< 1 Wakorintho 1 >

1 Paulo, niliyeitwa kwa mapenzi ya Mungu kuwa mtume wa Kristo Yesu, na Sosthene ndugu yetu.
Paulo ywakemilwe ni Kristo pangika Mtume kwa mapenzi ga Nnongo, ni Sosthene nnuna witu.
2 Kwa kanisa la Mungu lililoko Korintho, kwa wale waliotakaswa katika Kristo Yesu na walioitwa kuwa watakatifu, pamoja na wale wote ambao kila mahali wanaliitia Jina la Kristo Yesu Bwana wetu, aliye Bwana wao na wetu pia:
Kwa likanisa lya Nnongo lyalibile Korintho, kwa balo ambabo babekilwe wakfu mu Yesu Kristo, babakemilwe panga bandu atakatifu twaandikya kae balo boti babakema lina lya Ngwana witu Yesu Kristo mahali palo, Ngwana wabe ni witu.
3 Neema na amani itokayo kwa Mungu Baba yetu na kwa Bwana Yesu Kristo iwe nanyi.
Neema na amani ibe kwinu buka kwa Nnongo tate bitu ni Ngwana witu Yesu Kristo.
4 Ninamshukuru Mungu siku zote kwa ajili yenu kwa sababu ya neema yake mliyopewa katika Kristo Yesu.
Masoba gote nimsukuru Nnongo wango kwa ajili yinu, kwa sababu ya neema ya Nnongo ywabile awapeile Yesu Kristo.
5 Kwa kuwa katika Kristo mmetajirishwa kwa kila hali, katika kusema kwenu na katika maarifa yenu yote,
Abapangite kuwa matajiri mu'kila ndela, katika longela pamope maarifa gake.
6 kwa sababu ushuhuda wetu kumhusu Kristo ulithibitishwa ndani yenu.
Abapangite matajiri, kati ushuhuda kuhusu Kristo wautithibitisha kuwa kweli nkati yinu.
7 Kwa hiyo hamkupungukiwa na karama yoyote ya kiroho wakati mnangoja kwa shauku kudhihirishwa kwa Bwana wetu Yesu Kristo.
Kwa eyo ipungwa kwaa karama ya kiroho, kati samubile na kilulu so kuulinda ufunuo wa Ngwana witu Yesu Kristo.
8 Atawafanya imara mpaka mwisho, ili msiwe na hatia siku ile ya Bwana wetu Yesu Kristo.
Alowa kumwimarisha mwenga mpaka mwisho, ili kana mukaumilwe lisoba lya Ngwana witu Yesu Kristo.
9 Mungu ambaye mmeitwa naye ili mwe na ushirika na Mwanawe Yesu Kristo, Bwana wetu ni mwaminifu.
Nnongo ni mwaminifu ywabile abakemile mwenga mu'ushirika wa mwana wake, Yesu Kristo Ngwana witu.
10 Nawasihi ndugu zangu, katika Jina la Bwana wetu Yesu Kristo, kwamba mpatane nia zenu ninyi kwa ninyi, ili pasiwepo na matengano katikati yenu na kwamba mwe na umoja kikamilifu katika nia na katika kusudi.
Nambeambe niasihi mwainja ni numbwango, pitya lina lya Ngwana witu Yesu Kristo, panga mwabote muyikityange, ni panga kana kube ni banganika nkati yinu. Niasihi muungane pamope mu'nia jimo.
11 Ndugu zangu, nimepata habari kutoka kwa baadhi ya watu wa nyumbani mwa Kloe kwamba kuna magomvi katikati yenu.
Mana bandu ba nyumba ya Kloe batumakiye kuwa kubile ni banganika nkati yinu.
12 Maana yangu ni kwamba: Mmoja wenu husema, “Mimi ni wa Paulo”; mwingine, “Mimi ni wa Apolo”; mwingine, “Mimi ni wa Kefa,” na mwingine, “Mimi ni wa Kristo.”
Nibile na mana yee: Kila yumo abaya “nenga na ywaa Paulo”, au “nenga ni ywaa Apolo,” au nenga nI ba Kefa” au “nenga ni wa Kristo.”
13 Je, Kristo amegawanyika? Je, Paulo ndiye alisulubishwa kwa ajili yenu? Je, mlibatizwa kwa jina la Paulo?
Je! Kristo atebanganika? Je Paulo atisulubilwa kwaajili yinu? Je! mwatibatizwa kwa lina lya Paulo?
14 Nashukuru kwamba sikumbatiza mtu yeyote isipokuwa Krispo na Gayo.
Nenda kumshukuru Nnongo kuwa nimbatiliza kwaa yeyete, ila Krispo ni Gayo.
15 Kwa hiyo hakuna mtu yeyote anayeweza kusema kwamba alibatizwa kwa jina langu.
Yee yabile panga ntopo ywoywoti aweza baya mwabatizwa kwa lina lyango.
16 (Naam, niliwabatiza pia watu wa nyumbani mwa Stefana. Lakini zaidi ya hao sijui kama nilimbatiza mtu mwingine yeyote.)
(Pia natekuabatiza ba nyumba ya Sephania. Zaidi ya palo, nitangite kwaa kati nambatiza mundu ywenge yeyote).
17 Kwa maana Kristo hakunituma ili kubatiza bali kuhubiri Injili; sio kwa maneno ya hekima ya kibinadamu, ili msalaba wa Kristo usije ukakosa nguvu yake.
