< Warumi 1 >
1 Paulo, mtumishi wa Kristo Yesu, aliyeitwa kuwa mtume na kutengwa kwa ajili ya Injili ya Mungu,
Paulo Tarisi waYesu Kirisitu, ywakemilwe panga mtumishi ywa bagulilwe mwanja likewe lya Nnungu.
2 Injili ambayo Mungu alitangulia kuiahidi kwa vinywa vya manabii wake katika Maandiko Matakatifu,
Alinga likowe lyalibaite zamani pityabkwa manabii bake mumaandiko matakatifu.
3 yaani, Injili inayomhusu Mwanawe, yeye ambaye kwa uzao wa mwili alikuwa mzao wa Daudi,
Yaihusu mwana wake lwabelekwimulukolo lwa Daudi kwafano wa yenga.
4 na ambaye kwa uwezo wa Roho wa utakatifu alidhihirishwa kuwa Mwana wa Mungu kwa ufufuo wake kutoka kwa wafu, yaani, Yesu Kristo, Bwana wetu.
Ywembe atangasilwe mwana wa Nnungu kwa ngupu ya Roho mtakatifu kwa ufunuo wa wafu Yesu Kirisitu Ngwana witu.
5 Kwa kupitia kwake na kwa ajili ya Jina lake, tumepokea neema na utume ili kuwaita watu miongoni mwa watu wa mataifa yote, waje kwenye utii utokanao na imani.
Pitia kwa ywembe tupejyilwe upendeleo na utumisi kwa utii wa aminia nkati ya bandu boti, kwa mwanja yalimo lyake.
6 Ninyi nyote pia mko miongoni mwa watu walioitwa ili mpate kuwa mali ya Yesu Kristo.
Nkati ya bandu'bo na mwenga kai mukemilwe mwa ba Yesu Kirisitu.
7 Kwa wote walioko Rumi wapendwao na Mungu na kuitwa kuwa watakatifu: Neema na amani itokayo kwa Mungu Baba yetu na kwa Bwana wetu Yesu Kristo iwe nanyi.
Barua ye jinu mwa botimwabubile Rumi, mwa mupendilwe na Nnungu, mwa mukemilwe panga mwabandu mwa atakatifu. Neena ibe kasinu, na amani buka kwa Nnungu Tate bitu na Ngwana Yesu Kirisitu.
8 Kwanza kabisa, namshukuru Mungu wangu kwa njia ya Yesu Kristo kwa ajili yenu nyote, kwa sababu imani yenu inatangazwa duniani kote.
Wite, nenda kusukuru Nnungu wangu nkati ya Yesu Kirisitu kwaajli jyinu mwaboti, mana aminia kwinu kwenda hubililwamulunia lwote.
9 Kwa maana Mungu ninayemtumikia kwa moyo wangu wote katika kuhubiri Injili ya Mwanawe, ni shahidi wangu jinsi ninavyowakumbuka
Na Nnongo ga shaidi wango, na ywembe ngamtumika kwa mwoyo wango nkati ya Injili ya mwana wake na mwanidumu kutabwa.
10 katika maombi yangu siku zote, nami ninaomba kwamba hatimaye sasa kwa mapenzi ya Mungu, njia ipate kufunguliwa kwa ajili yangu ili nije kwenu.
saa yote nenda loba nkati ya loba kwango kwandela yeyote mwiso wake nipate fanikiwa saa yeno kwa mapendo ga Nnongo kwa isa kasino.
11 Ninatamani sana kuwaona ili nipate kuweka juu yenu karama za rohoni ili mwe imara,
mana napenda kumona, lenga nani-nipate kupeya mwenga baadhi ya karama ya mwoyo, mbate kwaimaimalisha.
12 au zaidi, ninyi pamoja nami tuweze kutiana moyo katika imani sisi kwa sisi.
Mana nipendi kunipeya mwoyo pamoja pamope na mwee, kwandela ya imani kwa kilammoja winu, jinuna yango.
13 Ndugu zangu, napenda mfahamu kwamba mara nyingi nimekusudia kuja kwenu (ingawa mpaka sasa nimezuiliwa), ili nipate kuvuna mavuno miongoni mwenu kama nilivyovuna miongoni mwa wengine ambao ni watu wa Mataifa wasiomjua Mungu.
Tubwe mwalongo, nipendeli nkewe tangu nyanya, Malaya na chima nende kusulya Isa kasinu, Lakini natikani kilwa mpalimo. Hivi napendiba na matunda kachino Kati mwaibile kwa bandu ba mataifa.
14 Mimi ni mdeni kwa Wayunani na kwa wasio Wayunani, kwa wenye hekima na kwa wasio na hekima.
Nilongelwa na Wayunani na ageni na bembe, mwerufu nalo.
15 Ndiyo sababu ninatamani sana kuihubiri Injili kwenu pia ninyi mlioko Rumi.
kwa-nyo, kwopenda kwang'o, nenga nimitayari kwilonga Injili kasinu mwenga mubile kwo Roma.
16 Mimi siionei haya Injili ya Kristo kwa maana ni uweza wa Mungu uletao wokovu kwa kila aaminiye, kwanza kwa Myahudi na kwa Myunani pia.
Maana niboni ya kwako oni Injili, Mana uwezo was Nnongo woleta wokopu kwa kill jwa-aminiya, kwakene myahudi wete na kwa bembe Myunani.
17 Kwa maana katika Injili haki itokayo kwa Mungu imedhihirishwa, haki ile iliyo kwa njia ya imani hadi imani. Kama ilivyoandikwa: “Mwenye haki ataishi kwa imani.”
Mana haki ya Nnongo ibiwazi buka imani hata Imani, Kati mwaba-andike, “Mwene haki atama kwa Imani”.
