< Waefeso 5 >

1 Kwa hiyo, mfuateni Mungu kama watoto wapendwao,
Kwa ele muyela bhanu bha kunfuata K'yara Katya bhana munu ya bhagani kibhu.
2 mkiishi maisha ya upendo, kama vile Kristo alivyotupenda sisi akajitoa kwa ajili yetu kuwa sadaka yenye harufu nzuri na dhabihu kwa Mungu.
Mgendai kup'etela lipendo, kabhele kabhele kutya Kristu kaatuganili tete, ajipisili muene kwajia yhoto. Muene ayele sadaka ni zabiu, kuya harufu inofu ya kumbaghanisya K'yara.
3 Lakini uasherati, usitajwe miongoni mwenu, wala uchafu wa aina yoyote, wala tamaa, kwa sababu mambo haya hayastahili miongoni mwa watakatifu.
Zinaa au uchafu bhuoabhola ni tamaa sibaya visitajibhu Kati ya yhomo, Katya kayilondeka kwabhabhiamini,
4 Wala pasiwepo mazungumzo machafu ya aibu, au maneno ya upuzi au mzaha, ambayo hayafai, badala yake mshukuruni Mungu.
Wala machukizu ghasitajibhu, malongesi gha kipumbafu, au mizaa ya kujizalilisha ghayele sawalepi, badala yaki iyela shukulani.
5 Kwa habari ya mambo haya mjue hakika kwamba: Msherati, wala mtu mwovu, wala mwenye tamaa mbaya, mtu kama huyo ni mwabudu sanamu, kamwe hataurithi Ufalme wa Kristo na wa Mungu.
Mwibhwesya kuya ni lihakika yakuwa kuye ni zinaa, uchafu, Wala yailolonda, oyhobai iabudu lisanamu, uyehee ni urisi bhuoabhola kup'etela
6 Mtu yeyote na asiwadanganye kwa maneno matupu, kwa kuwa hasira ya Mungu huwaka kwa sababu ya mambo kama haya juu ya wale wasiomtii.
ufalume was Kristu ni K'yara. Munu yuoa yhola. asikukosi kwa malobhi gha mebhwa kwa ndabha ya mambo agha ligoga la K'yara lihida panani pa bhana bhabhitii opi.
7 Kwa hiyo, msishirikiane nao.
Ndo ishiriki pamonga nabhu.
8 Kwa maana zamani ninyi mlikuwa giza, lakini sasa ninyi ni nuru katika Bwana. Enendeni kama watoto wa nuru
kwa ndabha muenga kamuandi mwayele kitita, ila henu muyele nuru kup'etela Bwana. Efu mgendai Katya bhana bha nuru.
9 (kwa kuwa tunda la nuru hupatikana katika wema wote, haki na kweli),
Kwa ndabha matunda gha nuru ghijumulisha unofu bhuoa, haki ni ukueli.
10 nanyi tafuteni yale yanayompendeza Bwana.
Londa ikela kakikamhobholesya Bwana.
11 Msishiriki matendo ya giza yasiyofaa, bali yafichueni.
Kukotokuya ushiliki kup'etela mbhombho samu kitita sasi belili kuya ni matunda, badala yaki siyelai bhuasi.
12 Kwa maana ni aibu hata kutaja mambo yale ambayo wasiotii wanayafanya sirini.
Kwa ndabha jobhili mambo ghabhiketa abha musili ghayele ni Soni hata kughayelesya.
13 Lakini kila kitu kilichowekwa nuruni, huonekana,
Mambo ghoa, ghaghisichulibhwa ni nuru ghiya bhuasi.
14 kwa kuwa nuru ndiyo hufanya kila kitu kionekane. Hii ndiyo sababu imesemekana: “Amka, wewe uliyelala, ufufuke kutoka kwa wafu, naye Kristo atakuangazia.”
Yakuwa kila kakifichulibhwa kiya mu nuruni. Efu tijobha naa, “Yumukai, bhebhe ya ugonili, na yinukai kuhomela kuwafu ni Kristu alamulila panani paku.”
15 Kwa hiyo angalieni sana jinsi mnavyoenenda, si kama watu wasio na hekima, bali kama wenye hekima,
Efu muyelai ngangali pa mwigenda, sio Katya bhanu bhabhabelili kuya bhelevu bali kujo bhaelevu.
16 mkiukomboa wakati, kwa sababu nyakati hizi ni za uovu.
Muukombolai muda ndabha magono ni gha uovu.
17 Kwa hiyo msiwe wajinga, bali mpate kujua nini mapenzi ya Bwana.
Mkotokuya bhajinga, badala yaki muyelebhuayi kiki mapenzi ya Bwana.
