< Bhaebrania 11 >

1 Ulyeteho ni lioli yalinayo umntu lwagolela ahantu ahamo hudandamazu. Ahantu hasanga haoneshe awe uyinga lioli.
Basi imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo, na udhahiri wa mambo yasiyoonekana.
2 Nantele awababu wetu waheteshe kwa lweteho lwao.
Maana baba zetu wa kale walipongezwa kwa haya.
3 Kwa lweteho timenye aje munsi wahawombwelwe hundajizwa zya Ngolobhe, aje hala hahawoneha sagahahagombwilwe afume huvintu vivioneha. (aiōn g165)
Kwa imani tunafahamu kwamba ulimwengu uliumbwa kwa neno la Mungu, vitu vyote vinavyoonekana havikuumbwa kutoka kwa vitu vinavyoonekana. (aiōn g165)
4 Ihali kwa lweteho lwa Habili ahafumizizye Ungolobhe isadaka inyinza hushile u Kaini. Husababu eyo ahasombwelwe aje alinuugolosu. Ungolobhe ahasombele. Huje ahaletile izawadi, U Habili ayanga hata nkafyiye.
Kwa imani Abeli alimtolea Mungu dhabihu bora zaidi kuliko Kaini. Kwa imani alishuhudiwa kuwa mwenye haki, Mungu mwenyewe akazishuhudia sadaka zake. Kwa imani bado ananena ingawa amekufa.
5 U Henoko ahali nulweteho ahengwilwe humwanya sagaahalolile ufye. “Sagaahawoneshe, kwa vile ilinenwa juu yake kuwa alimpendeza Ungolobhe ahamwenjile” humwanya.
Kwa imani Enoki alitwaliwa kutoka maisha haya, kiasi kwamba hakuonja mauti. Hakuonekana, kwa sababu Mungu alikuwa amemchukua. Kwa kuwa kabla hajatwaliwa alikuwa ameshuhudiwa kuwa ni mtu aliyempendeza Mungu.
6 Bila lweteho sagauwajie hugwezye Ungolobhe, yawala hwa Ngolobhe ahnaziwa awe nulweteho aje Ungolobhe. Akhala naje ahuwapela izawadi wala wawahumwanzo.
Lakini pasipo imani haiwezekani kumpendeza Mungu, kwa maana yeyote anayemjia Mungu lazima aamini kwamba yeye yuko na ya kuwa huwapa thawabu wale wamtafutao kwa bidii.
7 Ihali hulweteho aje uNuhu, ahasundilwe nu Ngolobhe humambo gasaga gahaoneshe, ishishi ya Ngolobhe ihagombile. Mbongoso yahukombole ikhaya yakwe. Ahawombile esho ahalonjile munsi, ahawa mlithi wa lioli eyo ihezele ashilile ulweteho.
Kwa imani, Noa alipoonywa na Mungu kuhusu mambo ambayo hayajaonekana bado, kwa kumcha Mungu alitengeneza safina ili kuokoa jamaa yake. Kwa imani yake aliuhukumu ulimwengu na akawa mrithi wa haki ipatikanayo kwa imani.
8 Ihali lweteho aje u Abrahimu, alipoitwa alitii na kwenda mahali ambapo alipaswa kupokea kama lwahakwiziwe aheteshe ahawalile ahaposhe ulithi ahasongoe bila amanye aje awala hwii.
Kwa imani Abrahamu, alipoitwa aende mahali ambapo Mungu angempa baadaye kuwa urithi, alitii na akaenda, ingawa hakujua anakokwenda.
9 Ihali lweteho ahiishi hunsi aje jenu. Ahakheye hu mahema peka nu Isaka nu Yakobo, walithi awamwao wa ndagano yiyile.
Kwa imani alifanya maskani yake katika nchi ya ahadi kama mgeni katika nchi ya kigeni; aliishi katika mahema, kama Isaki na Yakobo walivyofanya, waliokuwa pia warithi pamoja naye wa ahadi ile ile.
10 Huje ahasowenye ahwenje umji wapime na wazenje yu Ngolobhe yuyo.
Kwa maana alikuwa akiutazamia mji wenye misingi ya kudumu ambao mwenye kuubuni na kuujenga ni Mungu.
11 Ihali lweteho aje Ibrahimu, nu Sala yuyo wahaposheye ingovu zya amyemye ulwanda lakini wahali wagogolo hani wahombile Ungolowe aje golosu. Ahawasowezezye umwana wishilume.
Kwa imani Abrahamu, ingawa alikuwa mzee wa umri, naye Sara mwenyewe aliyekuwa tasa, alipokea uwezo wa kuwa baba kwa sababu alimhesabu Mungu aliyemwahidi kuwa mwaminifu na kwamba angetimiza ahadi yake.
12 Huje afume hwamuntu oyo weka yahakaribiye afye wahapapwa awana wasagawazye. Wahali wichi nazi inzota zya humwanya na msanga wa hu bahari.
