< Wahebrania 9 >

1 Basi agano lile la kwanza lilikuwa na kanuni zake za kuabudu na pia patakatifu pake pa kidunia.
Eshi hata epatano ilya whande lyali ni sehemu iyaputile epa pansi ni taratibu zya pute.
2 Hema ilitengenezwa. Katika sehemu yake ya kwanza kulikuwa na kinara cha taa, meza na mikate iliyowekwa wakfu; hii sehemu iliitwa Mahali Patakatifu.
Huje mushibhanza mwali nikasi yebhoshewelwe, ikasi ya honze, pakwiziwilwe ni khozyo litala, imeza na mabumunda gilolesyo.
3 Nyuma ya pazia la pili, palikuwa na sehemu iliyoitwa Patakatifu pa Patakatifu,
Nawhisinda whali i pazia ilyabhele wali nikasi iyamwawo, pakiziwilwe mahali apinza hani.
4 ambapo palikuwa na yale madhabahu ya dhahabu ya kufukizia uvumba, na lile Sanduku la Agano lililofunikwa kwa dhahabu. Sanduku hili lilikuwa na gudulia la dhahabu lenye mana, ile fimbo ya Aroni iliyochipuka, na vile vibao vya mawe vya Agano.
Paleho nipishi puto yiwe lihela papulizizye uuvumba. Pia lyaleho ipogoso limapatano, ambalo lyazengilwe whiwe lihela tou. Muhati yakwe mwali ni bakuli liwe lihela li nashi, ndesa ya Haruni yayamelile amatondo, na zila imbawa zi mawe zimapatano.
5 Juu ya lile Sanduku kulikuwa na makerubi ya Utukufu yakitilia kivuli kile kifuniko ambacho ndicho kiti cha rehema. Lakini hatuwezi kueleza vitu hivi kwa undani sasa.
Humwanya yipogoso limapatano mawumbo gimaserafi giutuntumu wagabiha amapiho gawo whilongolela yitengo lwako ndanye, ambalyo whusalezi hatuwezi ahuliyanjile shamukasi.
6 Basi vitu hivi vilipokuwa vimepangwa, makuhani waliingia daima katika sehemu ya kwanza ya hema ili kufanya taratibu zao za ibada.
Baada yi vintu evi amalishe ahandaliwe, abhadimi huwa bhawhinjila hukasi shahonze cha hushibhanza afumwe ihuduma zyawo.
7 Lakini ni kuhani mkuu peke yake aliyeingia ndani ya sehemu ya pili ya hema. Tena hii ilikuwa mara moja tu kwa mwaka, na hakuingia kamwe bila damu, ambayo alitoa kwa ajili yake mwenyewe na kwa ajili ya dhambi za watu walizotenda bila kukusudia.
Nbhe udimi ugosi awhinjila whela ikasi ya bhele yipekee mala yeka kila mwaha bila aleshe afumye usailo kwaajili iyakwe binafasi, nahumbibhi zya bhantu zyabhawombile zyabila amanye.
8 Kwa njia hii, Roho Mtakatifu alikuwa anaonyesha kwamba, maadamu ile hema ya kwanza ilikuwa bado imesimama, njia ya kuingia Patakatifu pa Patakafifu ilikuwa bado haijafunguliwa.
Upepo Ufinjile asimisizya aje, idala limahali pigolosu zaidi bado saikwikwiliwilwe whela ishi bhanza shahumwanzo bado liwhemelela.
9 Huu ulikuwa mfano kwa ajili ya wakati wa sasa, kuonyesha kwamba sadaka na dhabihu zilizokuwa zikitolewa hazikuweza kusafisha dhamiri ya mtu anayeabudu.
Eli shifwani cha lubhazyo olu lwisalezi zyonti impesya ninsailo ambavyo zyabhafumya husalezi sagaziwezya amalezye idhamili waputa.
10 Lakini hizi zilishughulika tu na vyakula na vinywaji, pamoja na taratibu mbalimbali za kunawa kwa nje, kanuni kwa ajili ya mwili zilizowekwa hadi wakati utimie wa matengenezo mapya.
