< Mathayo 20 >

1 Hwa huje uumwene wa humwanya ulengene yalinugunda yadamuye ishandawe napwi, awale aweshe awawomba mbombo huugonda gwankwe lwa mizabibu.
Kwa maana ufalme wa mbinguni unafanana na mmliki wa shamba, aliyeamka asubuhi na mapema ili kuajiri wafanyakazi katika shamba lake la mizabibu.
2 Baada ya huentehana na awawomba mbombo dinari yeka hwisiku, ahawatuma awale hugonda gwankwe gwa mizabibu.
Baada ya kuwa amekubaliana na wafanyakazi dinari moja kwa kutwa, aliwatuma kwenda katika shamba lake la mizabibu.
3 Ahawalo antele lwagashila amasala gatatu eshi ahawalola awawomba mbombo awamwao wahahemeleye bila mbombo husokoni.
Alienda tena baada ya masaa matatu hivi na aliona wafanyakazi wengine wakiwa wamesimama bila kazi katika eneo la soko.
4 Awawozyo, 'Amwe walaji hugonda wa mizabibu, hahonti hahali sawa imbalahuwapele.' Newowahavyala awombe imbombo.
Akawaambia, 'Ninyi pia, nendeni katika shamba la mizabibu, na chochote kilicho halali nitawapa.' Hivyo wakaenda kufanya kazi.
5 Ahawala nantele lwagashila amasala sita ahawomba sheesho na masala tisa.
Akaenda tena baada ya masaa sita na tena katika saa ya tisa, na alifanya hivyo hivyo.
6 Ahawalilo awhamwao nantele mumasala gakumi na moja, akhawala ahawanga awantu awhamwao wemeleye bila mbombo. Ahawawozya, 'Shonu mwemeleye epa bila mbombo yuyonti husiku lyonti?
Mara nyingine tena mnamo saa kumi na moja, alienda na kuwakuta watu wengine wamesimama bila kazi. Aliwaambia, 'kwanini mmesimama hapa bila kazi yoyote kwa siku nzima?
7 Wahamuonzya aje numo umuntu wowonti yatipelile imbombo. Ahawawozya, 'Amwe namwe walanji hugonda ugwi mizabibu.'
Wakamwambia, kwasababu hakuna mtu yeyote aliyetuajiri. Akawaambia, 'Nanyi ninyi pia nendeni katika shamba la mizabibu.'
8 Amasala giliewela lwagaia, umwenesho gonda gwi mizabibu ahamozya umwemelizi wakwe, wakwunzye awawomba mbombo uwasombe umshahala, uyande uwa mwisho mpaka uwahwande.'
Wakati wa jioni ulipofika, mwenye shamba la mizabibu alimwambia msimamizi wake, 'Waite wafanyakazi na uwalipe mishahara, kwa kuanza na wa mwisho hadi wa kwanza.'
9 Lwawafiha wala wamasala ga kumi na moja, shilaweka ahaposheye idinari.
Walipokuja wale walioajiriwa saa kumi na moja, kila mmoja wao alipokea dinari.
10 Lwawafiha owawomba mbombo awagwande wahasewele aje wazaposheye dinari yeka kila muntu.
Walipokuja wafanyakazi wa kwanza, walifikiri kuwa watapokea zaidi, lakini walipokea pia kila mmoja dinari moja kila mtu.
11 Lwawaposhela amalipo gao, waha nalamishila umwenesho gonda.
Baada ya kupokea malipo yao, walimlalamikia mmiliki wa shamba.
12 Wahayanga, 'Ewa awawomba mbombo wa mwisho wejile isala lyenka wene kaliko awombe imbombo, lakini atifananisizye nate, ate linyumoye izigo hwisiku lyonti, nawine ni lyonto.'
Wakasema, 'Hawa wafanyakazi wa mwisho wametumia saa moja tu katika kufanya kazi, lakini umewalinganisha na sisi, sisi tumebeba mzigo kwa siku nzima na kuungua na joto.'
13 Eshi umwenesho goda ahajibu weka wao, 'Kundanu, sagaimbombile ijambo lwiwi. Je! sagalahentehene nane idinari yeka?
Lakini mwenye shamba akajibu na kusema kwa mmoja wao, 'Rafiki, sikutenda jambo baya. Je! hatukukubaliana na mimi kwa dinari moja?
14 Ega hahali haho halali sogolaga. Ane ishiye huwapele ewa awawomba mbombo wimbagwelezizye humwisho sawa sawa nawe.
Pokea kile kilicho halali yako na uende zako. Ni furaha yangu kuwapa hawa wafanyakazi walioajiriwa mwisho sawa sawa na wewe.
15 Je! Sagagolosu huliwe awombe shihwanza ni maliyane? Au ilisolyaho li wiwi aje ane indi minza?
Je! Si haki kwangu kufanya kile ninachotaka na mali zangu? Au jicho lako ni ovu kwa sababu mimi ni mwema?
16 Eshi uwamwisho anzawe wa hwande na uwahwande azawe wa humwisho.”
Hivyo wa mwisho atakuwa kwanza na wa kwanza wa mwisho''
17 U Yesu lwahazuwa awale Huyerusalemu, awawenjile awanafunzi wakwe kumi na wawele pambembe mwidala ahawawozya,
Yesu alipokuwa akipanda kwenda Yerusalem, aliwachukuwa wanafunzi wake kumi na mbili pembeni, na njiani akawaambia,
18 “Enyi tiwala Huyerusalemu, na umwana wa Adamu wanzahumeshe mnyowe inzya wagosi wa Amakuhani na awandisi. Wanzahunonje afye,
''Tazama tunaelekea Yerusalemu, na Mwana wa Adamu atatiwa katika mikono ya wakuu wa makuhani na waandishi. Watamhukumu kifo
19 wanzahufumye hwa wantu wa munsi na munsi ili wasonsye, washente, na hukhowehenye. Lakini isiku ilya tatu ahaizyoha.”
na watamtoa kwa watu wa mataifa ili kumdhihaki, kumchapa na kumsulibisha. Lakini katika siku ya tatu atafufuka.''