Hivyo kutokana na huyu huyu ambaye alikuwa sawa na mfu, wakazaliwa wazao wengi kama nyota za mbinguni na kama mchanga wa pwani usiohesabika.
13 Ewe wonti wahafyiye nu lwetiko sagawahaposhea ulusuwelo. Ila wahalolile wahakalibisizye hwahutali waheteshe aje wahali wajenu aje washila shila munsi yao wewo.
Watu hawa wote wakafa katika imani bila kuzipokea zile ahadi, lakini waliziona kwa mbali na kuzishangilia. Nao walikubali kwamba walikuwa wageni na wasiokuwa na maskani hapa duniani.
14 Wala wawayanganga amambo nazi engo awashe wahuanza insi yao wewo.
Watu wasemao mambo kama haya, wanaonyesha wazi kwamba wanatafuta nchi yao wenyewe.
15 Lioli nkawasewenga insi yawahafumile indi walininafasi ya wele, wangelikuwa na nafasi ya kurejea.
Kwa kweli kama wangekuwa wanafikiri kuhusu nchi waliyoiacha, wangalipata nafasi ya kurudi huko.
16 Eshi shileho wanyonywa insi yilishinza ya humwanya. Eshi Ungolobhe sangaalola isoni akwiziwe Ngolobhi wao yuyo agombile umji khaajili yao.
Lakini badala yake walitamani nchi iliyo bora zaidi, yaani nchi ya mbinguni. Kwa hiyo Mungu haoni aibu kuitwa Mungu wao, kwa kuwa amekwisha kuandaa mji kwa ajili yao.
17 Ihali ilweteho u Abrahamu ahapata ingelo, ahafumya u Isaka. Umwene ahapashela ulusuwelo husheshelo, ahafumizye umwana wakwe weka,
Kwa imani Abrahamu, alipojaribiwa na Mungu, alimtoa Isaki kuwa dhabihu. Yeye aliyekuwa amezipokea ahadi za Mungu alikuwa tayari kumtoa mwanawe, aliyekuwa mwanawe pekee awe dhabihu.
18 yuyuyo ahayangwile, “Afume hwa Isaka ishikholoshakwe azakwiziwe.”
Ingawa Mungu alikuwa amemwambia Abrahamu, “Uzao wako utahesabiwa kupitia kwa Isaki,”
19 U Ablaimu ahamenye aje Ungolobhe ahali ni ngovu wa huzyosye u Isaka afume hufyiye, ahayanjile hukabila ya shitenda wili ahaposheye.
Abrahamu alihesabu kuwa Mungu angaliweza kumfufua Isaki kutoka kwa wafu. Na kwa kusema kwa mfano, alimpata tena Isaki kutoka kwa wafu.
20 Ihali lweteho aje u Isaka ahasaile uYakobo nu Esau ahusu amambo gagahuenza.
Kwa imani Isaki alimbariki Yakobo na Esau kuhusu maisha yao ya baadaye.
21 Ihali lweteho aje uYakobo lwahali lwahali karibu afye ahasaile awana wa Yusufu wekaweka. U Yakobo ahaputile ahategemee humwanya yi ndesa yakwe.
Kwa imani Yakobo alipokuwa anakufa, alimbariki kila mmoja wa mtoto wa Yosefu, akamwabudu Mungu akiwa ameegemea juu ya kichwa cha fimbo yake.
22 Ihali lweteho aje u Yusufu uwakati wakwe wa malishe lwahakalibia ahayenje aje afume hwawana wa Israeli huMisri ahawalajizya ahweje peka amafupa gakwe,
Kwa imani, Yosefu alipokaribia mwisho wa maisha yake, alinena habari za kutoka kwa wana wa Israeli huko Misri na akatoa maagizo kuhusu mifupa yake.
23 Ihali lweteho aje uMusa iwahapapwilwe wahafisile amezi gatatu na awazazi wakwe wahanolile aje mwana usanga ya hali mwinza, sagawaahongope indajizwo izwa mwene.
Kwa imani, wazazi wa Mose walimficha kwa miezi mitatu baada ya kuzaliwa, kwa sababu waliona kuwa si mtoto wa kawaida, wala hawakuiogopa amri ya mfalme.
24 Ihali lweteho aje uMusa lwahali muntu ugosi ahakhanile akwiziwe mwana wa nendi wa Farao.
Kwa imani, Mose alipokuwa mtu mzima, alikataa kuitwa mwana wa binti Farao.
25 Pamande ahasaluye ahale na malawa peka na wantu wa Ngolobhe saga ahasungwenzye ianasa imbiwi izya papepe.
Akachagua kupata mateso pamoja na watu wa Mungu kuliko kujifurahisha kwa anasa za dhambi kwa kitambo kidogo tu.
26 Ahasewele isoni ya hufuante uKristi aje uutajili ugosi kuliko imali ya Mmisri ahakazile amaso ahunye izawadi husiku zizihwenza.
