< Ufunuo 8 >

1 Mwana-Kondoo alipoivunja ile lakiri ya saba, pakawa kimya mbinguni kwa muda wa nusu saa.
Wakati mwanakondoo abhopuili muhuri ghwa saba, kwajhele ni kinunu kumbinguni takribani nusu saa.
2 Nami nikawaona wale malaika saba wanaosimama mbele za Mungu, nao wakapewa tarumbeta saba.
Kisha nikabhona malaika saba bhabhijhema palongolo pa K'yara na bhapelibhu tarumbeta saba.
3 Malaika mwingine aliyekuwa na chetezo cha dhahabu, akaja na kusimama mbele ya madhabahu. Akapewa uvumba mwingi ili autoe pamoja na maombi ya watakatifu wote, juu ya yale madhabahu ya dhahabu yaliyo mbele ya kile kiti cha enzi.
alaika jhongi akahida, akamulili bakuli lya dhahabu jhajhijhele ni uvumba, ajhemili mu madhabahu. Apelibhu uvumba bhumahele ili kwamba aubhosiajhi pamonga ni maombi gha bhaamini bhoha mu madhabahu gha dhahabu palongolo pa kiti kya enzi.
4 Ule moshi wa uvumba pamoja na yale maombi ya watakatifu, vikapanda juu mbele za Mungu, kutoka mkononi mwa huyo malaika.
Lyosi lya uvumba, pamonga ni maombi gha bhaamini, akakwela panani palongolo pa K'yara kuhoma mu mabhoko gha malaika.
5 Kisha yule malaika akachukua kile chetezo, akakijaza moto kutoka kwa yale madhabahu, akautupa juu ya dunia. Pakatokea sauti za radi, ngurumo, umeme wa radi na tetemeko la ardhi.
Malaika akalota bakuli lya uvumba ni kulimemesya muoto kuhoma mu madhabahu. Kisha akalitagha pasi panani pa nchi, na kwatokili sauti jha radi, miale jha radi ni litetemeku lya nchi.
6 Basi wale malaika saba waliokuwa na zile tarumbeta saba wakajiandaa kuzipiga.
Bhala malaika saba ambabho bhajhele ni tarumbeta saba bhajhele tayari kusikobha.
7 Malaika wa kwanza akaipiga tarumbeta yake, pakatokea mvua ya mawe na moto uliochanganyika na damu, navyo vikatupwa kwa nguvu juu ya nchi. Na theluthi ya dunia ikateketea, theluthi ya miti ikateketea, na nyasi yote mbichi ikateketea.
Malaika ghwa kuanza akakobha tarumbeta jha muene, na kwatokili fula jha maganga ni muoto bhwabhuchanganyikene ni damu. Fyataghibhu pasi pa nchi ili kwamba theluthi jhiake jhipiayi, theluthi jha mabehe jhapili ni manyasi ghoha gha kijani ghapili.
8 Malaika wa pili akaipiga tarumbeta yake na kitu kama mlima mkubwa unaowaka moto kikatupwa baharini. Theluthi ya bahari ikawa damu,
Malaika ghwa pili akakhobha tarumbeta jha muene, ni khenu kama kidonda kibhaha kikajhele kama kidonda kibhaha kya kipili kwa muoto kyateghibhu mu bahari.
9 theluthi ya viumbe vyenye uhai viishivyo baharini vikafa na theluthi ya meli zikaharibiwa.
Theluthi jha bahari jhajhele damu, theluthi jha viumbe hai mu bahari fyafuili ni theluthi jha meli syaharibiki.
10 Malaika wa tatu akaipiga tarumbeta yake, na nyota kubwa iliyokuwa ikiwaka kama taa ikaanguka toka angani, ikaangukia theluthi ya mito na chemchemi za maji.
Malaika ghwa tatu akakobha tarumbeta lya muene, ni litondo libhaha likabina kuhoma kumbinguni, ni kulangasya kama ligesi, panani pa theluthi jha fiholo ni chemichemi sya masi.
11 Nyota hiyo inaitwa Uchungu. Theluthi ya maji yakawa machungu na watu wengi wakafa kutokana na maji hayo kwa maana yalikuwa machungu.
Lihina lya litondo ndo pakanga. Theluthi jha masi jhajhele pakanga, ni bhanu bhamehele bhafuili kutokana ni masi ghaghajhele makali.
12 Kisha malaika wa nne akaipiga tarumbeta yake, na theluthi ya jua, theluthi ya mwezi na theluthi ya nyota zikapigwa. Kwa hiyo theluthi moja ya mwanga ikawa giza. Theluthi ya mchana ikawa haina mwanga na pia theluthi ya usiku.
Malaika ghwa nne akobhili tarumbeta lya muene ni theluthi jha lijobha jhatobhibhu, pamonga ni theluthi jha muesi ni theluthi jha litondo. Henu, theluthi jha fyoha jhageuki kujha ngisi; theluthi jha pamusi ni theluthi jha pakilu fyajhelepi ni muanga.
13 Nilipokuwa tena nikitazama, nikamsikia tai mmoja akipiga kelele kwa sauti kuu wakati akiruka katikati ya mbingu, akisema, “Ole! Ole! Ole wa watu waishio duniani, kwa sababu ya tarumbeta ambazo malaika hao wengine watatu wanakaribia kuzipiga!”
Nalangili, na napeliki tai jhearukeghe pagati pa anga, ikuta kwa sauti mbaha, “Ole, ole, ole, kwa bhala bhabhitama mu nchi, kwandabha jha mlipuko bhwa tarumbeta jhajhibakili ambajho jhikaribili kukhobhibhwa ni malaika bhadatu.”

< Ufunuo 8 >