< Matendo 27 >
1 Ilipoamuliwa kwamba tungesafiri kwa njia ya bahari kwenda Italia, Paulo na wafungwa wengine wakakabidhiwa kwa kiongozi mmoja wa askari aliyeitwa Juliasi, aliyekuwa wa Kikosi cha Walinzi wa Kaisari.
Nabhayanga huje tihwanziwa abhale hu Italia, u Paulo nafungwe bhamwao wapelwa uafisa umo uwishi Roma itawa lyakwe yu Julio, uwipuga lya Agustani.
2 Tulipanda meli iliyotoka Adramitio, iliyokuwa inakaribia kusafiri kwenda kwenye bandari zilizopo pwani ya Asia, tukaanza safari yetu tukiwa pamoja na Aristarko, Mmakedonia kutoka Thesalonike.
Tapanda imeli afume hu Adramitamu, yahanziwaga huje ijende munshenje ye pwani ya Asia. Tinjila mubahali. Alistaka afume hu Tesalonike ya hu Makedonia tabhala nawo.
3 Kesho yake tukatia nanga Sidoni, naye Juliasi akamfanyia wema Paulo, akamruhusu aende kwa rafiki zake ili wamtimizie mahitaji yake.
Isiku elya shandabho lwake tebhiha inaga hu Sidoni, u Julio abhombiye shinza uPaulo waruhusu abhale hwa Kilisti amwabho aje ayeje umusaada.
4 Kutoka huko tukaingia baharini tena na tukapita upande wa chini wa kisiwa cha Kipro kwa sababu upepo ulikuwa wa mbisho.
Afume ipo tinjila mubahali, tazyungula eshisiwa sha hu Kipro shashazijile ihaala, maana ihaala ngosi.
5 Baada ya sisi kuvuka bahari iliyoko upande wa Kilikia na Pamfilia, tukafika Mira huko Likia.
Natalola huje tijendile muminzi gagali pipi nahu Kilikia na Pamfilia, tinza hu Mira, muji gwa Lisia.
6 Huko yule kiongozi wa askari akapata meli ya Iskanderia ikielekea Italia, akatupandisha humo.
Paala uafisa wikeya eye shi Roma, wa yaanga emeli yayanziwaga abhale hu Italia. Yehafumile hu Alexandria watinjizya umwo.
7 Tukasafiri polepole kwa siku nyingi na kwa shida, hatimaye tukafika karibu na Nido. Kwa kuwa upepo wa mbisho ulituzuia tusiweze kushika mwelekeo tuliokusudia, tukapita chini ya Krete mkabala na Salmone.
Natalola huje tijendile hashehashe ensiku zinyinji, tafishile na malabha tee hu Kinidas, ihaala yahatiziga huje tisahendelele na shuule hwidala ilyo, tashuula munshinje ye Krete aizije ihaala, apalamane ne Salmone.
8 Tukaambaa na pwani kwa shida, tukafika sehemu iitwayo Bandari Nzuri, karibu na mji wa Lasea.
Tashuulile munshinje ya pwani humalabha tee paka tahafiha pamo papahitwaga Fari Haveni yahapalamine ne muji gwa hu Lasi.
9 Muda mwingi ulikuwa umepotea na kusafiri baharini kulikuwa hatari kwa sababu wakati huu ulikuwa baada ya siku za kufunga. Hivyo Paulo akawaonya akasema,
Tashuulile ensiku nyinji tee, umufungo gwa Yahudi gwashilile, eshi yaahali hatari ahwendelele ashuule. U Paulo watisunda,
10 “Mabwana, naona kuwa hii safari ni yenye maafa na ya kuleta hasara kubwa kwa meli na shehena, pia kwa maisha yetu.”
waga, “Amwe bhalume, elola esafali ene hwatibhalila, eli shibhibhi siyo huje gamazigo ne meli zyene lelo na maisha getu gope.
11 Lakini badala ya yule kiongozi wa askari kusikiliza yale Paulo aliyosema, akafuata zaidi ushauri wa nahodha na mwenye meli.
