< Yohana 14 >

1 Kana uuruhusu mwoyo wako kuwa mu'mahangaiko. Umwaminiya Nnongo niaminiye ni nenga.
“Usiruhusu moyo wako kuwa katika mahangaiko. Unamwamini Mungu niamini pia na mimi.
2 Mu'nyumba ya Tate bango kwabile na makazi ganansima ya tama; kati yaibile kwaa nyoo, nabile natikwaminiya, kwa mwanja nayenda kuandalia pandu kwa ajili yako.
Katika nyumba ya Baba yangu kuna makazi mengi ya kukaa; kama isingekuwa hivyo, ningekuwa nimekuambia, kwa vile ninakwenda kukuandalia mahali kwa ajili yako.
3 Kati nalowa yenda ni kuaandalia mahali, nalowa isa kae kuwa karibisha kwango, ili palyo nanibile ni mwenga mube mpamo ni nenga.
Kama nikienda na kuwaandalia mahali, nitakuja tena kuwakaribisha kwangu, ili mahali nilipo pia nanyi muwepo.
4 Mutangite ndela ya pandu nilowa boka.”
Mnajua njia mahali ninakoenda.”
5 Tomaso ammakiye Yesu, “Ngwana, tutangite kwaa mahali pa tuyenda; Je! Twaweza kuitanga ndela?
Tomaso alimwambia Yesu, “Bwana, hatujui mahali unakoenda; Je! Tunawezaje kuijua njia?
6 Yesu kammakiya, “Nenga na ndela, kweli, ni ukoto; ntopo ywaweza kuisa kwa Tate bila pitya kwango.
Yesu alimwambia, “Mimi ndiye njia, kweli, na uzima; hakuna awezaye kuja kwa Baba isipokuwa kupitia kwangu.
7 Kati mwamunitangite nenga, mwalowa kuntanga ni Tate bango pia; nambeambe ni kuyendelya mwani tanga na mumbwenile ywembe.”
Kama mngeli nijua mimi, mngalikuwa mnamjua na Baba yangu pia; kuanzia sasa na kuendelea mnamjua na mmeshamuona yeye.”
8 Filipo atikum'bakiya Yesu, “Ngwana, na eyo yaliwa kupangika yatutosha.”
Philipo alimwambia Yesu, “Bwana, tuonyeshe Baba, na hivyo itakuwa imetutosha.”
9 Yesu kammakiya, “Niisile kwaa pamope ni mwenga kwa muda mrefu, ni bado unitangite kwaa nenga, Filipo? Yeyote ywanibweni nenga mweni Tate; mwanja namani wabaya,'Tubonekeye Tate'?
Yesu akamwambia, “Sijakuwa pamoja nanyi kwa muda mrefu, na bado hunijui mimi, Philipo? Yeyote aliyeniona mimi amemwona Baba; Jinsi gani unasema, 'Tuonyeshe Baba'?
10 Muaminiye kwaa kuwa nenga nibile nkati ya yango? Maneno yanilongela kwinu nigabaya kwaa mu'makusudi gango mwene; badala yake, ni Tate ywatama nkati yango ywapangite kazi yake.
Hamuamini kuwa mimi ni ndani ya Baba, na Baba yu ndani yangu? Maneno ninayoyasema kwenu sisemi kwa kusudi langu mwenyewe; badala yake, ni Baba anayeishi ndani yangu anayetenda kazi yake.
11 Niaminiye nenga, kuwa nibile nkati ya Tate, ni Tate abile nkati yango, kadhalika niamini nenga kwa sababu ya kazi yango.
Niamini mimi, kwamba niko ndani ya Baba, na Baba yuko ndani yangu; kadhalika niamini mimi kwa sababu ya kazi zangu hasa.
12 Amini, amini, niabakiya, ywembe ywaniaminiye, nenga yaniipangite, alowa kuipanga kazi yee kae; na napanga kazi ngolo kwasababu nalowa kuyenda kwa Tate.
Amini, amini, nawaambia, yeye aniaminiye, mimi kazi zile nizifanyazo, atazifanya kazi hizi pia; na atafanya hata kazi kubwa kwasababu ninakwenda kwa Baba.
13 Chochote cha mukiloba mu'lina lyango, nalowa kulipanga ili Tate aweze tukuzwa nkati ya mwana.
Chochote mkiomba katika jina langu, nitafanya ili kwamba Baba aweze kutukuzwa katika Mwana.
14 Kati mwamuloba kilebe chochote mu'lina lyango, alee nilowa kulipanga.
Kama mkiomba kitu chochote katika jina langu, hilo nitafanya.
15 Kati mwamunipendile, mwalowa kuikamwa amri yango.
Kama mkinipenda, mtazishika amri zangu.
16 Na nalowa kumloba Tate, Ni ywembe alowa kuapeya Msaidizi ywenge ili kuwa aweze kuwa pamope ni mwenga milele, (aiōn g165)
Na nitamwomba Baba, Naye atawapa Msaidizi mwingine ili kwamba aweze kuwa pamoja nanyi milele, (aiōn g165)
17 Roho wa kweli. Ulimwengu uweza kwaa kumpokya ywembe kwa sababu mumweni kwaa, au atama pamope ni mwenga abile nkati yinu.