20 Eshi umanye wa wana wa Zebedayo ahezele hwa Yesu na wana wakwe. Ahasugamila amafugamo hwitangalila lyankwe ahanawa ahantu afume hwakwe.
Kisha mama wa wana wa Zebedayo alikuja kwa Yesu na wana wake. Alipiga magoti mbele yake na kumwomba kitu kutoka kwake.
21 U Yesu ahamozya, “Uhulanzashi?” Ahamozya, “Lajizwa aje ewa awana wane wawele wakhale, weka hukhono waho wa hunelo na weka hukhono waho wa humwongo huu umwene waho.”
Yesu akamwambia, “Unataka nini?” Akamwambia, ''Amuru kuwa hawa wanangu wawili wakae, mmoja mkono wako wa kulia na mmoja mkono wako wa kushoto katika ufalme wako.''
22 Walakini u Yesu ahayanga na humuozye, “Saga umenye ahantu hulawa. Je! Uwajie amwelele ishikombe shinza mwelele?” Wamuozya, “Tuwajie.”
Lakini Yesu akajibu na kusema, “Haujui kile unachoomba. Je! Unaweza kukinywea kikombe ambacho nitakinywea?” wakamwambia, “Tunaweza.”
23 Awawawuzya, “Ishikombe shane lioli munza mwelele. Lakini akhale ukhono gwane wahunelona ukhona gwane ugwa humongo, sanga mbombo yane huwapele, lakini Udada wane awaweshe wala yawamenye.”
Akawaambia, “Kikombe changu hakika mtakinywea. Lakini kukaa mkono wangu wa kulia na mkono wangu wa kushoto si jukumu langu kuwapa, lakini ni kwa wale ambao wamekwisha kuandaliwa na Baba yangu.”
24 Awanafunzi awamwawo kumi lwawovya esho, wahazungumila hani na wala awahola wawele.
Wanafunzi wengine kumi waliposikia hivyo, wakahuzunishwa sana na wale ndugu wawili.
25 Lakini u Yesu ahawakwizya wawewo ahawa wozya, “Mmenye aje awalawala wa munsi wahongofya na awagosi wao wawomba amamlaka ganu mwanya yao.
Lakini Yesu aliwaita mwenyewe na kuwaambia, “Mnafahamu ya kuwa watawala wa mataifa huwatiisha, na wakuu wao hutekeleza mamlaka juu yao.
26 Lakini isahawye esho humwenyu ishinyumw shakwe. Wowonti yahwazawe gosi hulimwe awe lazima amwe muwomba mbombo wenyu.
Lakini isiwe hivyo kwenu. Badala yake, yeyote atakayetaka kuwa mkubwa miongoni mwenu lazima awe mtumishi wenu.
27 Na yanzawe wa hwanda hulimwe amwe lazima awye muomba mbombo wenyu.
Na atakaye kuwa wa kwanza miongoni mwenu lazima awe mtumishi wenu.
28 Nanzi umwana wa Adamu sagaahezele awombelwe imbombo bali awombe imbombo hulimwe amwe, na afumye uwomi wakwe uwe ukombolewa huwinchi.”
Kama vile Mwana wa Adamu hakuja kutumikiwa, bali kutumika, na kutoa uhai wake kuwa ukombozi kwa wengi.”
29 Lwawahepanga Huyeriko, ikundi igosi lyahafuatile.
Wakati wakitoka Yeriko, umati mkubwa ulimfuata.
30 Wahawalolile wawabadiye amaso wawele wakheye mumbembe mubarabara. Lwawonvwa aje u Yesu wa shilaga, waha wajile ishogo na yanje, “Bwana mwana wa Daudi utusajile.”
Na waliwaona vipofu wawili wameketi kando ya barabara. Waliposikia kuwa Yesu alikuwa anapita, walipaza sauti na kusema, “Bwana, Mwana wa Daudi, utuhurumie.”
31 Lakini ikundi lyahawadamie na huwawozye wapume niyie. Hatesho awene wahabwajile ishongo, hani nayanje, “Bwana, mwana wa Daudi, utusanjile.”
Lakini umati ukawakemea, na kuwaambia nyamazeni. Hata hivyo, wao wakapaza sauti zaidi na kusema, “Bwana, Mwana wa Daudi, utuhurumie.”
32 Epo u Yesu akhemelela na huwakwinzye na huwawuzye, “Mhwanza aje imbawombele iyenu?”
Kisha Yesu alisimama na aliwaita na kuwauliza, “Mnataka niwafanyie nini?”
33 Wahayanga, “Bwana amaso gentu gafumbulilwe.”
Wakamwambia, “Bwana kwamba macho yetu yafumbuliwe.”
34 Epo u Yesu avutwa awasajila, wapalamasya amaso gao, waposhela pepo ingovu ya lole wahafyenta.
Basi Yesu, akiwa amevutwa na huruma, akayagusa macho yao, mara hiyo, wakapokea uwezo wa kuona na wakamfuata.

< Mathayo 20 >