Ula uafisa wikeya eyeshi Roma, umwene atejelezyaga umwanisho meli ila, ashile zyazyayangwaga nu Paulo.
12 Kwa kuwa ile bandari ilikuwa haifai kukaa wakati wa majira ya baridi, wengi wakashauri kwamba tuendelee na safari wakitarajia kufika Foinike na kukaa huko kwa majira ya baridi. Hii ilikuwa bandari iliyoko katika kisiwa cha Krete ikikabili upande wa kusini-magharibi na kaskazini-magharibi.
Ebandari yapaala seyalishinza akhale eshipindi eshisasa, bhaala abaharia bashauli bhaga, tishuule shisho tifishe hubandari ya hu Fionike, tikhale paala eshipindi eshisasa, ebandari iyo eli hu Krete, ihwenya nu kaskazini mashariki na hukusini mashariki.
13 Upepo mtulivu ulipoanza kuvuma toka kusini, wakadhani kuwa wangeweza kufikia lengo lao, hivyo wakangʼoa nanga na kusafiri wakipita kandokando ya pwani ya kisiwa cha Krete.
Ihaala ya hu kusini ihanda avugule wolowolo abaharia bhagajibha bhapite shabhanzaga. Bhefwa engana tanda ashuule munshinji ye Krete apalamane ne pwani.
14 Lakini baada ya muda mfupi ikavuma tufani kubwa iitwayo “Eurakilo” toka kisiwa cha Krete.
Natashuula hashe wene ihaala ehali yahanda avugule yehetwaga haala ye kaskazini mashariki ihatikhoma afume hwisyela lye shisiwa.
15 Meli ikapigwa na dhoruba na haikuweza kushindana na ule upepo, tukarudishwa baharini upepo ulikokuwa unaelekea.
Emeli yetu nayapotwa alwe ne haala tenti titihana huje tibhalaje hwibhala ihaala ne meli.
16 Hatimaye tukisafiri kupita chini ya kisiwa kidogo kiitwacho Kauda, ambapo kwa kuwa tulikuwa tumekingiwa upepo na hicho kisiwa, tuliweza kwa shida kuifunga mashua ya kuokolea watu.
Ihaala yatishimbizya afume uupande wishisiwa shashazigaga ihaala shashi hwitwa Kauda; taahokola itoli humalabha.
17 Watu walipokwisha kuivuta mashua hiyo na kuiingiza katika meli, waliifunga kwa kamba chini ya meli yenyewe ili kuzishikanisha pamoja. Wakiogopa kupelekwa kwenye mchanga karibu na pwani ya Sirti, wakashusha matanga wakaiacha meli isukumwe na huo upepo.
Nabhaikwesanga emeli ne nyabho, bhahogope huje bhasahabhale hwaguli usanga eshi bhihisya enanga.
18 Tulikuwa tunapigwa na dhoruba kwa nguvu, kiasi kwamba kesho yake walianza kutupa shehena toka melini.
Edhoruba yahatikhomile tee, bhaala abaharia bhahande ataje amazigo afume mumeli esiku elyabhili.
19 Siku ya tatu, wakatupa vyombo vya meli baharini kwa mikono yao wenyewe.
Isiku elya tatu abaharia bhahanda ahwite aminzi na makhono gabho.
20 Kulipokuwa hakuna kuonekana kwa jua wala nyota kwa siku nyingi, nayo dhoruba ikiwa inaendelea kuwa kali, hatimaye tulikata kabisa tamaa ya kuokoka.
Isanya ne ntondwe sigazyakhozizye edhoruba yahali halii tee tahwisuula huje eshi tibhala hufwe.
21 Baada ya watu kukaa siku nyingi bila kula chakula, Paulo akasimama katikati yao akasema, “Enyi watu, iliwapasa kunisikiliza na kuacha kusafiri baharini kutoka Krete, ndipo ninyi mngekuwa mmejinusuru na uharibifu huu na hasara hii.
