< Mathayo 11 >

1 Baada ya Yesu yomwa kwaeleza anapunzi bake komi ni ibele atibuka pae yopundisha ni hubiri munuji yabe.
Ikawa baada ya Yesu kumaliza kuwaelekeza wanafunzi wake kumi na wawili aliondoka plae kwenda kufundisha na kuhubiri katika miji yao,
2 Ni Yohana atabilwe payowine mwapangage Kristo, atumite banapunzi bake,
na Yohana akiwa gereszani aliposikia akiwa juu ya matendo ya Kristo, alituma ujumbe kupitia wanafunzi wake,
3 Bakannokiya, “Wenga nga ywaapala icha, au kwi ni ywenge ywatunnenda?”
na wakamuuliza, “Wewe ni yule ajaye, au kuna mwingine tunapaswa kumtazamia?”
4 Yesu kaayagwa ni kukoya, “Muyende kum'bakiya Yohana gamgabona ni galo gamugayowa.
Yesu akajibu na kusema kwao “Nendeni mkamtaarifu Yohana yale mnayoyaona na yale mnayoyasikia.
5 Ipofu bandalola, iwete banda yenda, akoma banda pona, babakotokage yowa benda yowa kae, bandu babawile benda yoka kae, ni anyonge bahubiyilwe likowe linanoga.
Watu wasioona wanapata kuona, viwete wanatembea, wakoma wanatakaswa, watu wasiosikia wanasikia tena, watu waliokufa wanafufuliwa kupata uhai, na watu wahitaji wanahubiriwa habari njema.
6 Ni abarikiwa ywa kotoka kuniboniya masaka.
Na amebarikiwa yule asiyeona shaka juu yangu.
7 Ni bandu pababoi, Yesu ngatumbwa longela ni bandu kuhusu Yohana, “Kinamani chamwaiyei kukilinga kupongote mbonga ya yalendemiye linyei?
Pindi watu hawa walipoondoka, Yesu alianza kusema na umati juu ya Yohana, “Ni nini mlikwenda kuona katika jangwa tete likitikiswa na upepo?
8 Lakini kinamani mwauei kukibona mundu ywaweti mangobo laini? Kwakweli, balo babawala ngobo laini batama munyumba, ni zaidi ya nabii.
Lakini nini mlikwenda kuona mtu aliyevaa mavazi mololo? Hakika, wale wavaao mavazi mololo hukaa katika nyumba za wafalme.
9 Lakini mwatiboka lolekeya namani nabii? nga nyo nendakuwamakiya, na zaidi ya nabii.
Lakini mliondoka kuona nini-Nabii? Ndiyo, nawaambia, na zaidi ya Nabii.
10 Ayoo nga yolo ywaandikilwe, linga nitume talisi wango nnonge ya kuminyo yako, ywembe ngalima ndela yake.
Huyu ndiye aliyeandikiwa, 'Tazama, namtuma mjumbe wangu mbele ya uso wako, ambaye ataandaa njia yako mbele yako.
11 Nenga niakokiya ukweli, kati ya bababelekwi ni nwawa btopo ywabile nkoto kuliko Yohana Mbatizaji. Lakini ywembe nchini mu utawala wa kumaunde nga nkolo kuliko ywembe.
Mimi nawaambia kweli, kati ya waliozaliwa na wanawake hakuna aliye mkuu kuliko Yohana Mbatizaji. Lakini aliye mdogo katika ufalme wa mbinguni ni mkubwa kuliko yeye.
12 Buka masoba ga Yohana mbatizaji mpaka leno utawala wa kumaunde upatikana kwa ngupu ni bandu babile ni ngupu, batola kwa ngupu.
Toka siku za Yohana Mbatizaji mpaka sasa, ufalme wa Mbinguni ni wa nguvu, na watu wenye nguvu, huuchukua kwa nguvu.
13 Kwa mwanja manabii ni saliya, batitabiri mpaka wakati wa Yohana.
Kwa kuwa manabii na sheria, ikamelcuwa wakitabiri mpaka kwa Yohana.
14 Ni mana itei mpala yeketya, yembe nga Eliya ywa palaisa.
Na kamamko tayari kukubali, huyu ni Eliya, yule ajaye.
15 ywa abi ni makutu gayowa na ayowe.
Aliye na masikio ya kusikia na asikie.
16 Nikilinganishe ni namani kibeleki cheno? mfano wa bana babang'anda sokoni, babatama na kemelyana.
Nikilinganishe na nini kizazi hiki? Ni mfano wa watoto wanaocheza maeneo ya sokoni, wanaokaa na kuitana
17 Ni kukoya, 'Twakombwi zomarimwainike kwaa, Twatilombola, mwaleikwaa.'
na kusema, 'Tuliwapigia zomari na hamkucheza. Tuliomboleza, na hamukulia.'
