< Oufunuo 22 +
1 Shesho ontumi wandanga isoho elyemenze ege womi, amenze gali galabha nashi ebilauli. Gali afuma witengo elyeshimwene elya Ngolobhe na eshe Mwana Ngole.
Kisha yule malaika akanionyesha mto wa maji ya uzima, maangavu kama kioo yakitiririka kutoka kwenye kile kiti cha enzi cha Mungu na cha Mwana-Kondoo,
2 Ashilile pahati piboma. Shila mshenje wisoho mwali nikwi elye womi, wawupapa ehaina ilongo na gabhele enzye mandondo, nakapupa shila mwezi. Amajani egikwi kwajili ya ponye we mataifa.
kupitia katikati ya barabara kuu ya huo mji. Kwenye kila upande wa huo mto kulikuwa na mti wa uzima utoao matunda ya aina kumi na mbili, ukizaa matunda yake kila mwezi. Nayo majani ya mti huo ni kwa ajili ya uponyaji wa mataifa.
3 Wala sepabhabhe namakhosi nantele. Itengo elyeshimwene elya Ngolobhe nelya Mwana Ngole libhabhe mhati eyemenze na asontozo bhakwe bhabhasontezewe.
Katika mji huo hakutakuwa tena na laana, bali kiti cha enzi cha Mungu na cha Mwana-Kondoo kitakuwamo humo na watumishi wake watamtumikia,
4 Bhayihulola pamaso na pa maso nanitawa lyakwe libhabhe pamwanya pamonji na maso gabho.
nao watamwona uso wake na Jina lake litakuwa kwenye vipaji vya nyuso zao.
5 Sepaibha nosiku nantele; wala sepaibha na amahitaji egemwanga owetaala olwenje isanya husababu ya Gosi Ongolobhe ailavya pamwanya yabho bhape bhaitawala hani hani. (aiōn )
Usiku hautakuwako tena, wala hawatahitaji mwanga wa taa au wa jua, kwa maana Bwana Mungu atakuwa nuru yao, nao watatawala milele na milele. (aiōn )
6 Ontumi wambozia, “Amazu ega gahwaminishe neloli. Ogosi Ongolobhe owe Mpepo ezia kuwa atumwilwe ontumi wakwe abhalanje asontezo bhakwe hahaibhoneha eshinanali.”
Kisha yule malaika akaniambia, “Maneno haya ni ya kuaminika na kweli. Bwana, Mungu wa roho za manabii, alimtuma malaika wake kuwaonyesha watumishi wake yale ambayo hayana budi kutukia upesi.”
7 “Enya! Ewenza nanali! Abalikiwe yagogopa amazu gakuwa oweshitabu eshi.”
“Tazama, naja upesi! Amebarikiwa yeye ayashikaye maneno ya unabii wa kitabu hiki.”
8 Awe, ne Yohana nengovwezye nagalolole amambo ega nehagovwa na galolele, nagwiye pansi nene pitagalila pamanama aga ntumi ahupute, ontumi yandanjile amambo ega.
Mimi, Yohana, ndiye niliyesikia na kuyaona mambo haya. Nami nilipokwisha kuyasikia na kuyaona, nilianguka chini nikasujudu miguuni pa yule malaika aliyekuwa akinionyesha mambo hayo.
9 Wambozia, “Osabhombe esho! Nane endisontezo nashi awe pandwemo na aholo bhahho asontezo, pandwemo nabhawogopa amazu ega egeshitabu eshi. Putaji Ongolobhe!”
Lakini yeye akaniambia, “Usifanye hivyo! Mimi ni mtumishi pamoja nawe na ndugu zako manabii na wote wanaoyashika maneno ya kitabu hiki. Msujudie Mungu!”
10 Osaga, “Khome omhuri amazu agakuwa weshitabu eshi, maana ewakati upalamie.
Kisha akaniambia, “Usiyafunge maneno ya unabii yaliyomo katika kitabu hiki, kwa sababu wakati umekaribia.
