< Yohana 3 >
1 Abile Farisayo ywakemilwe lina lyake Nikodemo, yumo ya ajumbe ba baraza lya Ayahudi.
Basi kulikuwa na Farisayo ambaye jina lake Nikodemo, mmoja wa wajumbe wa baraza la Wayahudi.
2 Mundu yoo atin'yendya Ngwana Yesu kilo ni kummakiya”Rabi, tutangite kuwa u mwalimu kuoma kwa Nnongo, kwa mana ntopo mundu ywaweza panga ishara zeno zoti abile pamope ni Nnongo.”
Mtu huyu alimwendea Bwana Yesu usiku na akamwambia, “Rabi, tunajua ya kuwa u mwalimu kutoka kwa Mungu, kwa maana hakuna mtu awezaye kutenda ishara hizi zote Mungu asipokuwa pamoja naye.”
3 Yesu kayangwa, “Amini, amini, mundu aweza kwaa jingya mu'upwalume wa Nnongo mana abelekwile kwaa mara ya ibele.”
Yesu akamjibu, “Amini, amini, mtu hawezi kuingia katika ufalme wa Mungu asipozaliwa mara ya pili.”
4 Nikodemo kabaya, “Mundu awesa kinamani belekwa muda abile mpindo? Aweza kwaa jingya mu'ndumbo lya mao bake mara ya na'ibele ni belekwa, je ywaweza?
Nikodemo akasema,” Mtu anawezaje kuzaliwa akiwa mzee? Hawezi kuingia tumboni mwa mama yake mara ya pili na kuzaliwa, je anaweza?”
5 Yesu kan'yangwa, “Amini amini mundu ywa abelekwile kwaa mu'mase ni kwa Roho, aweza kwaa jingya mu'upwalume wa Nnongo.
Yesu akajibu, “Amini, amini mtu sipozaliwa kwa maji na kwa Roho, hawezi kuingia katika ufalme wa Mungu.
6 Chabile belekwa ni yega nga yega, na chabelekwile ni Roho nga roho.
Kilichozaliwa kwa mwili ni mwili, na kilichozaliwa kwa Roho ni roho.
7 Kana ushangae kwa mana natikukumakiya,'lazima kubelekwa mara ya ibele.'
Usishangae kwa sababu nilikuwambia, 'ni lazima kuzaliwa mara ya pili.'
8 Mbepo ipuma popoti paupendile ni lilobe lyake mwaiyowa, lakini mtangite kwaa pa'ubokile wala kwouyenda. Nga ibile hali ya kila ywabelekwile ni Roho.
Upepo huvuma popote upendapo na sauti yake mwaisikia, lakini hamjui utokako wala uendako. Ndivyo ilivyo hali ya kila aliyezaliwa na roho.
9 Nikodemo kayangwa, no baya, “Makowe aga gapangika kinamani?
Nikodemo akajibu, kwa kusema, “Mambo haya yawezekanaje?”
10 Yesu kannyangwa, “Wenga wa mwalimu wa Israeli, hata ugatangite kwaa makowe aga?
Yesu akamjibu, “Wewe u mwalimu wa Israeli, hata hauyajui mambo haya?
11 Amini, amini nakumakiya, chelo tukiyowine twaishuhudia kwa chelo twakibweni. Lakini upokea kwaa ushuhuda witu.
Amini, amini, nakuambia, kile tunachokifahamu twakishuhudia kwa kile tulichokiona. Lakini hampokei ushuhuda wetu.
12 Kati niabakiye makowe ya pano pa'nnema ni mwamini kwaa, muwesa kinamani kuamini kati natikuabakiya makowe ga kumaunde?
Kama nimewambia mambo ya hapa duniani na hamuamini, mtawezaje kuamini kama nikiwambia mambo ya mbinguni?
13 Mana ntopo ywapanda nnani kuoma kumaunde ila ywembe ywauluka, mwana wa Adamu.
Maana hakuna aliyepanda juu kutoka mbinguni isipokuwa yeye aliyeshuka, Mwana wa Adamu.
14 Kati Musa mwaankakatuye nngambo mulijangwa, nyonyo Mwana wa Adamu lazima akakatuyilwe,
Kama vile Musa alivyomwinua nyoka jangwani, vivyo hivyo Mwana wa Adamu lazima ainuliwe,
15 ili bote balowa kumwamini bapate ukoti wangayomoka. (aiōnios )
ili kwamba wote watakaomwamini wapate uzima wa milele. (aiōnios )
16 Kwa mana nga namna yee Nnongo aipendile dunia, kam'boywa mwana wake wa pekee, ili mundu yeyoti ywamwamini kana aangamiye ila abe ni ukoti wangayomoka. (aiōnios )
Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, kwamba akamtoa mwanae wa pekee, ili kwamba mtu yeyote amwaminiye asiangamie bali awe na uzima wa milele. (aiōnios )
17 Kwa mana Nnongo amtumite kwaa mwana wake mu dunia ili kuihukumu dunia ila dunia ilopolewe pitya ywembe.
Kwa sababu Mungu hakumtuma mwanae duniani ili auhukumu ulimwengu, bali kwamba ulimwengu uokolewe katika yeye.
18 Ywamwamini ywembe alowa hukumilwa kwaa. Ywembe ywange mwamini tayari atihukumilwa kwa mana aliamini kwaa lina lya Mwana pekee ywa Nnongo.
Amwaminiye Yeye hatahukumiwa. Yeye asiyemwamini tayari ameshahukumiwa kwa sababu hajaliamini jina la Mwana pekee wa Mungu.
