugha, ni kwa yhongi kutafusili lugha.
11 Lakini Roho ni yule yule atendaye kazi hizi zote, kumpa kila mtu karama kwa kadiri ya uchaguzi wake mwenyewe.
Kakiyele Roho ndo yholayhola yaibhomba mbhombho ese syoa, kumpela kila munu kalama kwa kadili ya uchaguzi wa muene yumuene.
12 Kwa maana kama vile mwili ni mmoja, nao una viungo vingi, na viungo vyote ni vya mwili ule ule, vivyo hivyo na Kristo.
Kwa mana kutya kabhele mbhele ummonga, nabhu unafiungo fingi, ni fiungo fyoa ndo fya mbhele bhola, khekhu kabhele ni Kristu.
13 Kwa maana katika Roho mmoja sisi sote tulibatizwa kuwa mwili mmoja, kwamba tu Wayahudi au Wayunani, kwamba tu watumwa au huru, na wote tulinyweshwa Roho mmoja.
Kwa mana kup'etela Roho mmonga tete tabhoa tabatizibhu kuyambhele umonga, kujobhela tuye bhayaudi au bhayunani, kujobhela tuye bhatumwa au hulu, ni tabhoa tunywesibhwai Roho mmonga.
14 Kwa maana mwili si kiungo kimoja, bali ni vingi.
Kwa mana mbhele si kiungo kimonga, bali fingi.
15 Ikiwa mguu utasema, “kwa kuwa mimi si mkono, mimi si sehemu ya mwili,” hiyo haiufanyi kutokuwa sehemu ya mwili.
Ikayelai kigolo kilajobha, “kwa ndabha nene so kibhoko, nene si sehemu ya mbhele,” Efu yifuanyahee yisiyi sehemu ya mumbhele.
16 Na ikiwa sikio litasema, “kwa kuwa mimi si jicho, mimi si sehemu ya mwili,” hiyo hailifanyi kutokuwa sehemu ya mwili.
Ni ikayelai mbholokhoto lilajobha, “kwa kuwa nene na lihu lepi, nene si sehemu yambhele,”
17 Kama mwili wote utakuwa jicho, kungekuwa wapi kusikia? Kama mwili wote ukiwa sikio, kungekuwa wapi kunusa?
eyu yifuanya khotokuya ulaya lihu, ngakuyendaku kwa kup'elekela? kutya mbhele bhuowa ukayelai mbholokhoto ngakuyendaku kwa kunusya?
18 Lakini Mungu aliweka kila kiungo cha mwili mahali pake kama alivyopanga mwenyewe.
Kakiyele K'yara abhekili kila kiungo kya mbhele mahali paki kutya kaapangili muene.
19 Na kama vyote vingekuwa kiungo kimoja, mwili ungekuwa wapi?
Ni kutya fyoa ngafiyele kiungo kimonga, mbhele nganyele ndaku?
20 Hivyo sasa viungo ni vingi, lakini mwili ni mmoja.
Efu henu fiungo fingi, kakiyele mbhele ummonga.
21 Jicho haliwezi kuuambia mkono, “sina haja na wewe.” Wala kichwa hakiwezi kuiambia miguu, sina haja na ninyi.”
Lihu libhwesya lepi kulijobhela kibhoko, “Niyelepi ni haja ni bhebhe.” Wala mutu wibhwesyalepi kuujobhela magolo, niyee ni haja ni muenga.”
22 Lakini viungo vya mwili vinavyoonekana kuwa na heshima kidogo vyahitajika zaidi.
Kakiyele fiungo fya mumbhele fyafibhonekana kuya ni heshima kidogo fihitajika zaidi.
23 Na viungo vya mwili tunavyodhani vina heshima kidogo, twavipa heshima zaidi, na viungo vyetu visivyo na mvuto vina uzuri zaidi.
Ni fiungo fya mbhele fyatizanila fiye ni heshima kidogo, tukafipela heshima zaidi, ni fiungo fya yhoti fyafibelili kuya ni mvuto fiyele ni unofu zaidi.
24 Na sasa viungo vyetu vilivyo na mvuto havina haja ya kupewa heshima, kwa kuwa tayari vina heshima. Lakini Mungu ameviunganisha viungo vyote pamoja, na amevipa heshima zaidi vile visivyo heshimiwa.
Ni henu fiungo fya yhoto fyafiyele ni mvuto fiyele hee ni haja kupelibhwa heshima, kwa kuwa tayari fiyele ni heshima. kakiyele K'yara afiunganisi fiungo fyoa pamonga, na afipelili heshima zaidi fhela fafibelili kuheshimibhwa.
25 Alifanya hivyo ili pasiwepo mgawanyiko katika mwili, bali viungo vyote vitunzane kwa upendo wa mmoja.
Akhetili ekhu ili pasiyi mgawanyiku kup'etela mbhele, bali fiungo fyoa fitunzanai kwa upendo wa ummonga.
26 Na wakati kiungo kimoja kikiumia, viungo vyote vyaumia kwa pamoja. Au wakati kiungo kimoja kikiheshimiwa, viungo vyote vifurahi kwa pamoja.
Ni wakati fiungo kimonga kikalamalai, fiungo fyoa filamala kwa pamonga. Au wakati kiungo kimonga kikaheshimiwai, fiungo fyoa fihobholelai kwa pamonga.
27 Sasa ninyi ni mwili wa Kristo, na viungo kila kimoja peke yake.
Henu muenga ndo mbhele wa Kristu, ni kiungo kila kimonga ki kyene.
28 Na Mungu ameweka katika kanisa kwanza mitume, pili manabii, tatu waalimu, kisha wale wote watendao matendo makuu, kisha karama za uponyaji, wale wasaidiao, wale wafanyao kazi ya kuongoza, na wote walio na aina mbalimbali za lugha.
Ni K'yara abhekili kup'etela mulikanisa hosi mitume, pili manabii, tatu bhalimu, kabhele bhala bhoa bhabhitenda matendo mabhaa, kabhele kalama sa uponyaji, bhala bhabhisaidila, bhala bhifuanya mbhombho ya kulongosya, ni bhoa bhabhayele ni aina mbalimbali sya lugha.
29 Je sisi sote ni mitume? Sisi sote ni manabii? Sisi sote ni waalimu? Je sisi sote tunafanya matendo ya miujiza?
Ko tete tabhoa ta mitume? Tete tabhoa ni manabii? tete tabhoa tabhalimu? Ko tete tabhoa tifuanya matendo gha miujiza?
30 Je sisi sote tuna karama ya uponyaji? Sisi sote tunaongea kwa lugha? Sisi sote tunatafsiri lugha?
Ko tete tabhoa tuye ni kalama ya uponyaji? tete tabhoa tilongela kwa lugha? Tete tabhoa titafusili kwa lugha?
31 Tafuteni sana karama zilizo kuu. Nami nitawaonesha njia iliyo bora zaidi.
Mlondai sana kalama sasiyele sibhaa. Nani nilabhalasya njela ya iyele inofu kuzidi.