11 Yashele sewe haki, ayedelelaje abhesewe haki. Yashele chafu eshe madili, na ayendelelaje abhechafu eshe madili. Owe haki. Ayendelele abhe haki yali takatifu, ayendelele abhe takatifu.”
Atendaye mabaya na aendelee kutenda mabaya, aliye mchafu na aendelee kuwa mchafu, yeye atendaye haki na aendelee kutenda haki, na yeye aliye mtakatifu na aendelee kuwa mtakatifu.”
12 “Enya! Ewenza nanali. Ne mposhezo zyane zilipandwemo nane, ahuposhezye shila omo alengane ne mbombo ya bhombile.
“Tazama, naja upesi! Thawabu yangu i mkononi mwangu, nami nitampa kila mtu sawasawa na alivyotenda.
13 Ane endi Alfa na Omega, wa Hwande na wa Malishilo, Wawande na Wamalishilo.
Mimi ni Alfa na Omega, wa Kwanza na wa Mwisho, Mwanzo na Mwisho.
14 Bhabalikiwe bhala bhabhawoziwa amenda gabho aje bhapate ehaki eyalye afume hwikwi elye womi nahwinjile hwiboma ashilile humandyango.
“Wamebarikiwa wale wafuao mavazi yao, ili wapate haki ya kuuendea huo mti wa uzima na kuuingia huo mji kupitia kwenye malango yake.
15 Hwonze huli embwa, abhitenga, amalaya, bhabhagoga, bhabhaputa esanamu, shila yagana nayashudila eshahidi owilenka.
Huko nje wako mbwa, wachawi, wazinzi, wauaji, waabudu sanamu, na kila mtu apendaye udanganyifu na kuufanya.
16 Ane, ne Yesu, etumile ontumi wane abhashudile ahusu amambo ega huu makanisa. Aneendi malaya humpapo ya Daudi, Entondwe eya Sapwiti yehwaha.”
“Mimi, Yesu, nimemtuma malaika wangu kushuhudia mambo haya kwa ajili ya makanisa. Mimi ndimi Shina na Mzao wa Daudi, ile Nyota ya Asubuhi ingʼaayo.”
17 Ompepo no bibi arusi ayanga, “Enzi!” Na omwene yatejelezyo ayanje, “Enzii!” Yayonti ya neshomela, na ayenze, yayonti yatiliha apate amenze ege womi wene.
Roho na bibi arusi wanasema, “Njoo!” Naye asikiaye na aseme, “Njoo!” Yeyote mwenye kiu na aje, na kila anayetaka na anywe maji ya uzima bure.
18 Ehusalifya shila mntu yahovwa amazu ya kuwa weshitabu eshi: Kama yeyote ataongeza katika hayo, Mungu atamuongezea mapigo yaliyoandikwa katika kitabu hiki.
Namwonya kila mtu asikiaye maneno ya unabii wa kitabu hiki: Mtu yeyote akiongeza humo chochote, Mungu atamwongezea mapigo yaliyoandikwa katika kitabu hiki.
19 Nkashele omntu yoyonte abhawefye amazu aga mshitabu eshi esha ukuwa, Ongolobhe ayefya esehemu yakwe mwikwi elya womi na hwiboma ilinza, lyashele enongwa zyakwe zisimbilwe mhati yeshitabu eshi.
Kama mtu yeyote akipunguza humo chochote katika maneno ya unabii wa kitabu hiki, Mungu atamwondolea sehemu yake katika ule mti wa uzima na katika ule mji mtakatifu, ambao habari zake zimeandikwa katika kitabu hiki.
20 Oyo yashuhudila amambo ega ayanga, “Ena! Ewenza nanali.” Ena! Enza, Ogosi oYesu!
Yeye anayeshuhudia mambo haya asema, “Hakika, naja upesi!” Amen. Njoo, Bwana Yesu.
21 Emposhelo ya Gosi oYesu ibhe na shila mntu lyoli. Amina.
Neema ya Bwana Yesu iwe na watakatifu wote. Amen.