< 1 Petro 5 >
1 Kwa wazee waliomo miongoni mwenu, nawasihi mimi nikiwa mzee mwenzenu, shahidi wa mateso ya Kristo, na mshiriki katika utukufu utakaofunuliwa:
Nenda kwa sili apinda bababile miongoni mwinu, nenga nanibile nampinda nyabe na shaidi mateso ya Kristo na ambaye vile vile ni mshirki katika utukufu unapatikana.
2 lichungeni kundi la Mungu mlilokabidhiwa, mkitumika kama waangalizi, si kwa kulazimishwa bali kwa hiari, kama Mungu anavyowataka mwe; si kwa tamaa ya fedha, bali mlio na bidii katika kutumika.
Kwa njo, nipeya mwoyo mwenga mwaipindo mulikote likundi lya Nn”ungu lyakibile miongoni mwinu, mulilolange, sio kwa sababy muyeubilikwa lakini kwa sababu mupalitenjo, tokana na Nn”ungu mulotange sio kwa penda mbanje ya oni, lakini ka penda.
3 Msijifanye mabwana juu ya wale walio chini ya uangalizi wenu, bali kuweni vielelezo kwa hilo kundi.
Kwane mwipange mwamabwana kunaniya bundu bababile payi ya lola kwinu, lakini mube mfano wa likundi.
4 Naye Mchungaji Mkuu atakapodhihirishwa, mtapokea taji ya utukufu isiyoharibika.
Palu mchungaji mpindo paluwa tanganikwa mwapokya mataji go utukufu yaobali uthamani wake.
5 Vivyo hivyo, ninyi mlio vijana watiini wazee. Nanyi nyote imewapasa kujivika unyenyekevu kila mtu kwa mwenzake, kwa kuwa, “Mungu huwapinga wenye kiburi, lakini huwapa wanyenyekevu neema.”
Namwenga, mwa vijana mwasend, munyenyekeyanga kwa apindo binu. Mwenga mwabori muwale unyenyekevu nopeyana mwenga kwa mwenga, kwani Nn”ungu akumbwa benge yuwa, lakini apeya neema anyenyekevu.
6 Basi, nyenyekeeni chini ya mkono wa Mungu ulio hodari, ili awakweze kwa wakati wake.
Kwa njo munyenyekeyange paiya makoga Nn”ungu gagabile hodari ili akakatuye kwa muda wake.
7 Mtwikeni yeye fadhaa zenu zote, kwa maana yeye hujishughulisha sana na mambo yenu.
Mumiki fadhaa yinu panani yake, kwa sababu andakuntanga.
8 Mwe na kiasi na kukesha, maana adui yenu ibilisi huzungukazunguka kama simba angurumaye akitafuta mtu ili apate kummeza.
Mube na busara, mube mwamuaminika. Yulu adui yinu, ibilisi kati imba ywa kumbwa nduli kaegelya, kampala mundu wa kunuma.
9 Mpingeni, mkiwa thabiti katika imani, mkijua ya kwamba mateso kama hayo yanawapata ndugu zenu pote duniani.
Muyime nchungu yake, mube na makakala katika imani yinu, mutangite panga alongo binu bababile ulimwenguni bapitya mateso kati go.
10 Nanyi mkiisha kuteswa kwa kitambo kidogo, Mungu wa neema yote, aliyewaita kuingia katika utukufu wake wa milele ndani ya Kristo, yeye mwenyewe atawarejesha na kuwatia nguvu, akiwaimarisha na kuwathibitisha. (aiōnios )
Baada ya kuteseka kwa muda nkulu, Nn”ungu wa neema yoti, ywabakemite katika utukufu wa milele nkati ya Kristo, ankamilisha, amwimariisha na kumpeya ngupu. (aiōnios )
11 Uweza una yeye milele na milele. Amen. (aiōn )
Enzi ibe kwake milele na milele. Amina. (aiōn )
12 Kwa msaada wa Silvano, ambaye ninamhesabu kuwa ndugu mwaminifu, nimewaandikia waraka huu mfupi ili kuwatia moyo, na kushuhudia kwamba hii ni neema halisi ya Mungu. Simameni imara katika neema hiyo.
Namthamini silwano kati nn”ongo mwaminifu, na nimwandikile mwenga kaw kifupi pitya kwake. Nipeyanga mwoyo wa nendashudia ponga chanikiandike ni neemo ya kweli kwa Nn”ungu. Muyimange nkati yake.
13 Kanisa lililoko Babeli, lililochaguliwa pamoja nanyi, wanawasalimu; vivyo hivyo mwanangu Marko anawasalimu.
Mwabili mwamubile Babelu baba Sauli kwe na mwenga, banda kunsalimia, na Marko mwanawangu andankusalimia.
14 Salimianeni kwa busu la upendo. Amani iwe nanyi nyote mlio katika Kristo.
Musalimianane kwa kila jumo kwa busu la upendo. Na Amani ibe kwinu mwamubile nkati ya Kristo.