Aliona kushutumiwa kwa ajili ya Kristo ni utajiri mkubwa zaidi kuliko hazina za Misri, maana alikuwa anatazamia kupata thawabu baadaye.
27 Ihali lweteho aje uMusa ahahepile huMisri. Sagaahogope ilioyo lya mwene, ahuenye gasanga gawoneha.
Kwa imani Mose aliondoka Misri bila kuogopa ghadhabu ya mfalme. Alivumilia kwa sababu alimwona yeye asiyeonekana kwa macho.
28 Ihali lweteho aje ahaikhente ipasaka na atonyelezwe idada, aje umiwi yananganya awawapapwe awahwande awashilume apotwe huwa khante, awaIsraeli.
Kwa imani akaadhimisha Pasaka na kunyunyiza damu, ili yule mwenye kuwaangamiza wazaliwa wa kwanza asiwaguse wazaliwa wa Israeli.
29 Ihali lweteho aje wahashilile pahati yi isumbi ya shamu aje mahali pumu. Awamisri lwawahajezya ashile wahamililwe.
Kwa imani, watu walivuka Bahari ya Shamu kama vile juu ya nchi kavu; lakini Wamisri walipojaribu kufanya hivyo, walitoswa ndani ya maji.
30 Ihali lwetiho aje uluwumba wa Yeriko wahagwiye pasi, wahazwongolile isiku saba.
Kwa imani kuta za Yeriko zilianguka, baada ya watu kuzizunguka kwa siku saba.
31 Ihali lweteho aje u Rahabu ula umalaya sanga ahangamie peka na wala wasanga wahali wagolosu, ahawaopesheye wawahezele ahwenyelezye ahawa wehsele pinza,
Kwa imani, Rahabu, yule kahaba, hakuangamizwa pamoja na wale waliomwasi Mungu, kwa kuwa aliwakaribisha wale wapelelezi.
32 Injanje zwoni hani? Amasala sanga gakwela ayanje u Gidioni, u Barak, u Samsoni, u Yeftha, u Daudi, u Samweli na awakuwa,
Basi niseme nini zaidi? Sina wakati wa kusema habari za Gideoni, Baraka, Samsoni, Yeftha, Daudi, Samweli na manabii,
33 aje ashilile ulweteho wahazimenile umwene wahawombile ihaki na wahaposheye ulusuwelo, wahazinjile amalomu gihanu,
ambao kwa imani walishinda milki za wafalme, walitekeleza haki, na wakapokea ahadi za Mungu; walifunga vinywa vya simba,
34 wahazimile ingovu zwonti zi moto wahaponjele uwonji wipanga wahapona afume hu mpungo, wahali wadandamazu iwho wahezele awalogo awajenu wahashembeye.
wakazima makali ya miali ya moto, na wakaepuka kuuawa kwa upanga; udhaifu wao uligeuka kuwa nguvu; pia walikuwa hodari vitani na kuyafukuza majeshi ya wageni.
35 Awashe wahaposhe awafyewao hwidala la ufufulwe. Awamo wahalawile, saga waheteshe aleshwe shinza aje wawaje uzyoswo amwinza hani.
Wanawake walipokea watu wao waliokuwa wamekufa, wakafufuliwa. Lakini wengine waliteswa, nao wakakataa kufunguliwa, ili wapate ufufuo ulio bora zaidi.
36 Awamo wahalawile, wahasoshele, wahashetwilwe, nantele wahapinywilwe mwijela.
Wengine walidhihakiwa na kupigwa, hata walifungwa minyororo na kutiwa gerezani.
37 Wahakhomilwa amawe. Wahawolilwe. Mentu mentu. Wahabudilwe nu panga. Wahajendanga namakwembe gingole na makwembe gi mbuzi ewo wahazanga, wahawalanga shawavyaleye wahawombwelwanga amawiwi
Walipigwa kwa mawe; walipasuliwa vipande viwili kwa msumeno; waliuawa kwa upanga. Walizungukazunguka wakiwa wamevaa ngozi za kondoo na mbuzi, wakiwa maskini, wakiteswa na kutendwa mabaya,
38 (ewo munsi sagabhahazwanga awe nao), wahaziongolaga ziongolanga mwihombe, mwigamba, magwenya, mmagondi igamusni.
watu ambao ulimwengu haukustahili kuwa nao. Walizunguka majangwani na milimani, katika mapango na katika mahandaki ardhini.
39 Lelo awantu wonti ewo Ungolobhe ahawenteshe wahali nulweteho, sagawahaposheye indangano.
Hawa wote walishuhudiwa vyema kwa sababu ya imani yao, lakini hakuna hata mmoja wao aliyepokea yale yaliyoahidiwa.
40 Ungolobhe ahalongeye hutupele ahantu ahiza, aje bilaante sangawawajie.
Kwa kuwa Mungu alikuwa ametangulia kutuwekea kitu kilicho bora zaidi ili wao wasikamilishwe pasipo sisi.

< Bhaebrania 11 >