< 2 Yohana 1 >

1 Mzee: Kwa bibi mteule na watoto wake, niwapendao katika kweli, wala si mimi tu, bali na wale wote waijuayo kweli:
Unuhuma hugogolo uhuluta nuvadala avasayiwe na vana vavene vavo nevaganile katiha uvolweli sio umwe netu bali navoni avavihwelewa uvuyalweli.
2 kwa sababu ya ile kweli ikaayo ndani yetu na ambayo itaendelea kukaa nasi milele: (aiōn g165)
Husababu yeyo yelegati mvenena yigona sana ipaha humwisio. (aiōn g165)
3 Neema, rehema na amani itokayo kwa Mungu Baba na kwa Yesu Kristo, Mwanawe Baba, itakuwa pamoja nasi katika kweli na upendo.
Ukuhungu nu huhovaka chale nufwe uhuhuma hwangulove na hwa swambe Uyesu avana va Daada vale nulugano.
4 Imenipa furaha kuu kuona baadhi ya watoto wako wanaenenda katika kweli, kama vile Baba alivyotuagiza.
Naho wihe sana navile nigundula baazi ya vana vavile viluta vunonu, vavile vipohela ululagelo hwa Daada.
5 Sasa, bibi mpendwa, si kwamba ninakuandikia amri mpya, bali ile tuliyokuwa nayo tangu mwanzo. Tupendane kila mmoja na mwenzake.
Ululino ni huhudova, vedala, sio nihuhwa ndihela ululagilo ulupya, nayuve vidala yinogiwa uhuganana yufwe hwa yufwe. uvu vuvugane uvunigiwa tugendage nalwo.
6 Hili ndilo pendo, kwamba tuenende sawasawa na amri zake. Hii ndiyo amri yake kama vile mlivyosikia tangu mwanzo, kwamba mwenende katika upendo.
Ulu lulagelo ulwutapoline uhuhuma pavutengulelo tutahiwa uhugenda nalwo.
7 Wadanganyifu wengi, wasiokubali kwamba Yesu Kristo amekuja katika mwili, wametokea ulimwenguni. Mtu wa namna hiyo ni mdanganyifu na mpinga Kristo.
Uhuva avadesivingi vahumile mkelunga savaeli we uhumwedena ava wotwita vadesi.
8 Jihadharini msije mkapoteza kile mlichokitenda, bali mpate kupewa thawabu kamilifu.
Mwelole mwevene amambo gago samwayalohe gala aga mwavombile.
9 Mtu yeyote asiyedumu katika mafundisho ya Kristo, bali akayaacha, yeye hana Mungu. Yeyote anayedumu katika mafundisho ana Baba na Mwana pia.
Hela mnu endelele huvulongo ehuduma eyale nayo eya Kelesti.
10 Msimpokee mtu yeyote anayewajia ambaye hawaletei mafundisho haya, wala msimkaribishe nyumbani mwenu.
Kama umunu ihwicha huliomwensileta amafundesio msite unupohela mnyumba namsite uhuponia.
11 Yeyote amkaribishaye mtu wa namna hiyo anashiriki katika matendo maovu ya mtu huyo.
Umnu uviponia iva alungine humbivi.
12 Ninayo mengi ya kuwaandikia, lakini sitaki kutumia karatasi na wino. Badala yake, nataraji kuja kwenu na kuongea nanyi ana kwa ana, ili furaha yetu ipate kuwa timilifu.
Nelenago amambo mingi aga huusimbila, sana nogwe uhasimbila mlikalatasi nu wino. Lakini ninogwa uhwi cha twa gane humiho, uhuta uhuhovosha hweto huve sawa.
13 Watoto wa dada yako mteule wanakusalimu. Amen.
Avana va naacha venyo wigane che vihuvaponia.

< 2 Yohana 1 >