< 1 Abhakorintho 5 >

1 Tumvyezye inongwa aje muwamo mli wa malaya, mlinumalanya wasanga uleho hata huwantu wa Munsi. Tumvyozye aje umo agona nushi wa udaada wakwe.
Tumesikia taarifa kuwa kuna zinaa miongoni mwenu, aina ya zinaa ambayo haipo hata katikati ya watu wa Mataifa. Tuna taarifa kwamba mmoja wenu analala na mke wa baba yake.
2 Namwe mhuitutumla! Badala ya zungumile? Ola yawombile esho ahwanziwa mumwefye awe mwene.
Nanyi mwajisifu! Badala ya kuhuzunika? Yule aliyefanya hivyo anapaswa kuondolewa miongoni mwenu.
3 Sangatipeka ishibile ishimpepo tilipeka inonjile umwene yawombile isho, aje nahali namwe.
Ingawa sipo pamoja nanyi kimwili lakini nipo nanyi kiroho, nimekwisha mhukumu yeye aliyefanya hivi, kama vile nilikuwepo.
4 Lwamtangama peka hwitawa lya Bwana Yesu nu Umpepo wane ileho epa ingobu izya Bwana Yesu, inonjile umtu oyo.
Mnapokutanika pamoja katika jina la Bwana wetu Yesu, na roho yangu ipo pale kama kwa nguvu za Bwana wetu Yesu, nimekwisha mhukumu mtu huyu.
5 Umuntu uyo itwaliye usietano aje ubele gwakwe unanjishe, impepo yakwe iyokolewe isiku ilya Bwana.
Nimekwisha kumkabidhi mtu huyu kwa Shetani ili kwamba mwili wake uharibiwe, ili roho yake iweze kuokolewa katika siku ya Bwana.
6 Amampoli genyu sagahantu hinza. Sagammenye intavu ndondo inanganya idonge lionti?
Majivuno yenu si kitu kizuri. Hamjui chachu kidogo huharibu donge zima?
7 Myonzyaje mwemwe muwene intavu inzimande, aje muvye donge lipya aje muwe lindazi lisagalisapile hua Kristi, Umwana Ngole wetu ishikulukulu awolilwe.
Jisafisheni ninyi wenyewe chachu ya kale, ili kwamba muwe donge jipya, ili kwamba mwe mkate usiochachuliwa. Kwa kuwa, Kristo, Mwana Kondoo wetu wa pasaka amekwisha kuchinjwa.
8 Huje twangaje ishikulukulu sagohuutavu imande, intavu imbiwi, ate tishanje ni indazi lisanga liweshelwa intavu wa ishishi ya nalioli.
Kwa hiyo tusherekee karamu si kwa chachu ya kale, chachu ya tabia mbaya na uovu. Badala yake, tusherekee na mkate usiotiwa chachu wa unyenyekevu na kweli.
9 Nahandishi ikalata yane aje msahasangane na amamalaya.
Niliandika katika barua yangu kuwa msichangamane na wazinzi.
10 Sagaiyanga aje awamalaya wa Munsi umo msahakhale nao munsi wawahopa, wawaputa uzimu, indi mwepile munsi.
Sina maana wazinzi wa dunia hii, au na wenye tamaa au wanyang'anyi au waabudu sanamu kwa kukaa mbali nao, basi ingewapasa mtoke duniani.
11 Ane ihumbasimbila aje msahasangane na wawonti ya kwiziwa sahala nendu hwa Yesu alafu malaya yanyonywa, yahopa yaputa uzimu yalinga yaholwa, hatashale msahalye nao umuntu yalio esho.
Lakini sasa nawaandikia kutojichanganya na yeyote anayeitwa kaka au dada katika Kristo, lakini anaishi katika uzinzi au ambaye ni mwenye kutamani, au mnyang'anyi, au mwabudu sanamu, au mtukanaji au mlevi. Wala msile naye mtu wa namna ile.
12 Inzahuwalonje wele wawali honzi yishwanza? Amwe sangamhuwalonga wawali msihi wanza?
Kwa hiyo nitajihusishaje kuwahukumu walio nje ya Kanisa? Badala yake, ninyi hamkuwahukumu walio ndani ya kanisa?
13 Eshi Ungolobhe ahuwalonga wawali honze. “Mwefyanji umntu umiwi yali humwenyu”
Lakini Mungu anawahukumu walio nje. “Mwondoeni mtu mwovu miongoni mwenu”

< 1 Abhakorintho 5 >