18 Pia msilewe kwa mvinyo, ambamo ndani yake mna upotovu, bali mjazwe Roho.
Msigali kujo mvinyo, kawilongosya kulota kuuharibifu, Badala yaki mjazibhuayi ni Roho N'takatifu.
19 Msemezane ninyi kwa ninyi kwa zaburi, nyimbo na tenzi za rohoni, mkimwimbia na kumsifu Bwana mioyoni mwenu,
Mlongelai ni kila mmonga bhinu kizabuli, ni noli, ni nyembusa rohoni. Muyembai ni kunsifila kwa n'teema kup'etela Bwana.
20 siku zote mkimshukuru Mungu Baba kwa kila jambo katika Jina la Bwana wetu Yesu Kristo.
Mpisiayi shukulani daima kwa mambo ghoa kup'etela lihina la Kristu Yesu Bwana wa yhoto ni kwa K'yara Dadi.
21 Nyenyekeaneni ninyi kwa ninyi kwa heshima kwa ajili ya Kristo.
Mjipisyai mwayhomo kila mmonga ni kwa bhangi kwa heshima ya Kristu.
22 Ninyi wake, watiini waume zenu kama kumtii Bwana.
Bhadala mjipisyai kwa bhagosi bhinu, Katya kwa Bwana.
23 Kwa maana mume ni kichwa cha mkewe kama vile Kristo alivyo kichwa cha Kanisa, ambalo ni mwili wake, naye Kristo ni Mwokozi wake.
Kwa ndabha n'gosi ndo mutu kwa n'dala, Katya kristu kaayele ndo mutu wa kanisa. Ndo nayaikombela mibhele.
24 Basi, kama vile Kanisa linavyomtii Kristo, vivyo hivyo na wake nao imewapasa kuwatii waume zao kwa kila jambo.
Lakini kutya likanisa kalikiyele pasi pa Kristu, kelakela bhadala lasima bhaketai mebhua kwa bhagosi bhabhi kwa kila lijambo.
25 Ninyi waume, wapendeni wake zenu, kama vile Kristo alivyolipenda Kanisa akajitoa kwa ajili yake
Bhagosi, mbhaganai bhadala bhinu kutya Kristu kaaliganili likanisa na ajipisili muene kwajia ya muene.
26 kusudi alifanye takatifu, akilitakasa kwa kuliosha kwa maji katika Neno lake,
Aketili naa ili liyelai takatifu. Alitakese kwa kulisuka ni masi kup'etela lilobhi.
27 apate kujiletea Kanisa tukufu lisilo na doa wala kunyanzi au waa lolote, bali takatifu na lisilo na hatia.
Aketili naa ili abhwesyai kujiwasilishila muene likanisa tukufu, papadulili lidoa Wala waa au khenu kakifanana ni agha, badala yaki ndo takatifu yaliyele hee ni kosa.
28 Vivyo hivyo imewapasa waume kuwapenda wake zao kama miili yao wenyewe. Ampendaye mkewe hujipenda mwenyewe.
Kwa njela yela, bhagosi bhilondeka kubhagana bhadala bhabhi kutya mibhele ya bhene. Yola ya akamgana n'dala munu akajigana muene.
29 Hakuna mtu anayeuchukia mwili wake mwenyewe, bali huulisha na kuutunza vizuri, kama Kristo anavyolitunza Kanisa lake.
Ayehe hata mmonga yaakaudadila mbhele wa muene. Badala yaki, akaulutubisha ni kuugana, kutya Kristu kabhele kaaliganili likanisa.
30 Sisi tu viungo vya mwili wake.
Ndabha tete ndo bhashiriki bha mbhele wa muene.
31 “Kwa sababu hii, mwanaume atamwacha baba yake na mama yake, naye ataambatana na mkewe, na hao wawili watakuwa mwili mmoja.”
“Ndabha ya ele bhagosi alandheka dadi munu ni nyongo munu na alaungana ni n'dala munu, ni abhu bhabhele bhalaya mbhele ummonga.”
32 Siri hii ni kubwa, bali mimi nanena kuhusu Kristo na Kanisa.
Obho wayele kama ufighibhu. Ila ni fobha kup'etela Kristu ni likanisa.
33 Hata hivyo, kila mmoja wenu ampende mkewe kama anavyoipenda nafsi yake mwenyewe, naye mke lazima amheshimu mumewe.
Kayilondeka, kila mmonga bhinu an'ganai n'dala munu kutya yu muene, ni n'dala lazima amheshimuayi n'gosi munu. h

< Waefeso 5 >