< Mathayo 1 >
1 Habari za ukoo wa Yesu Kristo mwana wa Daudi, mwana wa Abrahamu:
Agha ghe matavua agha kikoko kya Yesu kilisite umhuma mu kisina kya ntwa uDavidi, ikisina kya Abulahimu.
2 Abrahamu akamzaa Isaki, Isaki akamzaa Yakobo, Yakobo akawazaa Yuda na ndugu zake,
Uabulahamu akampaapa uIsaka, uIsaka akampaapa una uYakovo, UYakovo akampaapa uYuuda na vanine.
3 Yuda akawazaa Peresi na Zera, ambao mama yao alikuwa Tamari, Peresi akamzaa Hesroni, Hesroni akamzaa Aramu,
UYuuda akampaapa uPelesi nu Sela mwa Tamali, uPelesi akampaapa uHesiloni, Hesiloni akampaapa uAlamu.
4 Aramu akamzaa Aminadabu, Aminadabu akamzaa Nashoni, Nashoni akamzaa Salmoni,
UAlamu akampaapa UAminadabu, uAminadabu akampaapa uNasoni, uNasoni akampaapa uSalimoni.
5 Salmoni akamzaa Boazi, na mama yake Boazi alikuwa Rahabu, Boazi akamzaa Obedi, ambaye mama yake alikuwa Ruthu, Obedi akamzaa Yese,
USalimoni akampaapa uBohasi mwa Lahavu, UBohasi akampaapa UObedi mwa Luti, uObedi akampaapa uYese,
6 Yese akamzaa Daudi ambaye alikuwa mfalme. Daudi akamzaa Solomoni, ambaye mama yake ni yule aliyekuwa mke wa Uria.
ghwope UYese akampaapa Untwa UDavidi. UDavidi akampaapa uSolomoni mwa mukijuuva juno alyale n'dala ghwa Ulia.
7 Solomoni akamzaa Rehoboamu, Rehoboamu akamzaa Abiya, Abiya akamzaa Asa,
USolomoi akampaapa uLehoboamu, ULehoboamu akampaapa uAbia, uAbia akampaapa uAsa.
8 Asa akamzaa Yehoshafati, Yehoshafati akamzaa Yoramu, Yoramu akamzaa Uzia,
uAsa akampaapa uYehoshafati, UYehoshafati akampaapa uYolamu, uYolamu akampaapa uUsia.
9 Uzia akamzaa Yothamu, Yothamu akamzaa Ahazi, Ahazi akamzaa Hezekia,
UUsia akampaapa uYotamu, uYotamu akampaapa uAhasi, UAhasi akampaapa uUhesekia.
10 Hezekia akamzaa Manase, Manase akamzaa Amoni, Amoni akamzaa Yosia,
uHEsekia akampaapa uMnase, uManase akampaapa uAmoni, ghwope uAmoni akampaapa uYosia.
11 wakati wa uhamisho wa Babeli, Yosia alimzaa Yekonia na ndugu zake.
uYosia akampaapa uYekonia na vanine unsiki ghuno aVaisilaeli ye vatwalilue ku vuhesia, ku Babeli.
12 Baada ya uhamisho wa Babeli: Yekonia alimzaa Shealtieli, Shealtieli akamzaa Zerubabeli,
Ye vatwalilue ku vuhesia ku Babeli, uYekonia akampaapa uSalatieli, uSalatieli akampaapal uSelubabeli.
13 Zerubabeli akamzaa Abiudi, Abiudi akamzaa Eliakimu, Eliakimu akamzaa Azori,
uSelubabeli akampaapa uAbihudi, uAbihudi akampaapa uEliakimu, uEliakimu akampaapa uAsoli.
14 Azori akamzaa Sadoki, Sadoki akamzaa Akimu, Akimu akamzaa Eliudi,
uAsoli akampaapa uSadoki, uSadoki akampaapa uAkimu, uAkimu akampaapa uEliudi.
15 Eliudi akamzaa Eleazari, Eleazari akamzaa Matani, Matani akamzaa Yakobo,
uEliudi akampaapa uElieseli, uElieseli akampaapa uMatani, ghwope uMatani akampaapa uYakovo.
16 naye Yakobo akamzaa Yosefu ambaye alikuwa mumewe Maria, mama yake Yesu, aitwaye Kristo.
uYkovo akampaapa Yosefu umughoosi ghwa Maliya. UMaliya ghwe juno akampapile uYesu juno ghwe Kilisite.
