< Marko 3 >

1 Ni iyeya ayingi nnyumba ya Lisinagogi ni omo abimundu abi Ni luboko lutombolwike.
Yesu akaingia tena ndani ya sinagogi, na huko palikuwa na mtu aliyepooza mkono.
2 Bandu benge baikabankota kwa karibu kulola atamponya lisiku ya sabato ili basitaki.
Wakawa wanamwangalia waone kama atamponya siku ya Sabato, ili wapate sababu ya kumshtaki.
3 yesu kankokeya mundu mwene luboko lutombolwike”kagatuka ni uyeme, kati yabandu bano.”
Yesu akamwambia yule mwenye mkono uliopooza, “Njoo hapa mbele ya watu wote.”
4 kisha kabakokeya bandu, “je ni halali kutwnda liyaulyo linoike lisiku ya sabato au kutenda yasio ya haki, kulopwa maisha gabandu au kubulaga? lakini batami poloi.
Kisha Yesu akawauliza, “Je, ni lipi lililo halali siku ya Sabato: Ni kutenda mema au kutenda mabaya? Ni kuokoa maisha au kuua?” Lakini wao wakanyamaza kimya.
5 kaabalola kwa hasira, kahuzunika mwalo wakunonopa iuba yabe, Ni kankokeya yeah mundu “Tondobeya luboko lwako.”katondobeya ni Yesu kaamponya luboko lwake.
Yesu akawatazama pande zote kwa hasira, akahuzunika sana kwa ajili ya ugumu wa mioyo yao. Akamwambia yule mtu mwenye mkono uliopooza, “Nyoosha mkono wako.” Akaunyoosha, nao ukaponywa kabisa!
6 Mafarisayo bayei panza kabatenda nzama Ni maherode dhidi yake ili bambulage.
Kisha Mafarisayo wakatoka nje, nao wakaanza kufanya shauri la kumuua Yesu wakiwa na Maherode.
7 Kisha Yesu, pamwepe ni benepunzi bake bayei baharini, ni bndu banyansima kabankota kabapeta Galilaya ni Uyahudi.
Yesu pamoja na wanafunzi wake wakaondoka huko wakaenda baharini, nao umati mkubwa wa watu kutoka Galilaya ukamfuata.
8 Ni kuoma Yeruselemu ni kuoma Idumaya ni kulonge ya Yorodani ni jirani ya Tiro na Sidoni, bandubanyansima, ya kuyowa eso akitei kila mundu aisi kwake.
Waliposikia mambo yote aliyokuwa akiyafanya, umati mkubwa wa watu ukamjia kutoka Uyahudi, Yerusalemu, Idumaya, na ngʼambo ya Yordani, pamoja na wale wa sehemu za karibu na Tiro na Sidoni.
9 Nakabankokeya benepunzi bake kuandaa ngalaba nzunu mwalo wake, mwalo was kipenga za bandu, kana baise kumpuma.
Kwa sababu ya umati mkubwa wa watu, aliwaambia wanafunzi wake waweke tayari mashua ndogo kwa ajili yake, ili kuwazuia watu kumsonga.
10 Kuba atekubalagwa bandubanyansima, lenga kilamundu jwabi Ni mateso abinishauku ya kuika palyo aabile ankamwe.
Kwa kuwa alikuwa amewaponya wagonjwa wengi, wale wenye magonjwa walikuwa wanasukumana ili wapate kumgusa.
11 Palyo roho achafu bambweni, baatombwike pae kulonge yake kaba lela ni kukoya “Wenga was mwana wa Nnongo.”
Kila mara pepo wachafu walipomwona, walianguka chini mbele yake na kupiga kelele wakisema, “Wewe ndiwe Mwana wa Mungu.”
12 Kabaaking'india kanabatende atanganike.
Lakini aliwaonya wasimseme yeye ni nani.
13 Aayei kunani ya kitombe, kabayenda kwake.
Yesu akapanda mlimani na kuwaita wale aliowataka, nao wakamjia.
14 Kabatalanganya komi ni ibile (kabaakema mitume), ili babe pamwepe ni awese kubatuma kuhubiri.
Akawachagua kumi na wawili, ambao aliwaita mitume, ili wapate kuwa pamoja naye, na awatume kwenda kuhubiri
15 Ni kuba ni mamlaka ya kupiya mahoka.
na kuwa na mamlaka ya kutoa pepo wachafu.