Pabhakhala tee muminzi bila shalye, u Paulo wabhabhuula huje mugantejelezizye ane panajile tisahasogole hu Krete, ega gonti handa siga gatajile ne mali ene handa sigatihuusile.
22 Sasa ninawasihi sana, jipeni moyo mkuu kwa kuwa hakuna hata mmoja wenu atakayepoteza maisha yake, ila meli itaangamia.
Eshi muzinde umwoyo nuumo umuntu yabhafwe, yemeli nyene ibhanajishe.
23 Jana usiku, malaika wa Mungu yule ambaye mimi ni wake na ambaye ninamwabudu alisimama karibu nami,
Nu siku Ungulubhi atamile untumi wakwe unu Ungulubhi yehupuuta untumi wakwe ahumiliyo pashinji yaane
24 naye akasema, ‘Paulo usiogope, kwa kuwa ni lazima usimame mbele ya Kaisari, naye Mungu amekupa kwa neema uhai wa wote wanaosafiri pamoja nawe.
ajile, “Usahogope Paulo. Uhwanziwa ahwimilile hwa Kaisari, enya, ebha bhonti apiiye huje ushuule nabho.
25 Hivyo jipeni moyo, enyi watu, kwa kuwa ninamwamini Mungu kwamba yatakuwa kama vile alivyoniambia.’
Eshi amwe bhalume jinjili umwoyo zyonti zibhabhe neshi shambuulile Ungulubhi.
26 Lakini hata hivyo meli yetu itakwama kwenye kisiwa fulani.”
Lelo tibhavwalale natibhashile huvisiwa.”
27 Usiku wa kumi na nne ulipofika, tulikuwa bado tunasukumwa na upepo katika Bahari ya Adria. Ilipokuwa yapata usiku wa manane, mabaharia wakahisi kwamba walikuwa wanakaribia nchi kavu.
Nawafiha usiku wilongo nazine, natazyungulaga ohu nu hwo mubhahari ye Adratik, nusiku wa pahati, abhabahana bhasibhile huje kabhanga tipalamiafishe hunsi enyomu.
28 Kwa hiyo wakapima kina cha maji na kukuta kilikuwa pima ishirini, baada ya kuendelea mbele kidogo wakapima tena wakapata kina cha pima kumi na tano.
Bhapima idimine biligi bhazyaga emita amalongo gatatu ne tanda, tabhala hwitagalila hashe bhapima nantele bhazyaga emita amalongo gabhili na saba.
29 Wakiogopa kwamba meli yetu ingegonga kwenye miamba, wakashusha nanga nne za nyuma ya meli, wakawa wanaomba kupambazuke.
Bhahogope huje bhagabumizya emeli mwilyalawe, bhiisya enanga zine afume pabhahwisizya enanga, bhahalabhaga huje hushe nanali.
30 Katika jaribio la kutoroka kutoka kwenye meli, mabaharia wakashusha mashua ya kuokolea watu baharini, wakijifanya kwamba wanakwenda kushusha nanga za omo.
Bhaala abaharia bhahanzaga idala lya ileshe emeli, aje bhiisye utuboti utwa hwokolele abhantu, bhafwana huje bhalwa ahwisye enange hwitagalila lye tuboti.
31 Ndipo Paulo akamwambia yule jemadari na askari, “Hawa watu wasipobaki katika meli, hamtaweza kuokoka.”
U Paulo wabhabhuula asikari, “Huje siga mubhajiye ahwokoshe muhwanziwa asagale mwamumeli.”
32 Hivyo basi wale askari wakakata kamba zilizoshikilia ile mashua ya kuokolea watu kwenye meli, wakaiacha ianguke humo baharini.
Bhaala asikali bhadumula inyabho ezye boti, bhailaha ebhala na minzi.
33 Kabla ya mapambazuko, Paulo akawasihi watu wote wale chakula akisema, “Leo ni siku ya kumi na nne mmekuwa katika wasiwasi mkiwa mmefunga na bila kula chochote.
