< Ufunuo 20 >

1 Kisha nikaona malaika akishuka kutoka mbinguni, akiwa ameshika ufunguo wa lile Shimo na mnyororo mkubwa mkononi mwake. (Abyssos g12)
Kisha namweni malaika atiuluka boka kumaunde, abi ni upunguo wa liyembwa lalibile ntopo mwisho ni nyororo ngolo muluboko lwake. (Abyssos g12)
2 Akalishika lile joka, yule nyoka wa zamani, ambaye ndiye ibilisi au Shetani, naye akamfunga kwa muda wa miaka 1,000.
Atikamwa lelo ling'ambo, mng'ambo lya zamani ngae ni ibilisi au nchela ni kuntaba miaka elfu.
3 Akamtupa katika lile Shimo, akamfunga humo na kulitia lakiri, ili kumzuia asiendelee kudanganya mataifa mpaka hiyo miaka 1,000 itimie. Baada ya hayo lazima afunguliwe kwa muda mfupi. (Abyssos g12)
Atikulitaikwa muliyembwa labile ntopo mwisho, atikulitaba ni kulibekia mhuri kunani yake. Yeno yabile nyoo lenga kana bakongetwe mataifa kae mpaka miaka elfu paiyomoka. Baada yapoo, bakumnekekeya huru kwa muda nchunu. (Abyssos g12)
4 Kisha nikaona viti vya enzi vilivyokuwa vimekaliwa na hao waliopewa mamlaka ya kuhukumu, na nikaona roho za wale waliokatwa vichwa kwa sababu ya ushuhuda wa Yesu na kwa sababu ya neno la Mungu. Hawakuwa wamemsujudu huyo mnyama wala sanamu yake wala hawakupokea ile chapa yake kwenye vipaji vya nyuso zao au kwenye mikono yao. Wakawa hai na kutawala pamoja na Kristo miaka 1,000.
Boka po namweni iteo ya enzi. Babatamile ni balo bababile bapeilwe mamlaka ya hukumu. Nyonyo ni mweni nafsi ya balo babile bakalwile mitwee kwaajili ya ushuhuda kuhusu Yesu na kwa neno lya Nnongo. Babile bamwabudu kwaa mnyama wala kingao chake, na bakani pokia ye atama kunani ya kibonge yabe ama muluboko baichile muukoti, batitawala pamope ni Kristo kwa miaka elfu.
5 (Wafu waliosalia hawakufufuka mpaka ilipotimia hiyo miaka 1,000.) Huu ndio ufufuo wa kwanza.
Wafu babaigile baichile kwaa muukoti mpaka miaka elfu paiyomwike. Wono nga ufufuo wa kwanza.
6 Waliobarikiwa na walio watakatifu ni wale walio na sehemu katika ufufuo wa kwanza. Hao mauti ya pili haina nguvu juu yao, bali watakuwa makuhani wa Mungu na wa Kristo, nao watatawala pamoja naye kwa muda wa miaka 1,000.
Atibarikiwa ni mataifa ni bandu yoyoti yotolile nafasi katika ufufuo wakwanza! Kiwo cha naibele ntopo ngupu kunani ya bandu kati bano. Papala baa ni makuhani wa Nnongo ni wa Kristo ni batawala ni ywembe kwa miaka elfu.
7 Hiyo miaka 1,000 itakapotimia, Shetani atafunguliwa kutoka kifungoni mwake,
Wakati wa miaka elfu paopala ika mwisho, nchela ayogolelwa boka gerezani mwake.
8 naye atatoka ili kuyadanganya mataifa yaliyopo katika pembe nne za dunia, yaani, Gogu na Magogu apate kuwakusanya tayari kwa vita. Idadi yao ni kama mchanga ulioko pwani.
Apayenda panja kubakonga mataifa katika kona nchehe za kilambo-Gogu ni magogu kabaleta pamope kwaajili ya vita. Bapanga banambone kati miangi ya bahari.
9 Nao walitembea katika eneo lote la dunia, wakaizunguka kambi ya watakatifu na ule mji unaopendwa. Lakini moto ukashuka kutoka mbinguni na kuwateketeza.
Bayeu unani kweni itarumbeta ya kilambo na tindiya kambi ya baamini, mji waupendilwe. Lakini mwoto waichile boka kunani ni kubaangamiza.
10 Naye ibilisi aliyewadanganya akatupwa katika ziwa la moto na kiberiti walikokuwa wametupwa yule mnyama na yule nabii wa uongo. Watateswa humo usiku na mchana, milele na milele. (aiōn g165, Limnē Pyr g3041 g4442)
Nchela, ambae atibaya kwabe ubocho, atitaikulilwa nkati ya ziwa lya kiberiti, ambapo mnyama ni nabii wa ubocho patiteikulilwe mpamo, Batesekilwe mutwe nkati ni kilo milele ni milele. (aiōn g165, Limnē Pyr g3041 g4442)
11 Kisha nikaona kiti kikubwa cheupe cha enzi pamoja na yeye aliyeketi juu yake. Dunia na mbingu zikaukimbia uso wake wala mahali pao hapakuonekana.
Boka po nakibweni kiteo sa enzi kikolo nyeupe ni yolo ywatamile kunani yake. Kilambo ni kumaunde zatibutuka kwakulipile boka katika uwepo wake. Lakini pabile kwaa nafasi ya balo yenda.
12 Nami nikawaona wafu wakubwa na wadogo, wakiwa wamesimama mbele ya hicho kiti cha enzi na vitabu vikafunguliwa. Pia kitabu kingine kikafunguliwa ambacho ni kitabu cha uzima. Hao wafu wakahukumiwa sawasawa na matendo yao kama yalivyoandikwa ndani ya hivyo vitabu.
Natikuwabona babawile-hodari ni babile ntopo wa umuhimu batiyemanga katika iteo ya enzi, ni itabu yenge yaukwile-Kitabu cha ukoti. Bandu babawile batiukumilwa kwa chelo chakiandikwile nkati ya itabu, matokeo ya chelo chabakipangite.
13 Bahari ikawatoa wafu waliokuwamo ndani yake, nayo mauti na Kuzimu zikawatoa wafu waliokuwamo ndani yake. Kila mtu akahukumiwa kulingana na yale aliyoyatenda. (Hadēs g86)
Bahari itikubabaya babawile ambao babile nkati yake. Kiwo ni kuzimu batikubaboya babawile babile nkati yake, ni wafu batihukumiwa lingana na chabakipangite. (Hadēs g86)
14 Kisha mauti na Kuzimu zikatupwa katika ziwa la moto. Hii ndio mauti ya pili, yaani, hilo ziwa la moto. (Hadēs g86, Limnē Pyr g3041 g4442)
Kiwo ni kuzimu zataikwile nkati ya ziwa lya mwoto. Yeno nga mauti yanaibele-ziwa lya mwoto. (Hadēs g86, Limnē Pyr g3041 g4442)
15 Iwapo mtu jina lake halikuonekana katika kile kitabu cha uzima, alitupwa ndani ya lile ziwa la moto. (Limnē Pyr g3041 g4442)
Kati lina lya yoyoti lapatikine kwaa litiandikwa nkati ya kitabu sa ukoti, atitaikulilwa nkati ya ziwa lya moto (Limnē Pyr g3041 g4442)

< Ufunuo 20 >