16 Na kaababagwa komi ni ibele: Simoni, kaampaya Lina lyango Petro,
Hawa ndio wale kumi na wawili aliowachagua: Simoni (ambaye alimwita Petro);
17 Yakobo mwana wa Zebedayo, ni Yohana nnunawake Yakobo, aampai lina lya Bonagesi, abo ni bana ba Ngurumo,
Yakobo mwana wa Zebedayo, na Yohana nduguye (ambao aliwaita Boanerge, maana yake Wana wa Ngurumo);
18 ni Andrea, Filipo, Bartholomayo, Mathayo, Tomaso, Yakobo mwana wa Alfayo, Thadayo, Simoni Mkananayo,
Andrea, Filipo, Bartholomayo, Mathayo, Tomaso, Yakobo mwana wa Alfayo, Thadayo, Simoni Mkananayo,
19 na Yuda Iskariote, ambaye aankana
na Yuda Iskariote aliyemsaliti Yesu.
20 Kisha ayei ukaya, ni bandu banyansima bayei pamwepe, hata balyo bawesa kwaa kulyaa mkate.
Kisha Yesu aliporudi nyumbani, umati wa watu ukakusanyika tena, kiasi kwamba yeye na wanafunzi wake hawakuweza kula chakula.
21 Alongo bake bayowine habari eyo, kabayenda kumboywa, kabakoya”agolwike malango.”
Ndugu zake walipopata habari wakaja ili kumchukua kwa maana watu walikuwa wakisema, “Amerukwa na akili.”
22 Aandishi baisi kuoma Yerusalemu kabakoya, “Amepagawa na Beelzebuli,” na, “kwa ntawala was nsela ampiye nsela.”
Walimu wa sheria walioteremka kutoka Yerusalemu walisema, “Amepagawa na Beelzebuli! Anatoa pepo wachafu kwa kutumia mkuu wa pepo wachafu!”
23 Yesu aakemike ukasake ni kulongela nabo kwa mifano, “ya nsela awesa kumpiya nsela?
Basi Yesu akawaita na kuzungumza nao kwa mifano akasema: “Shetani awezaje kumtoa Shetani?
24 Kama upwalume ubaganike wene, upwalme ogo uwesa kwaa kuyema.
Kama ufalme ukigawanyika dhidi yake wenyewe, ufalme huo hauwezi kusimama.
25 Mananyumba ibaganike yene, nyumba eyo iwesa kwaa kuyema.
Nayo nyumba kama ikigawanyika dhidi yake yenyewe, nyumba hiyo haiwezi kusimama.
26 Kati nsela akagatuka kiogo sake mwene ni kubaganika, awesa kwaa kuyema ni aba aike mwisho wake.
Naye Shetani kama akijipinga mwenyewe na awe amegawanyika, hawezi kusimama bali mwisho wake umewadia.
27 Lakini ntopo hata yumo awesa kuyingya nnyumba ya mundu mwene ngupu kuyiba ilebe yake bila ya kuntaba mwene ngupu wete, kisha kutola ilebe yote ya nnyumba.
Hakuna mtu yeyote awezaye kuingia kwenye nyumba ya mtu mwenye nguvu na kuteka nyara mali zake asipomfunga kwanza yule mwenye nguvu. Ndipo ataweza kuteka nyara mali zake.
28 kweli nando kuwakokeya, sambi sote za bana Baadam zitasamehewa, pamwepe nikufulueyo balongela.
Amin, nawaambia, dhambi zote na makufuru yote ya wanadamu watasamehewa.
29 Mundu yeyote ywa ankufuru Roho ntakatifu asamehewa kwa, bali abiniatia ya sambi za milele. (aiōn g165, aiōnios g166)
Lakini yeyote anayemkufuru Roho Mtakatifu hatasamehewa kamwe, atakuwa na hatia ya dhambi ya milele.” (aiōn g165, aiōnios g166)
30 Yesu akoiye yenu mwalo bayi kabalongela “abini Roho nchafu”
Yesu alisema hivi kwa sababu walikuwa wanasema, “Ana pepo mchafu.”
31 Kisha mao bake anuna bake baisi nikuyema panza, kabankokeya mundu ankeme.
Kisha wakaja ndugu zake Yesu pamoja na mama yake. Wakasimama nje, wakamtuma mtu kumwita.
32 Bandu banyansima bayii karibu yake batame kabankokeya “mao bako ni anuna bako babii panza, bakupala wenga”.
Umati wa watu ulikuwa umeketi kumzunguka, nao wakamwambia, “Mama yako na ndugu zako wako nje, wanakutafuta.”
33 Kaayangwa “nyai mao bango ni anuna bango?
Akawauliza, “Mama yangu na ndugu zangu ni nani?”
34 Kabaalola balio batami bantetelike, kakoya “lola bano ni mao bango ni anuna bango!
Kisha akawatazama wale watu waliokuwa wameketi kumzunguka pande zote, akasema, “Hawa ndio mama yangu na ndugu zangu.
35 Yeyote atenda mapenzi ya Nnongo, mundu woyo ni nlongo wango, nnombwango, ni mao bango.
Mtu yeyote anayetenda mapenzi ya Mungu, huyo ndiye ndugu yangu, na dada yangu na mama yangu.”

< Marko 3 >