Kwa kuwa, Kristo antumile kwaa batiza ila ubili injili. Antumile longela kwa maneno ga ekima ya kimundu, ili panga ngupu ya msalaba wa Kristo kana ubuke.
18 Kwa maana ujumbe wa msalaba kwa wale wanaopotea ni upuzi, lakini kwetu sisi tunaookolewa ni nguvu ya Mungu.
Kwa kuwa ujumbe wa msalaba ni upuuzi kwa balo batiwaa. Lakini kwa balo ambabo Nnongo atikwalopwa, ni ngupu ya Nnongo.
19 Kwa maana imeandikwa: “Nitaiharibu hekima ya wenye hekima, na kubatilisha akili ya wenye akili.”
Kwa kuwa iandikilwe, “Nalowa kuiharibu hekima ya ywabile ni busara. Nalowa kuuharibu ufahamu wa babile ni malango.”
20 Yuko wapi mwenye hekima? Yuko wapi msomi? Yuko wapi mwanafalsafa wa nyakati hizi? Je, Mungu hakufanya hekima ya ulimwengu huu kuwa upumbavu? (aiōn g165)
Abile kwako mundu ywabile ni busara? ywabile kwako ywabile ni elimu? ywabile kwako ywabaya nga mshawishi wa dunia yee? Je Nnongo aigalambwile kwaa hekima ya dunia yee no pangika ulalo? (aiōn g165)
21 Kwa kuwa katika hekima ya Mungu, ulimwengu kwa hekima yake haukumjua yeye, ilimpendeza Mungu kuwaokoa wale walioamini kwa upuzi wa lile neno lililohubiriwa.
Buka dunia ipangika mu'hekima yake intangite kwaa Nnongo, impendeza kwaa Nnongo mu'ulalo wabe wa hubiri ili kubalopwa balo baaminiya.
22 Wayahudi wanadai ishara za miujiza na Wayunani wanatafuta hekima.
Kwa Ayahudi kulokiya ishara ya miujiza ni kwa Ayunani upala hekima.
23 Lakini sisi tunamhubiri Kristo aliyesulubiwa: yeye kwa Wayahudi ni kikwazo na kwa Wayunani ni upuzi.
Lakini tumuhubiri Kristo ywaatisulubilwa, ywabile kikwazo kwa Ayahudi na nga ulalo kwa Ayunani.
24 Lakini kwa wale ambao Mungu amewaita, Wayahudi na pia Wayunani, Kristo ndiye nguvu ya Mungu na pia hekima ya Mungu.
Lakini kwa balo babakemile ni Nnongo, Ayahudi ni Ayunani, twamuhubiri Kristo kati ngupu ni hekima ya Nnongo.
25 Kwa maana upumbavu wa Mungu una hekima zaidi kuliko hekima ya wanadamu, nao udhaifu wa Mungu una nguvu kuliko nguvu ya wanadamu.
Kwa kuwa ulalo wa Nnongo wabile ni hekima kuliko ya bandu, ni udhaifu wa Nnongo wabile ni ngupu kuliko ya bandu.
26 Ndugu zangu, kumbukeni mlivyokuwa mlipoitwa. Kwa kipimo cha kibinadamu, si wengi wenu mliokuwa na hekima. Si wengi mliokuwa na ushawishi, si wengi mliozaliwa katika jamaa zenye vyeo.
Lola wito wa Nnongo nnani yinu, ainja ni nnumbwa ngo. Ni baingi kwaa nkati yinu mwabile ni hekima mu'viwango vya bandu. Ni baingi kwa nkati yinu mwabile ni ngupu. baingi kwaa nkati yinu mubelekwi mu ukolo.
27 Lakini Mungu alivichagua vitu vipumbavu vya ulimwengu ili awaaibishe wenye hekima, Mungu alivichagua vitu dhaifu vya ulimwengu ili awaaibishe wenye nguvu.
Lakini Nnongo asawile ile ya kilalo ya dunia ili kwiaibisha yabile ni hekima. Nnongo asawile sa'kinyatike mu'dunia kukiabisha sa kibile ni ngupu.
28 Alivichagua vitu vya chini na vinavyodharauliwa vya dunia hii, vitu ambavyo haviko, ili avibatilishe vile vilivyoko,
Nnongo asawile chelo cha hali ya pae ni chabile chakisalaulilwe mu'dunia. Asawile ata ilebe ambayo yabalangilwe kwaa pangika ilebe, kwa kuipanga ilebe kwaa yabile ni yhamani.
29 ili mtu yeyote asijisifu mbele zake.
Apangite nyoo ili kana abe yeyote ywabile ni sababu ya kuipunia nnonge yake.
30 Bali kwa yeye ninyi mmepata kuwa katika Kristo Yesu, aliyefanyika kwetu hekima itokayo kwa Mungu, yaani haki, na utakatifu na ukombozi.
Kwa sababu ya chelo chaakipangite Nnongo, nambeambe mubile nkati ya Kristo Yesu, ywabile apangike hekima kwa ajili yinu kuoma kwa Nnongo. Abile nga haki yitu, utakatifu ni ukombozi.
31 Hivyo, kama ilivyoandikwa: “Yeye ajisifuye na ajisifu katika Bwana.”
Kati matokeo, kati liandiko lyatibaya, “Ywaisipu, aisipu mu'Nngwana.”

< 1 Wakorintho 1 >