Roho wa kweli. Ulimwengu hauwezi kumpokea yeye kwa sababu haumuoni, au kumjwa yeye. hata hivyo ninyi, mnamjua yeye, kwani anakaa pamoja nayi na atakuwa ndani yenu.
18 Naaleka kwaa peke yinu; Nalowa isa kwinu.
Sitawaacha peke yenu; Nitarudi kwenu.
19 Kwa muda nchunu, ulimwengu unibonikeya kwaa kae, lakini mwenga mwanibweni. Kwa sababu natama, ni mwenga mwalowa tama kae.
Kwa muda kitambo, ulimwengu hautaniona tena, lakini ninyi mwaniona. Kwa sababu ninaishi, nanyi mtaishi pia.
20 Nkati ya lisoba lee mwaatanga kuwa nenga nibile nkati ya Tate, na kuwa mwenga mwabile nkati yinu, na kuwa nenga nibile nkati yinu.
Katika siku hiyo mtajua kwamba mimi niko ndani ya Baba, na kwamba ninyi mko ndani yangu, na kwamba mimi niko ndani yenu.
21 Yeyote ywaikamwile amri yango ni kuipanga, nga yumo ywanipenda nee; ni ywanipenda nenga alowa pendwa ni Tate bango, na nalowa kumpenda na nalowa kuibonekeya nenga mwene kwake.”
Yeyote azishikaye amri zangu na kuzitenda, ndiye mmoja ambaye anipenda mimi; na ambaye anipenda mimi atapendwa na Baba yangu, na Nitampenda na nitajionyesha mimi mwenyewe kwake.”
22 Yuda (Iskariote kwaa) kammakiya Yesu, “Ngwana, Je! chalopangika kinamani ili kuibonekeya wa mwene kwitu na ni kwa ulimwengu kwaa?
Yuda (siyo Iskariote) akamwambia Yesu, “Bwana, Je! Ni nini kinatokea kwamba utajionyesha mwenyewe kwetu na siyo kwa ulimwengu?
23 Yesu kanyangwa ni kumbakiya, “Kati yeyote ywanipendae, alowa kulikamwa neno lyangi, Tate bango alowa kumpenda, ni tuisa kwake ni kupanga makao yitu pamope ni ywembe.
Yesu alijibu akamwambia, “Kama yeyote danipendaye, atalishika neno langu. Baba yangu atampenda, na tutakuja kwake na tutafanya makao yetu pamoja naye.
24 Yeyote ywanipendi kwaa nenga, akamwi kwaa aneno yango. Neno lyabile mwaliyowa lyango kwaa ila lya Tate ywanitumile.
Yeyote ambaye hanipendi mimi, hashiki maneno yangu. Neno ambalo mnasikia siyo langu bali la Baba ambaye alinituma.
25 Niabayite makowe aga kwinu, wakati bado natama nkati yinu.
Nimeyasema mambo haya kwenu, wakati bado ninaishi miongoni mwenu.
26 Hata nyoo, Mfariji, Roho Mpeletau, ywabile Tate alowa kumtuma kwa lina lyango, alowa kuapundisha makowe yoti na alowa kuapanga mumkombokii yoti yaniabaya kwinu.
Hata hivyo, Mfariji, Roho Mtakatifu, ambaye Baba atamtuma kwa jina langu, atawafundisha mambo yote na atawafanya mkumbuke yote ambayo niliyasema kwenu.
27 Amani niapeya amani yango mwenga. Niapeya kwaa lee kati ulimwengu uboywite. Kana muipange moyo yinu kuwa ni mahangaiko, ni woga.
Amani nawapa amani yangu ninyi. Siwapi hii kama ulimwengu utoavyo. Msiifanye mioyo yenu kuwa na mahangaiko, na woga.
28 Muiyowine yee niabakiya,'Nalowa kuyenda zango, na nalowa isa kwinu.'Kati mwamunipendile nenga, mwabile ni puraha kwa sababu nayenda kwa Tate, kwa kuwa Tate nga nkolo kuliko nenga.
Mlisikia vile nilivyowaambia, 'Ninaenda zangu, na nitarudi kwenu.' Kama mngelinipenda mimi, mngekuwa na furaha kwa sababu ninakwenda kwa Baba, kwa kuwa Baba ni mkuu kuliko mimi.
29 Nambeambe niamakiyange kabla ipangike ili kwamba, wakati yaipangike, muweze kuaminiya.
Sasa nimekwisha kuwaambia kabla haijatokea ili kwamba, wakati ikitokea, mweze kuamini.
30 Nilongela kwaa ni nenga maneno yanyansima, kwa kuwa nkolo wa dunia yee ywaisa. Ywembe abile kwaa ni likakala nnani yango,
Sitaongea nanyi maneno mengi, kwa kuwa mkuu wa dunia hii anakuja. Yeye hana nguvu juu yangu,
31 lakini ili kwamba ulimwengu upate kuyowa kuwa nampena Tate, nenga napanga ywaniagizile Tate, kati ywanipeile amri. Muinue, ni tuboke mahali pano.
lakini ili kwamba ulimwengu upate kujua kwamba nampenda Baba, nafanya ambacho Baba ananiagiza mimi, kama vile alivyonipa amri. Inukeni, na tutoke mahali hapa.

< Yohana 14 >