Vyale ni vimwelo vyene vikhatene katika inamna yiutaratibu zinsayo yahujozye vyali vyandaliwilwe paka iyenze iamri impya ibhabhewele pamahali pakwe.
11 Kristo alipokuja akiwa Kuhani Mkuu wa mambo mema ambayo tayari yameshawasili, alipitia kwenye hema iliyo kuu zaidi na bora zaidi, ambayo haikutengenezwa kwa mikono ya binadamu, hii ni kusema, ambayo si sehemu ya uumbaji huu.
U Kristi ahenzele hansi udimi ugosi wimambo aminza gagenzele. Ashilile ugosi na ugolosu wishibhanza igosi lisaga lyawombilwe ni nyobhe zya bhantu, yasa yense ene yayaumbwilwe.
12 Hakuingia kwa njia ya damu ya mbuzi na ya ndama; lakini aliingia Patakatifu pa Patakatifu mara moja tu kwa damu yake mwenyewe, akiisha kupata ukombozi wa milele. (aiōnios g166)
Yali saga whidanda limbuzi ni gwata, ila whidanda lyakwe yoyo kuwa uKristi ahinjiye mahali agolosu zaidi ya mara heka whaweka na hutisimizye uwaule wetu wa wila. (aiōnios g166)
13 Damu ya mbuzi na ya mafahali, na majivu ya mitamba walivyonyunyiziwa wale waliokuwa najisi kwa taratibu za kiibada viliwatakasa, hata kuwaondolea uchafu wa nje.
Hansi whidanda limbuzi namafahari na sanyantilwe whimalota gingwata zyagazilinyinza zyabheshewelwe wha Ngolobhe na bheshe ambelegawo abhe minza,
14 Basi ni zaidi aje damu ya Kristo, ambaye kwa Roho wa milele alijitoa nafsi yake kwa Mungu kuwa sadaka isiyo na waa, itatusafisha dhamiri zetu kutokana na matendo yaletayo mauti, ili tupate kumtumikia Mungu aliye hai! (aiōnios g166)
Saga zaidi hani idanda lya Kristi ashilile whapepo wiwila wajifumizye mwene bila mbibhi wha Ngolobhe, ahozye amoyo getu afume imbombo zifwe ahutumishile Ungolobhe walimomi? (aiōnios g166)
15 Kwa sababu hii Kristo ni mpatanishi wa agano jipya, ili kwamba wale walioitwa waweze kupokea ile ahadi ya urithi wa milele: kwa vile yeye alikufa awe ukombozi wao kutoka kwa dhambi walizozitenda chini ya agano la kwanza. (aiōnios g166)
Whimaana ene, Kristi yumu jumbe wipatano ipya. Ene ndiyo sababu ufwe wubhaleshile wene wonti bhabhali bhipatano lya humwanzo afume muhatia yimbibhi zyawo, ili wonti bhabhakwiziwilwa no Ngolobhe bhawezye aposhele insobhezyo zyatabhale bhewo wiwila. (aiōnios g166)
16 Kwa habari ya wosia, ni muhimu kuthibitisha kifo cha yule aliyeutoa,
Ishi nkahuli ipatano lilidumu, lazima lihakikiswe hufwe whamuntu ola waliwombile.
17 kwa sababu wosia huwa na nguvu tu wakati mtu ameshakufa; kamwe hauwezi kutumika wakati yule aliyeuandika bado yuko hai.
Huje ipatano libha nengovo huma hali whahufumila ufwe, hujinsi eyo hamuna engovo wakati umwene waligombile aleho.
18 Hii ndiyo sababu hata lile agano la kwanza halikuweza kutekelezwa pasipo damu.
Nesho saga lila ipatano lyawhande lyaleho bilabheshe idanda.
19 Mose alipotangaza kila amri kwa watu wote, alichukua damu ya ndama na ya mbuzi, pamoja na maji, sufu nyekundu na matawi ya mti wa hisopo, akanyunyizia kile kitabu na watu wote.