17 Hivyo, kulikuwepo na jumla ya vizazi kumi na vinne tangu Abrahamu mpaka Daudi, vizazi kumi na vinne tangu Daudi hadi wakati wa uhamisho kwenda utumwani Babeli, na vizazi kumi na vinne tangu wakati wa uhamisho kwenda utumwani Babeli hadi Kristo.
Lino, kuhuma kwa Abulahamu kufika kwa ntwa uDavidi kwefilyale ifisina kijigho na fine. Kange, kuhuma pa Davidi kufila unsiki ghuno aVaisilaeli vitwalua ku vuhesia ku Babeli, kwefilyale ifisina ifingi kijigho n a fine. Kange, kuhuma unsiki ghuno vitwalua ku Babeli kuhanga kufika unsiki ye iholua uKilisite, kwefilyale ifisina ifingi kijigho na fine.
18 Basi Kuzaliwa kwake Yesu Kristo kulikuwa hivi: Maria mama yake alikuwa ameposwa na Yosefu, lakini kabla hawajakutana kimwili, Maria alionekana kuwa na mimba kwa uweza wa Roho Mtakatifu.
Kuholua kwa Yesu Kilisite kulyale ndiiki. Unguna jonop ilitavua lyake ghwe Maliya, alyalimilue nu Yosefu. Neke ye akyale kutolua alyavoniike kuuti ali nu vukunue ku ngufu sa Mhepo uMwimike.
19 Kwa kuwa Yosefu, mwanaume aliyekuwa amemposa alikuwa mtu mwadilifu, hakutaka kumwaibisha Maria hadharani, aliazimu kumwacha kwa siri.
Ulwakuva uYosefu juno alyamulimiile uMaliya alyale mugholofu pamaso gha Nguluve, naakalondagha kuuti ankosie isoni uMaliya. Pe akalamula pikumuleka kisyefu.
20 Lakini mara alipoazimu kufanya jambo hili, malaika wa Bwana akamtokea katika ndoto na kusema, “Yosefu mwana wa Daudi, usiogope kumchukua Maria awe mke wako, kwa maana mimba aliyo nayo ni kwa uweza wa Roho Mtakatifu.
Ye alamwile uluo, unyamhola ghwa mtwa uNguluve akam'bonekela mu njosi, akam'buula akati, “Ghwe Yosefu, ghwe mhuma mu kisina ikya ntwa uDavidi, uleke pikwoghopa pikuntoola uMaliya, uLwakuva uvukunue vuno ali navwo, apelilue mu ngufu sa Mhepo uMwimike.
21 Naye atamzaa mwana, nawe utamwita Jina lake Yesu, kwa maana yeye ndiye atakayewaokoa watu wake kutoka dhambi zao.”
Neke ipaapa umwana un'diimi, ukumpeela ilitavua ili Yesu, ulwakuva ilikuvapokagha avaanhu vaake mu nyivi saave.”
22 Haya yote yalitukia ili litimie lile Bwana alilokuwa amenena kupitia nabii, akisema:
Sooni isio siliyavombiike enendikio kukwilanisia ilisio lino uMutwa alyajovile kukilila um'bili ghwake kuuti, “
23 “Tazama, bikira atachukua mimba, naye atamzaa mwana, nao watamwita Jina lake Imanueli”: maana yake, “Mungu pamoja nasi.”
Lolagha! Umhinja juno naammanyile umughoosi, iiva nu vukunue, ipaapa umwana un'diimi! pe vikumpeela umwana ujuo ilitavua ili Manueli.” Umuluvo ghwa litavua ilio kwekuti, “UNguluve ali palikimo nusue.”
24 Yosefu alipoamka kutoka usingizini, akafanya kama vile alivyoagizwa na malaika wa Bwana, akamchukua Maria kuwa mke wake.
Yosefu akasisimuka, akavomba ndavule unyamhola ghwa Mutwa vule am'bulile, akantoola uMaliya kuuva n'dala ghwake.
25 Lakini hawakukutana kimwili mpaka Maria alipojifungua mwanawe kifungua mimba akamwita Jina lake Yesu.
Looli naakaghelile kughona naghwo kuhanga usinki ghuno uMaliya ipaapa umwana un'diimi. Pe uYosefu akampeela umwana ujuo ilitavua ili Yesu.