18 Ghadhabu ya Mungu imedhihirishwa kutoka mbinguni dhidi ya uasi wote na uovu wa wanadamu ambao huipinga kweli kwa uovu wao,
Mana ukale was Nnongo ubi wazi baka kunani juyaasi na sambi yoti ya bandu, nayo kwandela ya udhalimu kwi-ibiya kweli.
19 kwa maana yote yanayoweza kujulikana kumhusu Mungu ni dhahiri kwao, kwa sababu Mungu mwenyewe ameyadhihirisha kwao.
Sababu yayee, ngote ngange za tanga nikilwa juu ya Nnongo kasabi wazi na Nnongo abakiye.
20 Kwa maana tangu kuumbwa kwa ulimwengu, asili ya Mungu asiyeonekana kwa macho, yaani, uweza wake wa milele na asili yake ya Uungu, imeonekana waziwazi, ikitambuliwa kutokana na yale aliyoyafanya ili wanadamu wasiwe na udhuru. (aïdios )
Mana mambo gake kewe ngabonekane kinanoga, angabiki tiwazi buka umbilwa kwa Dunia ngena tanganikwa ilebe pilya kwa ilebe ya umbilwe. mambo gani uwezo wake wangaliyomoka na wa-asili ya Nnongo. namatokeo gake, bandu ba tupu lyo baya. (aïdios )
21 Kwa maana ingawa walimjua Mungu, hawakumtukuza yeye kama ndiye Mungu wala hawakumshukuru, bali fikira zao zimekuwa batili na mioyo yao ya ujinga ikatiwa giza.
Asababu yayee, ingawa batabgite kuhusu Nnongo Bantu kinelili jwembe Kati Nnongo, Wala bampelili shukurani. kichongo chake babile apumbapu mumawazo gabe, na mioyo yabeyene ulalo na yayeyilwe lubendo
22 Ingawa walijidai kuwa wenye hekima, wakawa wajinga
baikemite panga beelevu, kumbe bai alalo.
23 na kubadili utukufu wa Mungu aishiye milele kwa sanamu zilizofanywa zifanane na mwanadamu ambaye hufa, na mfano wa ndege, wanyama na viumbe vitambaavyo.
Bangalabwi utukufu was Nnongo jwa kotoka alabika kwa mfano was kuminyo ya Mundu jwa alabika, na ya kiyuni, na ya ki-inyama bene magulu mane, na yaiumbe yetambala.
24 Kwa hiyo, Mungu akawaacha wazifuate tamaa mbaya za mioyo yao katika uasherati, hata wakavunjiana heshima miili yao wao kwa wao.
kwa-nyo Nnongo alikwaleka baikengame tamaniya kwa mioyo yabeyene kwo-usapu, kwayinga yabe yo fezeheka Kati yabe.
25 Kwa sababu waliibadili kweli ya Mungu kuwa uongo, wakaabudu na kutumikia kiumbe badala ya Muumba, ahimidiwaye milele! Amen. (aiōn )
Na bembe ngabalabwile kweli ya Nnongo-baubuso Naga abudu na kwitumikiya iumbe badala ya mwuumbaji na jwembe gasifilwa milele. Amina. (aiōn )
26 Kwa sababu hii, Mungu aliwaacha wavunjiane heshima kwa kufuata tamaa zao za aibu. Hata wanawake wao wakabadili matumizi ya asili ya miili yao wakaitumia isivyokusudiwa.
kwa sababu Yee, Nnongo atikwa leka baikote tamaa yabe ya oni, mana alwawa babe bakulei tumya kwa zamani kwa chill Cha kibile chachoguza zamani.
27 Vivyo hivyo wanaume pia wakiacha matumizi ya asili ya wanawake wakawakiana tamaa wao kwa wao. Wanaume wakafanyiana matendo ya aibu na wanaume wengine nao wakapata katika maisha yao adhabu iliyowastahili kwa ajili ya upotovu wao.
Nagembe kaie, alalume nembe bagalei matumizi gabe ga zamani kwa alwawa na ngalambu kwa na bene kwa bene. Habaa babile analome babapate na alalome ayabe ambayo gabile Lili na boobapejyilwe azabu yayastaili-lii oba kwabe.
28 Nao kwa kuwa hawakuona umuhimu wa kudumisha ufahamu wa Mungu, yeye akawaachilia wafuate akili za upotovu, watende mambo yale yasiyostahili kutendwa.
sababu bati kana bana Nnongo muhufahamu wabe aliwaleka bakote lunda lwabe lwange faika bapange ikowe ngalonga faika.
29 Wakiwa wamejawa na udhalimu wa kila namna, uasherati, uovu, tamaa mbaya na hila. Wamejawa na husuda, uuaji, ugomvi, udanganyifu, hadaa na nia mbaya. Wao pia ni wasengenyaji,
batweli na zuluma boti, tamaniya na ubaya batweli being, bulangana, bulwe, ubochobocho, na kusulya ubaya.
30 wasingiziaji, wanaomchukia Mungu, wajeuri, wenye kiburi na majivuno, wenye hila, wasiotii wazazi wao,
kaibembe abai benda kopekeana, hata apindo babe ebayowa lii.
31 wajinga, wasioamini, wasio na huruma na wakatili.
Bembe hata tunda ntupo, hata ba-aminika lii, upendo wa samani ntupu. hata huruma ntupu.
32 Ingawa wanafahamu sheria ya haki ya Mungu kwamba watu wanaofanya mambo kama hayo wanastahili mauti, si kwamba wanaendelea kutenda hayo tu, bali pia wanakubaliana na wale wanaoyatenda.
Batabgite kanuni ya Nnongo bandu babapanga makowe go bapalikwa waa, Ila sio babapanga bai, hata babayeketyana na balobaba panga makowe gaa.