Uwakati uMusa lyafunyaga kila ndajizyo zishelia whabhantu wonti, ahejile idanda ling'ombe ni mbuzi, pamo na menze, shitambala ishi sha mamu, na sabuni, na sanyantiwe ingili lyilyo na bhantu wonti.
20 Alisema, “Hii ndiyo damu ya agano, ambalo Mungu amewaamuru kulitii.”
Neshi ayanga, “Ene danda yipatano ambayo Ongolobhe abhapiye isheriya humwenyu”.
21 Vivyo hivyo alinyunyizia damu hiyo kwenye ile hema pamoja na kila kifaa kilichotumika ndani yake kwa taratibu za ibada.
Katika ihali yeyela abanyantiye idanda humwanya yishibhanza ni vyombo vyonti vyavyatumishe whihuduma yiudimi.
22 Kwa kweli sheria hudai kwamba, karibu kila kitu kitakaswe kwa damu, wala pasipo kumwaga damu, hakuna msamaha wa dhambi.
Nalengane nindajizyo, jilani kila shintu shisafishwa whidanda. Bila awhite idanda hamuna akhowoshelwe.
23 Kwa hiyo, ilikuwa muhimu kwa nakala za vitu vile vya mbinguni vitakaswe kwa dhabihu hizi, lakini vitu halisi vya mbinguni vilihitaji dhabihu bora kuliko hizi.
Whesho yali lazima aje maludiyo givintu vya humwanya vyevyo vyahanziwile ahozewe ni nsalio yiliyinza hani. Hata hivyo, vitu vya mbinguni vyenyewe vilipaswa kusafishwa kwa dhabihu iliyo bora zaidi.
24 Kwa maana Kristo hakuingia kwenye patakatifu palipofanywa kwa mikono ya mwanadamu, ambao ni mfano wa kile kilicho halisi. Yeye aliingia mbinguni penyewe, ili sasa aonekane mbele za Mungu kwa ajili yetu.
Huje Ukristi sagahinjiye pamahali apasafi hani papawombilwe ni nyobhe, yili maludiyo yihantu heho. Badala yakwe aihinjiye humwanya yeyo, pamahali ambapo isalezi ali whilongole yimaso ga Ngolobhe kwa ajili yetu.
25 Wala hakuingia mbinguni ili apate kujitoa mwenyewe mara kwa mara, kama vile kuhani mkuu aingiavyo Patakatifu pa Patakatifu kila mwaka kwa damu ambayo si yake mwenyewe.
Sagaahinjiye hula kwajili yahujifumye nsayilo kwaajili yakwe wila wila, hansi shawomba udimi ugosi, wahinjila pamahali apasafi hani humwaha hadi humwaha pamoja ni danda lyawenje,
26 Ingekuwa hivyo, ingempasa Kristo kuteswa mara nyingi tangu kuumbwa kwa ulimwengu. Lakini sasa ametokea mara moja tu katika mwisho wa nyakati aiondoe dhambi kwa kujitoa mwenyewe kuwa dhabihu. (aiōn g165)
nkesho eyo yalilyoli basi yalilazima hukwake ateseshe mara nyinji hani afume lwawhande wense. Eshi isalezi heka hadi humwisho wimaha gajikwinkuye awhuyefwe imbibhi hulusayo lyakwe yoyo. (aiōn g165)
27 Kama vile mwanadamu alivyowekewa kufa mara moja tu na baada ya kufa akabili hukumu,
Hansi sheleho whamuntu afwe heka, na baada yelyo whuwhenza hulonge,
28 vivyo hivyo Kristo alitolewa mara moja tu kuwa dhabihu ili azichukue dhambi za watu wengi. Naye atakuja mara ya pili, sio kuchukua dhambi, bali kuwaletea wokovu wale wanaomngoja kwa shauku.
shili shesho Kristi nape ambaye ehefwelewe mara heka ahuzyefwe imbibhi za bhinji, aifumila mara yabhele, saga whigusuli lya shughulishil; e imbibhi, ila huugombozi whabhala bhabhahugolela husubira.

< Wahebrania 9 >