18 Maana Yohana atiicha bila lya nkate wala nywaa divai, ni mubayage,'Aii na nchela.'
Kwa kuwa Yohana alikuja bila kula mkate au kunywa mvinyo, na wakawa wanasema, 'Ana pepo.'
19 Mwana wa Adamu atiisa kalya no ywaa na mumaya ni kumila na nepi, mbwiga labe akusanga ushuru na bene sambii, lakini hekima itanganikwa kwa matendo gake.”
Mwana wa Adamu alikuja akila na kunywa na wakasema 'Angalia, ni mtu mlaji na mlevi, rafiki wa watoza ushuru na wenye dhambi!' Lakini hekima inadhihirishwa kwa matendo yake.''
20 Yesu atumbwi kuakalipiya miji yayabile miyendo yake michapu, mana babile bado tubu.
Yesu alianza kuikemea miji ambamo baadhi ya matendo yake ya ajabu yalitendeka, kwa sababu walikuwa hawajatubu,
21 Ole wako, Kolazini, Ole wake Bethesaida kati matendo makolo gakapangika Tiro i Sidoni galo gagapangike pano, bapale tubu zamani kwo wala mabuniya na pakala lingu.
Ole wako, Kolazini, Ole wako Bethsaida! Kama matendo makuu yangetendeka Tiro na Sidoni yale yaliyotendeka hapa, wangekuwa wametubu zamani kwa kuvaa magunia na kujipaka majivu.
22 Lakini kwaloba bana pumulia Tiro na Sidoni masoba gahukumu kuliko kasabe.
Lakini itakuwa uvumilivu kwa Tiro na Sidoni siku ya hukumu kuliko kwako.
23 Wenga Kapernaum, ukita tondobelwa mpaka kumaunde? Ntopo walowa ulujilwa mpaka pai kuzimu. Kati kwa Sodoma kulwe pangika makowe makolo, kati mwagapangilwe kachabe, ilwepanga mpaka leno. (Hadēs g86)
Wewe, Kapernaum, unadhani utainuliwa hadi mbinguni? Hapana utashushwa hadi chini kuzimu. Kama kwa Sodoma kungefanyika matendo makuu, kama yalifanyika kwako, ingekuwepo hadi leo. (Hadēs g86)
24 Ila nibaya, kachako yalowa baa rahisi kwa nnema wa Sodoma pumulia lisoba lya hukumu kuliko wenga.
Bali nasema kwako kwamba itakuwa rahisi kwa nchi ya Sodoma kusimama siku ya hukumu kuliko wewe.
25 Muda woo yesu atibaya, nenda kulumba, mwenga mwa Tate, Ngwana wa kumaunde ni nnema, kwa mwanja waijite makowe gaa bene hekima na akili, na kwayogolya bange lunda, kati bana achunu.
Katika muda huo Yesu alisema, “Nakusifu wewe, Baba, Bwana wa Mbingu na Nchi, kwa sababu uliwaficha mambo haya wenye hekima na ufahamu, na kuyafunua kwa wasio na elimu, kama watoto wadogo.
26 Tate kwa kuwa mwapendesilwe nyoo pa minyo yinu.
Baba kwa kuwa ilikupendeza hivyo machoni pako.
27 Makowe goti galekilwe kachango buka kwa Tate. Nantopo ywantangite mwana ila Tate, na ntopo ywantangite Tate ila mwana na ywoywoti ywampendi mwana kunnagilya.
Mambo yote yamekabidhiwa kwangu kutoka kwa Baba. Na hakuna amjuaye Mwana isipokuwa Baba, na hakuna amjuaye Baba isipokuwa Mwana, na yeyote ambaye Mwana ana hamu ya kumfunulia.
28 Muiche kwango, mwenga mwa boti mwamuangaika na mwamulemewa na igombo inatopa, ni nenga nipala mpomoli.
Njoni kwangu, nyinyi nyote mnaosumbuka na mnaolemewa na mzigo mzito, nami nitawapumzisha.
29 Mube ni akili ni mwiyegane buka kachango, mana nibii ni lwongo na nampole wa mwoyo ni mwalowa pata pumulya na nafsi yinu.
Jitieni nira yangu na mjifunze kutoka kwangu, kwa kuwa mimi ni mnyenyekevu na mpole wa moyo na mtapata pumziko la nafsi zenu.
30 Kwa mana nila yango ibii laini ni igombo yango nj'oyou.
Kwa kuwa nira yangu ni laini na mzigo wangu ni mwepesi.

< Mathayo 11 >