19 Ayee nga sababu ya hukumu, ya panga bweya uisile mu'ulimwengu, Lakini bandu kabapenda muno libendo kwa mana makowe gabe gabile mabou.
Hii ndiyo sababu ya hukumu, ya kwamba nuru imekuja ulimwenguni, lakini wanadamu wakapenda giza zaidi ya nuru kwa sababu matendo yao yalikuwa maovu.
20 kila mundu ywapanga mabou uitola bweya wala aisa kwaa mu'bweya ili makowe gake gabonekane kwaa.
kila mtu atendaye mabaya huichukia nuru wala haji nuruni ili matendo yake yasije yakawekwa wazi.
21 Lakini, ywembe ywapanga kweli uisa mu'bweya ili makowe gake gabonekane gapangilwe kwa eshima ya Nnongo.
Lakini, yeye atendaye kweli huja kwenye nuru ili matendo yake yaonekane kwamba yametendwa kwa utiifu wa Mungu.
22 Baada ya aga, Yesu pamope ni anapunzi bake batiyenda mu'nnema ya Yudea. Kolyo kabatumia muda pamope nabo ni abile atiabatiza.
Baada ya haya, Yesu pamoja na wanafunzi walienda katika nchi ya Yudea. Huko alitumia muda pamoja nao na alikuwa akibatiza.
23 Nambeambe Yohana abile atikwabatiza kolyo Ainea papipi ni Salim maana pabile ni mase ganansima palyo.
Sasa Yohana pia alikuwa akibatiza huko Ainea karibu na Salim maana kulikuwa na maji mengi pale. Watu walikuwa wakija kwake na kubatizwa,
24 Kwa mana Yohana abile atabilwe kwa muligereza.
kwa kuwa Yohana alikuwa hajatupwa gerezani.
25 Pabile papangilwe mabishano nkati ya anapunzi ba Yohana na Myahudi husu sikukuu ya utakaso.
Kisha palitokea mabishano kati ya wanafunzi wa Yohana na Myahudi kuhusu sikukuuu za utakaso.
26 Kabayenda kwa Yohana kabammakiya, “Rabi, ywembe waubile niywembe ng'ambo ya mto Yordani, ywembe ywashuhudia habari yake, linga, aabatiza ni bote bayenda kunkengama.”
Wakaenda kwa Yohana wakamwambia, “Rabi, yeye uliyekuwa naye ng'ambo ya Mto Yorodani, yeye uliyeshuhudia habari zake, tazama, anabatiza na wote wanaenda wanamfuata.”
27 Yohana kayangwa mundu aweza kwaa pokya kilebe chochote ila kati ywapeilwe kuoma kumaunde.
Yohana akajibu mtu hawezi kupokea kitu chochote isipokuwa kama amepewa kutoka mbinguni.
28 Mwenga mwabene mwatishuhudia kuwa nabayite kuwa,'nenga kwaa Kristo,'badala yake nabayite,'Nitumilwe nnonge yake.'
Ninyi wenyewe mwashuhudia kuwa nalisema kuwa, 'mimi sio Kristo', badala yake nilisema, 'nimetumwa mbele yake.'
29 Ywembe ywabile ni bibi arusi nga ngwana arusi. Nambeambe mbwiga wa ngwana arusi, ywayema ni kuyowa upulaiya muno kwa sababu ya lilobe lya ngwana arusi. Ayee nga puraha yango ya itimilike.
Yeye aliye na bibi arusi ni bwana harusi. Sasa rafiki wa bwana arusi, asimamaye na kusikiliza hufurahia sana kwa sababu ya sauti ya bwana arusi. Hii sasa ni furaha yangu iliyotimilika.
30 Apalikwa yongeya, ni nenga nipalikwa pongwa.
Anapaswa kuzidi, nami napaswa kupungua.
31 Ywembe ywaboka kunani, abile nnani ya yoti. Ywembe ywabile ba ulimwengu abaka mu'ulimwengu. Ywembe ywaboka kumaunde abile nnani ya goti.
Yeye atokaye juu, yu juu ya yote. Yeye aliye wa ulimwengu anatoka ulimwenguni na huongea mambo ya ki ulimwengu. Yeye atokaye mbinguni yuko juu ya yote.
32 Ywembe ushuhudia galo agabweni ni kugayowa, lakini ntopo ywapokya ushuhuda bake.
Yeye hushuhudia yale aliyoyaona na kuyasikia, lakini hakuna apokeaye ushuhuda wake.
33 Ywembe ywapokya ushuhuda bake atihakikisha kuwa Nnongo nga mkweli.
Yeye aliye pokea ushuhuda wake amehakikisha kuwa Mungu ni mkweli.
34 Kwa mana yolo ywatumilwe ni Nnongo ulongela maneno ga Nnongo. kwa mana ampeya kwaa mu'kipimo.
Kwa sababu yeye aliyetumwa na Mungu huongea maneno ya Mungu. Kwa kuwa hampi Roho kwa kipimo.
35 Tate umpenda mwana ni kumpeya ilebe yoti mumaboko gake.
Baba humpenda Mwana na amempa vitu vyote mikononi mwake.
36 Ywembe ywaaminiye mwana abile ni ukoti wanga yomoka, lakini kwa ywembe ywa mweshimu kwaa mwana aubweni kwaa ukoti, ila ghadhabu ya Nnongo ubile nnani yake. (aiōnios )
Yeye amwaminiye Mwana anao uzima wa milele, lakini kwa yeye asiye mtii Mwana hatauona uzima, bali ghadhabu ya Mungu hushikamana juu yake. (aiōnios )