Shampwitu isanya nalitukula uPaulo wabhabhuula abhantu huje bhalye ishalye waga eli lisiku lya ilongo na zine nalye nkahamoo.
34 Kwa hiyo nawasihi mle chakula, kwa maana itawasaidia ili mweze kuishi. Kwa kuwa hakuna hata mmoja wenu atakayepoteza unywele hata mmoja kutoka kichwani mwake.”
Eshi eji ishaalye shishe mulye, aje musahafwe ane enjiga hata hasisi ha mwitwe lyanyu sigahabhateje.
35 Baada ya kusema maneno haya, Paulo akachukua mkate, akamshukuru Mungu mbele yao wote, akaumega akaanza kula.
U Paulo nawayanga wega ibumunda wamensula wapuutila wanda alye.
36 Ndipo wote wakatiwa moyo, wakaanza kula chakula.
Abhantu bonti bhasungwa bhope bhega ishalye.
37 Ndani ya meli tulikuwa jumla ya watu 276.
Tahali abhantu emia zibhili na malongo saba, ni tanda 276 mu meli.
38 Baada ya watu wote kula chakula cha kutosha, wakapunguza uzito wa meli kwa kutupa ngano baharini.
Nabhalye bhakuta bhatega engano muminzi, imeli ihabha mpoposu.
39 Kulipopambazuka, mabaharia hawakuitambua ile nchi, lakini waliona ghuba yenye ufuko wa mchanga, ambako waliamua kuipweleza meli kama ingewezekana.
Nahwasha, sigabhapaminye pabhahali bhailola ensi yeinjiye muminzi eli nu sanga gugwinji. Bhajadililana aje nkashele bhabhajilye ajenzye emeli aitwale pala.
40 Kwa hiyo wakatupa nanga zote na kuziacha baharini, na wakati huo huo wakalegeza kamba zilizokuwa zikishikilia usukani wa meli. Kisha wakatweka tanga la mbele lishike upepo na kuisukuma meli kuelekea pwani.
Bhazilejezya enanga bhazileha mubahari. Umuda gwugwo bhazilejezya inyabho ezye tanga, bhabhusya hwitagalila ahwenyezye hwefuma ihaala, bhabhala hula hwaguli usanga gwugwinji.
41 Lakini wakafika mahali ambapo bahari mbili zinakutana, wakaipweleza meli ufuoni, omo ikakwama sana, ikawa haiwezi kuondolewa, lakini sehemu ya shetri ikavunjika vipande vipande kwa kule kupiga kwa mawimbi yenye nguvu.
Bhafiha pagatanganila amadila ge menze, emeli yabhala musanga yakwama(yamilia) yasinta ahwepe hwitagalila emeli yaande abudushe amawimbi gaali magosi.
42 Wale askari wakapanga kuwaua wale wafungwa ili kuzuia hata mmoja wao asiogelee na kutoroka.
Asikari bhaala bhaali nu mpango ugwabhabude afungwe bhonti aje bhasahatoloshe.
43 Lakini yule jemadari alitaka kuokoa maisha ya Paulo, basi akawazuia askari wasitekeleze mpango wao. Akaamuru wale wanaoweza kuogelea wajitupe baharini kwanza, waogelee mpaka nchi kavu.
Ula usikari weshi Roma ahanzaga humwokole uPaulo, wabhakhaana bhaala asikari nu mpango gwabo; na wabhabhuula abhantu huje yaminye ahwonjelele aluhanje afume mumeli ayojelelaje abhale hunsi inyomu.
44 Waliosalia wangefika nchi kavu kwa kutumia mbao au vipande vya meli iliyovunjika, hivyo ikatimia kwamba wote wakaokoka na kufika nchi kavu salama.
Esho alume bhamo bhabhafuate, bhamobhamo muvipande pa vintu evyenje evya mumeli natibhabhombe eshi tenti tibhapone, tibhafishe shinza hunsi inyomu.